kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Hiyo ni kweli..,wengi wanapumbazwa na habari kutoka kwenye vyanzo vya habari vinavyoegemea upande wa clemlin hambavyo haviwezi kutoa habari inayokinzana na matakwa ya Putin..,lait tungekuwa tunapata habari kutoka urusi zinazolipotiwa na vyombo huru vya habari,tungesikia na kuona mengi sana.., kitu hambacho Putin amekiweza na kukimudu ni kuvifunga midomo vyombo vya habari na mtu yoyote mwenye mawazo tofauti na yakekaka huwa tukisema vita ya muda mrefu ni kitu kibaya mno, warusi waishio Buza wanasema ati Mrusi ana uchumi mkubwa, kwamba hata vita ikienda muda gani yeye yupo gado ...
" Some estimates put the cost of Putin's invasion of Ukraine at $1 billion a day."
Hii vita inaweza kwenda miaka zaidi ya 5 kama mrusi atagoma kuweka silaha chini, kuondoa majeshi yake na kukubali kukaa mezani bila masharti.
Ni hivi watu wa Magharibi hawawezi kamwe kumruhusu Mrusi ashinde vita hii na apandikize watu wake nchini Ukraine, kwa hiyo ngoma ni isambe.
Watu wa magharibi ni lazima wamlegeze Putin kwa gharama yoyote ile.
Kwakuwa imeletwa habari usiyopenda kusikia,mbona wewe zako unaleta tunazisoma tu kimya kimya hata kama tunajua asilimia kubwa ni hizo hizo propaganda.Hii media naijua ni full propaganda, ni bola hata skynews
[emoji23][emoji23][emoji23] yamekuwa haya tenaSun ni sawa na Uwazi au Ijumaa ..ni gazeti la udaku...
Wapo kwenye denial wameanza kuziita habari hizi kuwa ni za Udaku,baada ya jeshi la Russia kutimua mbiyo walituaminisha kuwa hiyo ni trap tusubirie majibu.Leo hii wakiona habari za Ukraine kusonga mbele wanahamaki na kuziita za udaku.Huo ndio uhalisia, urusi anapokea kipigo kikali mpaka anajaribu kuhujumu miundombinu ya kiraia Ili kumforce Ukraine kuingia kwenye meza ya mazungumzo lakini naona bado anagonga mwamba
Front line kwa urusi imekuwa chungu mno🥱🥱
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mrusi alishapigana vita zaidi ya miaka 8!kaka huwa tukisema vita ya muda mrefu ni kitu kibaya mno, warusi waishio Buza wanasema ati Mrusi ana uchumi mkubwa, kwamba hata vita ikienda muda gani yeye yupo gado ...
" Some estimates put the cost of Putin's invasion of Ukraine at $1 billion a day."
Hii vita inaweza kwenda miaka zaidi ya 5 kama mrusi atagoma kuweka silaha chini, kuondoa majeshi yake na kukubali kukaa mezani bila masharti.
Ni hivi watu wa Magharibi hawawezi kamwe kumruhusu Mrusi ashinde vita hii na apandikize watu wake nchini Ukraine, kwa hiyo ngoma ni isambe.
Watu wa magharibi ni lazima wamlegeze Putin kwa gharama yoyote ile.
1 Ukraine hatojiunga NatoTutajie hivyo vipengele vya Minsk agreement vilivyokiukwa na Ukraine.
Ukraine haitajiunga NATO [emoji23][emoji23][emoji23]1 Ukraine hatojiunga Nato
2 Nato haitaendelea kuexpand beyond German
Imeulizwa vipengele vya Minsk vilivyokiukwa against Russia .Ukraine haitajiunga NATO [emoji23][emoji23][emoji23]
Ukraine imeshatuma maombi ya kujiunga NATO tayari au unaishi katika dunia yako mwenyewe [emoji848]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kabisa mpendwa...Sun ndiyo hivyo Tena...tabloid paper lililojikita kwenye yellow journalism....sensational news ndiyo mtaji wa The Sun..[emoji23][emoji23][emoji23] yamekuwa haya tena