Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,010
- 6,766
Hujui mgogoro ulianzaje, Ukraine walikuwa wanataka kuanza mchakato gani???Duh!..kilichokiukwa ni kipi sasa?...kwani Ukraine yupo NATO?...
Na kuhusu NATO kupanuka wakulaumiwa ni Ukraine au NATO?
Mgao wa kwetu wa umeme na maji wanauona ni sawa tu na tunaustahili kabisa lakini wakati huo huo wanawacheka walio na mgawo wa kulazimishwa kwa miundo mbinu kuharibiwa.Hawa ndiyo Pro Russia sasa wa JF
Ubishi wa chooni huuu!!..Atakaeingilia mgogoro??
Kwani kuingilia mgogoro ni nini?
Au kuingilia mgogoro nikuingia kupigana tu?
Kutoa msaada wa vifaa vita sio kuingilia mgogoro?
Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
Uzuri wa ukraine ni kwamba anatembeza kichapo kimya kimya,Wala haoni haja ya kuweka vipaza sauti..,majibu unayapata pale Russia wanapoitana kwenye vikao, utasikia wanasemaVijana wa Putin wamechezea kichapo wamekaangwa vibaya.tazama miili hiyo
Nilidhani mtu akiandika comments nyingi non stop anakuwa na uelewa mpana wa mambo kumbe wengine ni bure kabisa.Una uhakika au unaropoka tu?????
Kwa sababu una simu na uhuru wa kuandika basi unabwabwaja tu. Sa ndo uneandika nini
Nimevutiwa zaidi na hiyo sentensi ya mwisho kabisa.Sisi tushamaliza huku mnavyotaka tutaenda nanyi vivyo hivyo
Ila SMO inaendelea kama ilivyopangwa yaani mutake musitake
[emoji778]️Peskov, Kremlin spokesman:
[emoji617] It is hard to imagine a general negotiation with Ukraine.
[emoji617] Russia's goals in Ukraine may be achieved through special military operations or negotiations, and Russia is ready for both.
[emoji617] Washington, if it wants, can influence Kyiv to just say its word.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna ile clip yule Kamanda bonge na Waziri wa Ulinzi wako wanapeana update ya hali ya Kherson na kukubaliana waondoe (wakimbie) majeshi yao Kherson.Walitumia huo msemo wa "the situation is very tense".Ukija hapa JF Pro Russia unawakuta wameng'ang'ana hiyo ni trap [emoji3]Uzuri wa ukraine ni kwamba anatembeza kichapo kimya kimya,Wala haoni haja ya kuweka vipaza sauti..,majibu unayapata pale Russia wanapoitana kwenye vikao, utasikia wanasema
" Situation is tense" ukisikia hivyo ujue kipigo kinawaingia sawasawa [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kila nikiangalia Ile clip najikuta nacheka kwa jinsi yule jenelali alivyokuwa anapepesa macho.., pamoja na sura yake ya kazi,alijikuta tu anakuwa mpole automatically [emoji23][emoji23]Kuna ile clip yule Kamanda bonge na Waziri wa Ulinzi wako wanapeana update ya hali ya Kherson na kukubaliana waondoe (wakimbie) majeshi yao Kherson.Walitumia huo msemo wa "the situation is very tense".Ukija hapa JF Pro Russia unawakuta wameng'ang'ana hiyo ni trap [emoji3]
Ndio maana mwenzenu anapigwa kama ngomaWewe kila mahari unatuimbia Minsk Agreement,si ajabu hata hujui kama hata hiyo Agreement yenyewe ilishajifia siku nyingi [emoji3][emoji3]
Ni kweli tofauti ni kubwa mno.Scenario ya Iraq ya enzi zile na Urusi ya Sasa ni tofauti mno...
Boss, unadhani Urusi ikifanikiwa kuchukua Ukraine yote ikawa Urusi itachukua muda gani kutaka kuongeza tena eneo?Urusi imebakiza kilometer mia moja kuingia jiji kuu LA Zaporozhye
Zelensiky ataendelea kuwachinja kama kuku wa pasaaka wasiposhtukia njama za Putin za kutaka kuwatoa kafara [emoji848][emoji848]Tazama wazee wa mahandaki wamejificha.kwenye culvert drone imewapasua hapo hapo
Na bado, makubwa zaidi yanakuja - yaani viongozi wa magharabi na akili zao timamu wanakwenda ku-slap punitive sanction kiholela tu bila ya kufikiria kwa upana kuhusu madhara ya kiuchumi ambayo yameanza kuikumba Dunia kwa nguvu za Tsunami save Russia yenyewe ambayo uchumi wake unadunda kama kawa!!
Putin aliwaonya mazezeta hawa kwamba mnayo yafanya yatakuja kuwatokea puani - hamuwezi kujifanya as if Urusi haipo Duniani na mkafanikiwa - utabiri wa Putin ndio umeanza kudhilika taratibu mpaka wanaona aibu.
Hivi sasa ni maadamano kila kona in Continental Europe wakipinga ugumu wa maisha na kupendekeza vikwazo vya nishati kutoka Russia viondolewe mara moja pia wanashinikiza kwamba Mataifa ya Ulaya yajitoe kwenye ushirika wa NATO na kuunda jeshi la Ulaya bila ya kuishirikisha Merikani.
Ifikapo katikati ya mwaka kesho - Raia wengi wa Ulaya wataukumbuka sana utabiri wa Putin.
USA alimuua general wa IRAN na IRAN ikapiga kombora kwenye kambi ya USA.
Sasa aliyepata hasara kati ya hizo nchi mbili baada ya kila mmoja kuamua aliloamua ni nani?
Kambi unajenga nyengine uhai haununui na wala haujengi mwegine.
Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app