Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Si na rubo iko vizur au ilikuwa mwanzo tu?

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
Nimekuambia tafuta tofauti kati ya neno AID na INTERVENE kwanza; ukishaelewa ndio utajua kwanini Urusi hawajapiga nchi zinazo toa misaada Ukraine.
Duh nakuskitia wakati sikukutaka mjadala na mimi nimeandika kitu ambacho hata kitoto chá darasa lá pili akisoma anaelewa..

Urusi alisema yoyote ambaye atamsaidia Ukraine atamchapa zipo nchi nyingi zinaisaidia Ukraine kila aina ya msaada mbona hatimizi lengo lake.

Sasa kama unahoja nyengine mbali na hiyo niliyosema hapo juu sema.

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
Tuandike tukiwa nyuma ya keyboard tu.
 
Ukraine imeshapata IRIS-T SLM kutoka Ujerumani - bora kuliko Patriot. Ingawa hadi sasa beteri 1 tu. Waingereza wameleta ya vyao... Gepard inafanya kazi vizuri kupunguza droni, tuone akiba ya Urusi inadumu hadi lini.
Swali vilevile kuhusu cruise missiles. Hadi sasa tumeona shambulio 1 kubwa tu. Kwa nini hawakuwahi kuleta nyingi? Ila kati ya hizo takriban 100, asilimia 80 zilipigwa kabla ya kufika.
Uharibifu ya 20% zilizofika ulikuwa mbaya. Idadi kubwa inahakikisha kwamba kadhaa zitafika.

Ila, je wataweza kurudia? Wanazo bado roketi za kutosha?
Ukilinganisha na vita nyngine kama Iraki unashangaa jinsi Urusi imeleta vifaa vichache kidogokidogo.
Na jinsi walivyoshindwa kudhibiti anga juu ya Ukraine. Hapo siri kwamba Zele aliweza kusafiri kutoka Kyiv hadi Kherson bila matatizo. Ndege za Kirusi zilizoweza kumwamgalia kumtambua na kumzuia hazipo. . .
 
aya ya mwisho, nenda kajifunze kuhusu mikataba ya vita.....
si ruhusa kumuua kiongozi, mwanadiplomasia au gvt offical yeyote unayepigana nae..........

ndio mana viongozi wengi wa marekani na ulaya wameenda sana kiev bila kushambuliwa, tena kwa taarifa yako urusi hupewa taarifa ya 'ziara' za viongozi hao kabla hawajaenda kiev......... ni sheria za vita, huwezi kuwashambulia
 
Mashambulio zaidi yameripotiwa kote Ukraine, siku chache baada ya moja ya mashambulizi makali zaidi ya Urusi katika vita hivyo.

Maafisa wanasema kituo cha kuzalisha gesi na kiwanda cha makombora huko Dnipro vilikuwa miongoni mwa shabaha za hivi punde na kwamba takriban watu wanne walikufa katika eneo moja.
Katika wiki za hivi karibuni, Urusi imeazimia kulenga miundombinu muhimu ya nishati ya Ukraine.

Moscow bado haijatoa maoni yoyote juu ya madai ya mashambulizi ya Alhamisi. Watu wanne walifariki kutokana na mashambulizi ya usiku kucha kwenye majengo ya makazi katika eneo la Zaporizhzhia, kulingana na ofisi ya rais.

Wakati huo huo, makombora yalipiga moja ya miji mikubwa ya Ukraine, Dnipro, alisema mkuu wa mkoa - na kusababisha moto katika viwanda na majeruhi 14.
Waziri Mkuu aliongeza kuwa kiwanda cha Pivdenmash mjini humo - ambacho kinazalisha makombora, miongoni mwa bidhaa nyingine - kimeshambuliwa kwa bomu.
Karibu na hapo, makombora 70 yalisemekana kutua kuzunguka mji wa Nikopol,
na kuharibu miundombinu na kuacha maelfu ya nyumba bila umeme na maji.

-British Broadcastng Corporation

My Take: Makombora 70 yanetoboa yote Je Himars, Nasams, Vampires ziko wapi?..

Je mvua ya Maelfu ya Makombora yenye Nukes yakisukumiwa Ulaya na US yatazuiwa yote?.. Je nao wakiretaliate Russia ataweza kuyazuia yote toka NATO?

Dunia inaendelea kujifunza vitu kuhusu AntiMissiles na Ufanisi wake!!..

Hakuna aliye tayari na WW III so far.

- Ni mimi Pro 4-Superpowers kutoka Usagara Mizani.

Soma :
 
Mkuu ukiamini kuna mikataba ya aina hii, basi utuonyeshe mikataba! Mikataba yote ya kimataifa yapo hadharani, hazinadata ziko online!
Ila hutaweza kutuonyesha kitu maana iko kichwani mwako tu.
Jaribu kusoma habari: unapata taarifa ngapi kwamba mawaziri na viongozi waliotembelea Kyiv walipaswa kuvunja mazungumzo na kukimbia handaki? Kwa nini walifanya hivi ilhali wote wanajua mikataba yako???
Kwa nini Telenski anatembea na ulinzi mkali? Na putin anajifica kabisa? Haamini kwamba anakingwa na mikataba yako?
Wakuu, tafadhali tuongee kama watu wazima. Naomba.
 
NATO walisema Urusi akivamia ukraine watafanyaje???

Urusi wamesema lengo lao la kuvamia Ukraine ni nini? a- Je umeamini?

Inshort haya mataifa ktk mapabano wanatumia sana Propaganda kama tool pia.

Usiminnye sana ubongo
 
Fanya Tafiti kwanza mzee Unabwabwaja tu.

Urussi amesaini New York convention ya mwaka 1973 inayohusu Protection of diplomats.Inazuia pia kuua Head of states katika vita (Targeted Killing)

Hawawez kumtarget Zele na kumuua. Labda wamkamate na kumshtaki ktk mahakama zao!.. Rejea Saddam Hussein pia.

Kasime hiyo New York Convention kwanza!...
Dah upo shallow hivyo then unashupaza shingo!..

Akihutubia Kherson , Kremlin , FSB na jeshi nao walikuwa live wanaangalia hotuba, waliua alipo coz alihutubia kama dk 10. Wangeweza kivurumisha mvua ya makombora hapo wammalize. Next ingeharibu Diplomasia mpaka na Marafiki zake ambao wamesaini hiyo Convention ikiwemo China , Brazil na India. (180 states walisaini)

Rudi tena mzee
 
Inaitwa NEW YORK CONVENTION 1973
 
Mashambulio zaidi yameripotiwa kote Ukraine, siku chache baada ya moja ya mashambulizi makali zaidi ya Urusi katika vita hivyo.

Maafisa wanasema kituo cha kuzalisha gesi na kiwanda cha makombora huko Dnipro vilikuwa miongoni mwa shabaha za hivi punde na kwamba takriban watu wanne walikufa katika eneo moja.
Katika wiki za hivi karibuni, Urusi imeazimia kulenga miundombinu muhimu ya nishati ya Ukraine.

Moscow bado haijatoa maoni yoyote juu ya madai ya mashambulizi ya Alhamisi. Watu wanne walifariki kutokana na mashambulizi ya usiku kucha kwenye majengo ya makazi katika eneo la Zaporizhzhia, kulingana na ofisi ya rais.

Wakati huo huo, makombora yalipiga moja ya miji mikubwa ya Ukraine, Dnipro, alisema mkuu wa mkoa - na kusababisha moto katika viwanda na majeruhi 14.
Waziri Mkuu aliongeza kuwa kiwanda cha Pivdenmash mjini humo - ambacho kinazalisha makombora, miongoni mwa bidhaa nyingine - kimeshambuliwa kwa bomu.
Karibu na hapo, makombora 70 yalisemekana kutua kuzunguka mji wa Nikopol, na kuharibu miundombinu na kuacha maelfu ya nyumba bila umeme na maji.

-British Broadcastng Corporation

My Take: Makombora 70 yanetoboa yote Je Himars, Nasams, Vampires ziko wapi?..

Je mvua ya Maelfu ya Makombora yenye Nukes yakisukumiwa Ulaya na US yatazuiwa yote?.. Je nao wakiretaliate Russia ataweza kuyazuia yote toka NATO?

Dunia inaendelea kujifunza vitu kuhusu AntiMissiles na Ufanisi wake!!..

Hakuna aliye tayari na WW III so far.

- Ni mimi Pro 4-Superpowers kutoka Usagara Mizani.

Soma :

Dmitry Medvedev: Mashambulizi ndio kwanza yanaanza​

 
Mikataba ipo...

Aliyekimbia kwa Handaki ni Rais wa ujerumani na Urussi walimlaumu kwa kufanya igizo kwani siku hiyo Kiev haikusabuliwa hata chembe!!

Zele anatembea na walinzi na kujificha kuogopa kuushambuliwa na FSB kimyakimya. Idara nyeti zinaweza kumfyeka kiongozi kijasusi halafu Serikali inakanusha au wanasingizia waasi ama kikundi cha wahaini. Mfano Rais wa Haiti , Gadafi, n.k
 
Acha uvivu ,

Kasome online au ingia hata Google:

Andika New York Convention 1973 au Protection of Diplomats Act 1978 ya UN members.
 
Mind You viongozi wote wa waliotebelea Ukraine , Russia walitaarifiwa na Russia walijua na waliziacha ndege zao ziende bila tabu na wakishaondoka wanatoa taarifa Official pia.. Hi ni kwa sababu pia Urussi ni Mjumbe muhimu wa UNSC lazima awe mfano na kuheshimu hiyo convention ya 1973.
 
Msemaji wa Ukrainian airforce anasema zimetumwa missiles kama 100 na zimehit critical infrastructures, bado unaamini propaganda za kwamba 80% zimetunguliwa? Hizo zaidi ya 100 zilizoenda kuharibu miundombinu zimepitia wapi.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…