kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 18,577
- 23,171
Sawa kabisa na mwanaume ili uendelee lazima uwe na bifu nawatu itakujengea wivu zele alichofanya ndo uwanaume wenyewe....ukosahihi mkuuHahaa Mkuu are you serious??.
Unasema Zele angejua asinge ingia vitani,really??
Are you serious??
Ulitaka Zele afanyeje baada ya kuvamiwa.
Ulitaka afanyeje?, asarende amkabidhi Putini nchi?.
Comeon dude.
Mi sio mshabiki wa Zele wala Putin ila naona alicho fanya Zele hata Mimi ningefanya, jamaa anajaribu kupambania nchi yake.
Najua sababu za Putini kumvamia Zele lakini hazitoshi kumfanya Zele ajikabidhi kwa urusi.
Maamuzi ya Zele ni yakishujaa kwasababu Anajua Ukraine ni nchi huru na inamaamuziyake kama nchi.
Ukiona nchi nyingine inakupangia chakufanya kwa faidayake ukikubali maana yake huna nchi, then anaekupangia akikulazimisha ufanye anavyo taka nini kina fuata, Just fight, right?.
Ungekuwa wewe Zele ungefanyaje.
🤣🤣 Zele huko amekazana kombora ni la Russia....Lakini sponsors wake wamekazana kombora siyo la Russia...interesting...Maana ulivyonishukia kama mwewe [emoji1][emoji1]
Nyie ndo mmekaza mishipa ya shingo mkisema urusi ndiye karusha hayo makombora.., wakati urusi mwenyewe ameshajiweka pembeni.., naona mnatafta kwa nguvu sana Chaka la kuficha aibu ya kipigo Cha kheson na kwingineko [emoji848][emoji1787][emoji1787] Zele huko amekazana kombora ni la Russia....Lakini sponsors wake wamekazana kombora siyo la Russia...interesting...
Watauwawa mpaka wapate akili Hawa mazombi wa Putin [emoji848]
ww huwa ni kichaa siku za nyuma mliita SMO sasa hv mmeanza kukiri kuwa ni vita , Na kibaya bado hamtak kukumbuka kuwa Feb 2022 Urusi ndio aliivamia Ukraine na sio Ukraine kuivamia Urusi , kwahiyi Ukraine alilazimishwa kupigana hata kama hakuwa tyr
mi sina shida ya maji kkpumbav moja lisilo na akili , tumia hizo nguv kukemea ukosef wa maji , unaandika utumbo sana
Hahaha majenerali wa West bwana...duh...Kwanza habari yenyewe ni ya siku nyingi...halafu, Kama Russia has lost then why the worry? Huyu sawa na yule mchambuzi Clarke wa BBC ambaye huwekewa ramani ya front na kuanza kuchonga kiuchambuzi...stupid generals..Top US general: Russia has lost strategically, operationally and tactically
From CNN's Michael Conte
Chairman of the Joint Chiefs of Staff General Mark Milley speaks at a press conference at the Pentagon in Washington, DC, on November 16. (Mandel Ngan/AFP/Getty Image)
Joint Chiefs of Staff Chairman Gen. Mark Milley says Russia has failed "every single" objective in its war against Ukraine.
“Russians have failed every single time. They’ve lost strategically, they’ve lost operationally and, I repeat, they lost tactically. What they’ve tried to do, they failed at,” Milley said Wednesday at a press conference with Defense Secretary Lloyd Austin after a meeting of the Ukraine Defense Contact Group. “The strategic reframing of their objectives, of their illegal invasion, have all failed, every single one of them.”
Milley listed Russia’s failure to “overrun all of Ukraine” at the start of the war as well as after their refocus on the Donbas region and the capture of Zaporizhzhia and Kherson.
“Across the entire frontline trace of some 900 or so kilometers, the Ukrainians have achieved success after success after success, and the Russians have failed every single time,” said Milley.
Tarehe 16 ni siku nying acha mahabaHahaha majenerali wa West bwana...duh...Kwanza habari yenyewe ni ya siku nyingi...halafu, Kama Russia has lost then why the worry? Huyu sawa na yule mchambuzi Clarke wa BBC ambaye huwekewa ramani ya front na kuanza kuchonga kiuchambuzi...stupid generals..
Ni wazi wewe ni mchanga mno katika kujenga hoja, kuelewa issues, kuelewa how the international system functiion and how actors in international relations behave...You don't know anything...wewe baki kuandika: kukaza shingo, superpower wa mchongo, fashisti Putin ...huwezi kuendelea zaidi ya hapo...huna analytical capacity..Nyie ndo mmekaza mishipa ya shingo mkisema urusi ndiye karusha hayo makombora.., wakati urusi mwenyewe ameshajiweka pembeni.., naona mnatafta kwa nguvu sana Chaka la kuficha aibu ya kipigo Cha kheson na kwingineko [emoji848]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app