Kuikumbatia Urusi inayomtesa na kuiharibu jirani yake Ukraine sio sawaHivi kuikumbatia Urusi ni dhambi?
Hili ndio tatizo.
Chiki chuki chuki.
Mbona EU wamekumbatiana, na pia. Wamekumbatiana na USA .
Ila kukumbatiana na Urusi ni haram.
Hapa ndipo penye tatizo.
Ila Merkel hujitetea kwamba kuitenga zaidi Urusi ilikuwa hatari zaidi kwa usalama EU na hatua ilionekana kuinufaisha zaidi Marekani huku ikihatarisha na kuugawa umoja wao.Alikubalika zaidi na Putin kwasababu ya hizo sera zake za masuala ya kigeni kuhusu Urusi.
Merkel anafananishwa na waziri mkuu wa zamani wa Uingereza, Neville Chamberlain, aliyehusika kwenye makubaliano [feki] ya amani ya Munich (Munich Agreement) yaliyokuwa na lengo la kumshawishi (appease) Hitler kumaliza vita dhidi ya Czechoslovakia.
Cha ajabu zaidi, utetezi walioutoa watetezi wa sera za Neville Chamberlain miaka ile ndiyo huu ambao anautoa Angela Merkel hivi sasa kuhusiana na Minsk agreements.
UmekurupukaWewe ni mpumbavu uache kuomba poo wewe mmatumbi unayetegemea ARV kutoka Marekani ije Marekani iombe poo?
Unatetea sana ushogaumewai wafir@ ? au walikufir@?
Lini uliwahi kusimama na Libya, Syria, Afghanistan, Iraq?Waafrika tunashida mahali. Ipo siku tutakumbuka kwanini hatukusimama na Ukraine.
kwa hiyo ukraine anasonga mbele kimazingaumbwe au,maana bila mizinga huwez songa mbele hata kidogoMizinga hiyo(howitzers) ambayo hazifanyi kazi zinahamishiwa Poland kwa ajili ya ukarabati, ripoti inasema
View attachment 2428460
Mizinga ya kivita iliyotengenezwa na nchi za Magharibi iliyotumwa Ukraini kila mara inaharibuka au kuharibiwa katika mapigano, na hili limekuwa tatizo kwa Idara ya Ulinzi ya Marekani, gazeti la New York Times liliripoti Ijumaa, likinukuu vyanzo. Ili kushughulikia suala hilo, Pentagon, ambayo imeipatia Kyiv mamia ya silaha, imeripotiwa kuweka kituo cha ukarabati katika mpaka wa Poland.
Kulingana na maafisa wa Marekani na watu wengine "wanaofahamu mahitaji ya ulinzi ya Ukraine" waliohojiwa na chombo hicho, thuluthi moja ya mizinga 350 ambayo nchi za Magharibi zimetuma Ukraine hazifanyiki kazi wakati wowote.
Silaha hizo ama huteketea kwa sababu ya muda mrefu wa kutumiwa kupita kiasi au kuharibika katika mapigano na haziwezi kurekebishwa kwenye uwanja wa vita. Kazi ya kurekebisha vifaa imekuwa kipaumbele kwa Kamandi ya Pentagon ya Ulaya, ambayo imeripotiwa kupeleka kituo cha ukarabati nchini Poland.
Juhudi za ukarabati zilianza katika miezi ya hivi karibuni. Hata hivyo, hali ya silaha za Ukraine ni suala linaloshikiliwa kwa karibu na maafisa wa Marekani, ripoti hiyo inasema, na kuongeza kuwa vyanzo vyake vilikataa kutoa maelezo zaidi kuhusu mpango huo.
Matengenezo nchini Poland kwa kawaida yanahusisha kubadilisha "howitzers barrels" kati ya matengenezo mengine, kulingana na NYT. Maafisa wa Ukraine, wakati huo huo, wanaripotiwa kusema kwamba wanataka karakana hizo ziwekwe karibu na mstari wa mbele ili silaha zirudi kupigana mapema.
Libya nilisimama nao ndiyo maana dictator Gadafi aliangamizwa, Syria mpaka kesho wapambanaji wanapambana na regime ya Al Saad. Afghanistan raia wamepewa hifadhi nchi marafiki wa Marekani Kwa gharama za Marekani ili kiwanusuru na mateso ya magaidi Taliban na hapo Iraq amani imerejea baada ya matatizo ya muda na mauaji ya wakurudi kukomeshwa baada ya Sadam kuondokewa madarakani.Lini uliwahi kusimama na Libya, Syria, Afghanistan, Iraq?
Muwatoe wenzenu kafara huku mmejificha kwemye starehe zoote! KubafuBaridi kali na uhaba wa umeme "sio jambo baya zaidi," aliiambia BBC
Raia wa Ukraine wako tayari kustahimili hali ya joto na kukatika kwa umeme kwa miaka kadhaa ikiwa nchi hiyo hatimaye itaruhusiwa kujiunga na EU, Mke wa Rais Elena Zelenskaya amedai. Alihojiwa na BBC siku ya Ijumaa.
Akizungumza na shirika la utangazaji la Uingereza baada ya wiki kadhaa za mashambulizi ya Urusi dhidi ya vituo vya nishati vya Ukraine, Zelenskaya alisema kwamba raia wa Ukraine walikuwa "tayari kustahimili" majira ya baridi kali ikiwa ombi la nchi hiyo la kuwa mwanachama wa EU litafaulu.
Mke wa Rais Vladimir Zelensky alitoa mfano wa kura ya maoni ya hivi majuzi ambayo iliripotiwa kugundua kuwa 90% ya Waukraine wangevumilia uhaba wa nishati na joto kwa miaka miwili au mitatu ikiwa nchi hiyo inaweza kuwa mwanachama wa umoja wa Ulaya baadaye.
"Tumekuwa na changamoto nyingi za kutisha, tumeona waathirika wengi, uharibifu mwingi, kwamba kukatika kwa umeme sio jambo baya zaidi kutupata," aliiambia BBC.
Kwa kutiwa moyo na Rais wa Tume ya Umoja wa Ulaya Ursula von der Leyen, Ukraini ilituma maombi ya uanachama wa Umoja wa Ulaya mwezi Februari, na ikakubaliwa kuwa mgombeaji wa nafasi hiyo mwezi Juni. Hata hivyo, Kyiv hawezi kujiunga na umoja huo akiwa katika vita vya silaha na jirani zake, na baadhi ya nchi wanachama zimeeleza kuwa taifa hilo litalazimika kuondoa rushwa, kusafisha rekodi yake ya haki za binadamu na kuimarisha utawala wa sheria kabla halijaanza. kuchukuliwa kwa uanachama.
Hali ya joto inapopungua nchini Ukraine, Urusi inaendelea kugonga maeneo umuhimu ya kijeshi kote nchini, ikiwa ni pamoja na mitambo ya nishati na vifaa vya gesi. Wimbi la mashambulio makubwa ya makombora kwenye miundombinu yaliripotiwa katika Kyiv, Kharkov, Odessa, Lviv na miji mingine siku ya Jumatano.
Meya wa Kyiv Vitaly Klitschko alisema Alhamisi kwamba asilimia 70 ya mji mkuu wa Ukraine uliachwa bila umeme kufuatia mgomo huo, wakati Mkurugenzi Mtendaji wa shirika kubwa la kibinafsi la umeme la Ukraine alitoa wito wiki iliyopita kwa raia kufikiria kuondoka nchini kwa msimu wa baridi ili kupunguza mzigo kwa walioharibiwa. gridi ya taifa.
Huyu mama yupo Ufaransa amerelax : Au yeye siyo Myukreni??
-Mbaya ni kwamba EU hawezi toa nafasi hiyo mpaka vita iishe, na Russia atahold hii vita hata miaka kadhaa huku akiendelea kupiga kwenye mishono na kuirudisha Ukrainia mwaka 1724 A.D
Za warusi ni za miezi sita Ila za Ukraine ni za hivi karibuni [emoji23][emoji23][emoji23]. ProRussia mna taabu.Hizo picha zote ulizo ziweka hapo nimeanza kuziona Ni zaidi ya miezi sita sasa.
Na Mimi nasimama na Russia kwny kuwamaliza Neo-Nazis waliopo hapo Ukraine.Libya nilisimama nao ndiyo maana dictator Gadafi aliangamizwa, Syria mpaka kesho wapambanaji wanapambana na regime ya Al Saad. Afghanistan raia wamepewa hifadhi nchi marafiki wa Marekani Kwa gharama za Marekani ili kiwanusuru na mateso ya magaidi Taliban na hapo Iraq amani imerejea baada ya matatizo ya muda na mauaji ya wakurudi kukomeshwa baada ya Sadam kuondokewa madarakani.
"Hundreds of thousands of men, women and children were executed during a systematic attempt to exterminate the Kurdish population in Iraq in the Anfal operations in the late 1980s. They were tied together and shot so they fell into mass graves"
Venezuela mara nyingi ameshaomba aondolewe vikwazo lkn Marekani ilikataa sababu ya issue za human rights abuses,Ila Jana Marekani imekubali Chevron ianze kuzalisha mafuta Venezuela lkn mapato hayataenda kwa serikali ya Maduro.Acha kuongea kwa mihimko usidhani ni rahisi kiasi hicho.
Kwanza Marekani amesha fanya majaribio mara kadhaa kurudisha mahusiano na Venezuela lakini wamefeli.
Kingine ambacho hukijui Venezuela ni mwana chama wa OPEC na OPEC wamesha weka ukomo wa kuzalisha mafuta.
Kwanza ban kamili ya Mafuta ya Urusi kuingia Europe inaanza December 5 mwaka huu.Hakuna mafuta ya Urusi yaliyo acha kuingia Ulaya, ndio maana wana haha kuweka ukomo wa bei dhidi ya mafuta hayo kitu ambacho kitashindwa vibaya sana.
Kingine unacho takiwa kukijua ni kuwa vikwazo vingi vya magharibi walivyo weka dhidi ya Urusi vingi ni vya kwenye makaratasi lakini hawavitekelezi na ndio maana unaona uchumi wa Urusi bado uko imara.
Kilichobaki apige nyuklia tu la sivyo Mtu mzima lazima aaibike.Na ndio maana urusi anafanya majaribio mengi Ili kumforce zelensiky kwenye meza ya mazungumzo maana ameshajua wazi kwamba kipindi hiki kitakua kigumu sana kwake
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hivi kule Adviika Hali ikoje,si ulituambia Ukraine wamezungukwa itakua Mariupol part 2?!!!!!Kumbe bado wapo ukraine, mi nilijua wapo Urusi maana unaongea mpaka mishipa ya shingo inakusimama[emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Cheki wanaume hao washamaliza mafunzo wanaenda frontView attachment 2428653View attachment 2428654View attachment 2428655
Hakika MKUUSiku hiyo inakuja - na ikiwa Senselessky atajikitia ujuaji mwingi basi na mji wa Odesa nao itajumuhishwa kwenye orodha ya miji itakayo jiunga na Russian Federation na wala NATO/US hawatafanya lolote zaidi ya kuongeza vikwazo ya kiuchumi kwa Russia ambavyo havijaweza kuihadhili chochote Urusi mpaka sasa.
Mkuu achana na hizo picha za kipropaganda, unakumbuka zile video zako za wale maelfu ya wanajeshi wa Chenchen?! Mbona hatuwaoni vitani maana kila siku bwana mkubwa anarudishwa nyuma[emoji23]Kumbe bado wapo ukraine, mi nilijua wapo Urusi maana unaongea mpaka mishipa ya shingo inakusimama[emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Cheki wanaume hao washamaliza mafunzo wanaenda frontView attachment 2428653View attachment 2428654View attachment 2428655