Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,626
- 18,233
Umefungua heading tu, Soma habari yote basi: Nimebold sasa uniambie Hizo zinazoongelewa ni nzima au mbovu?
Western-made artillery pieces sent to Ukraine are constantly breaking down or being damaged in combat, and this has become a problem for the US Department of Defense, the New York Times reported on Friday, citing sources. To address the issue, the Pentagon, which has provided Kiev with hundreds of the weapons, has reportedly set up a repair facility across the border in Poland.
According to US officials and other people “familiar with Ukraine’s defense needs” interviewed by the outlet, one third of the 350 howitzers that the West has sent to Ukraine are out of action at any given time.
The weapons either burn out due to long periods of overuse or become damaged in combat and cannot be repaired in the field. The task of fixing the equipment has become a priority for the Pentagon’s European Command, which has reportedly deployed a repair facility in Poland.
Umekula?Hivi huoni aibu hata kuanzisha uzi kama huu
Hivi kuikumbatia Urusi ni dhambi?Ila tukubali tu ni yeye pekee aliyekuwa anakubalika zaidi na Putin miongoni mwa viongozi wa EU mpaka kufanikisha minsk agreement nadhani hizo sera za kuikumbatia Urusi zilichangia pia
Sana, ni kama Rais Samia tu.Huyu mama alikuwa kiongozi bora sana
Nishati ya Urusi ni karata inayotumika na Urusi kukuza (promote) maslahi yake ikiwemo yale yanayohatarisha usalama wa bara la Ulaya mfano, uvamizi wa Ukraine. Haya ni maneno ya Wajerumani wenyewe, mimi nimenukuu tu!Urussi anauza gesi bei chee tena si ujerumani bali alikuwa anauza almost ulaya yote.
kosa la mwrkel ni nini?
Alikubalika zaidi na Putin kwasababu ya hizo sera zake za masuala ya kigeni kuhusu Urusi.Ila tukubali tu ni yeye pekee aliyekuwa anakubalika zaidi na Putin miongoni mwa viongozi wa EU mpaka kufanikisha minsk agreement nadhani hizo sera za kuikumbatia Urusi zilichangia pia
Kama Russia anayo maslahi huko Ukraine vivyo hivyo na England.Uingereza wanamaslahi gani kwenyehiivita. Naona wakobize hasa makachero wake kulikohata US. Au anabifu na warusi.
Halafu bado Tu unabisha embu soma tena hayo maneno yako uliyoyaboldUmefungua heading tu, Soma habari yote basi: Nimebold sasa uniambie Hizo zinazoongelewa ni nzima au mbovu?
Western-made artillery pieces sent to Ukraine are constantly breaking down or being damaged in combat, and this has become a problem for the US Department of Defense, the New York Times reported on Friday, citing sources. To address the issue, the Pentagon, which has provided Kiev with hundreds of the weapons, has reportedly set up a repair facility across the border in Poland.
According to US officials and other people “familiar with Ukraine’s defense needs” interviewed by the outlet, one third of the 350 howitzers that the West has sent to Ukraine are out of action at any given time.
The weapons either burn out due to long periods of overuse or become damaged in combat and cannot be repaired in the field. The task of fixing the equipment has become a priority for the Pentagon’s European Command, which has reportedly deployed a repair facility in Poland.
Kumbe bado wapo ukraine, mi nilijua wapo Urusi maana unaongea mpaka mishipa ya shingo inakusimama[emoji1787][emoji1787][emoji1787].Haifanyi kazi lakini imewatembezea kichapo majeshi ya fashisti Putin mpaka wamekimbia kama mbwa mwizi huko
Kyiv
Khakivu
Izium
Kheson city
Lyman
Kupyansk
Snake island
Miezi 4 Sasa majeshi ya super pawer yanapigana kuchukua kamji kadoogo tu ka bakhumut.., lakini wamegonga mwamba,wanaishia kuchinjwa kama kuku [emoji848]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
We kweli hauna akili.Ebu cheki ramani ya vita alafu urudi tena[emoji1787][emoji1787]Warusi wako kwao wanapiga long range missiles ambapo sio lengo lao, lengo lao ilikuwa ni kuchukua maeneo ya ardhi Ukraine na kuyapeleka urusi, sasa miezi 9 hata hilo la 2014 wanaenda kulipoteza, big loss for Putin and his allies
Acha ujinga mara ngapi wanarusha mabomu.Ukraine anajilinda dhidi ya uporaji wa ardhi unaofanywa na Urusi wala Ukraine hapigani na Urusi , ingekuwa hivyo wangekuwa washarusha makombora mengi tu ndani ya Urusi , HAWASHINDWI ILA WAO HAWANA UGOMV NA RAIA WA URUSI BALI WANAPIGANA NA MAJESHI YA URUSI YALIYO NDANI YA UKRAINE
Acha kuongea kwa mihimko usidhani ni rahisi kiasi hicho.Yani Venezuela ana njaa anatafuta dollars usiku na mchana aambiwe apeleke mafuta kwa world market akatae?! Hujawahi sikia msemo unasema adui yako muombee njaa?!!!!
Ukiacha Belarus hakuna tena allies wa maana alionao Urusi,sema ana partners. Hata China sio Russia's ally Ila ni partner.
Hakuna mafuta ya Urusi yaliyo acha kuingia Ulaya, ndio maana wana haha kuweka ukomo wa bei dhidi ya mafuta hayo kitu ambacho kitashindwa vibaya sana.Demand and Supply.
Halafu unaweka data za June Leo tupo November.
Hizo picha zote ulizo ziweka hapo nimeanza kuziona Ni zaidi ya miezi sita sasa.Sasa hapo huruma itoke wapi wakati ni winter na mvua zinanyesha humo Kwa trench matope yamejaa.
Ukitaka huruma nenda Telegram group linaitwa Horrors of war uone warusi wanavyokufa kama sisimizi,kajionee mwenyewe maana zile picha hata kuzileta humu haifai. Soon ukisikia second mobilization inatangazwa usishangae.
Hizi ni baadhi
Na ndio maana urusi anafanya majaribio mengi Ili kumforce zelensiky kwenye meza ya mazungumzo maana ameshajua wazi kwamba kipindi hiki kitakua kigumu sana kwakeBado frostbite inawasubiri[emoji23][emoji23][emoji23].
West wanashusha mizigo ya winter gears tu huko Ukraine ndio maana Ukraine inataka kuendelea na counter offensive kipindi chote cha winter Licha ya Urusi kutaka short truce.
Anachotaka Uingereza na US ni kuidhoofisha EU na kusahau agenda ya Brexit. Baada ya Uingereza kujitoa EU hali yake ilikuwa mbaya sana, lakini sana EU karibia inasambaratika na kubakia NATO TU ambayo na UK imo.Uingereza wanamaslahi gani kwenyehiivita. Naona wakobize hasa makachero wake kulikohata US. Au anabifu na warusi.