Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hamtakatisha tamaa watu kusoma,watasoma na wataujua ukweli.Ukraine haitakuwepo katika ramani ya Dunia katika miezi miwili tu ijayo.Stay tuned.
Wenzako kina @bukyanangadi walisema mpaka November jeshi la Ukraine litakua limesagwa sagwa na warusi Leo hii November bado siku tatu iishe tuingie December...na wewe unasema miezi miwili!!!![emoji23][emoji23][emoji23]
January sio mbali tutakukumbusha[emoji23][emoji23][emoji23]
 
1. Karibu 90% ya Mafuta ya Urusi ambayo yanaingia Europe yanapita baharini na si kwenye mabomba.

2.India na China hayanunui mafuta ya Urusi kwa Bei iliyopo sokoni Ila wananunua mafuta mengi Urusi sababu wanapata discount hivyo faida haiwezi kulingana na Ile aliyokua akipata Europe.
Na sasa China inapambana na COVID imerudi Kwa Kasi wachina wanaingia quarantine hivyo consumption ya Mafuta ya China inatarajiwa kushuka Sana miezi ijayo hali itakayopelekea kushuka kwa Bei ya Mafuta duniani maana China ndio mnunuzi mkubwa wa mafuta duniani.
Hili ni pigo kwa Urusi.

3.Hayo sio maneno yangu,ni kutokana na data za IEA
IEA: US challenges Russia for Europe crude oil supplier rank
Sept. 16, 2022
The US is the main contender to become Europe’s biggest supplier of crude oil as refiners scramble to source alternative supplies ahead of a looming EU sanctions deadline, the IEA said in its latest monthly Oil Market Report.
OGJ editors
The US is the main contender to become Europe’s biggest supplier of crude oil as refiners scramble to source alternative supplies ahead of a looming EU sanctions deadline, the International Energy Agency (IEA) said in its latest monthly Oil Market Report.

By August, the gap between imports of Russian and US barrels narrowed to just 40,0000 b/d, from a 1.3 million b/d pre-war average. US crude oil made up for almost half of lost Russian volumes in the region.

4. Ngoja tuone itakavyokua lakini Europe imesema haitahusika na bima za Meli ambazo zitabeba mafuta ya Urusi kwa Bei kinyume na Ile inayokubaliwa na EU.
Turkey ni mfano wa nchi ambazo zitapiga Marufuku meli ambazo hazijawa insured kupita pale Bosporus
 
Sasa huoni hapa kuwa aliyekiuka makubaliano ni Ukraine na sio Russia
 

Zelensk anawatoa kafara vijana wake kwenye mji wa Bakhmut.ni bora awambie waondoke kwenye mji huo
Naona umerithi mikoba ya morogoro kasikazin..,huyo alilipoti kabisa kwamba majeshi ya urusi yaneshaingia katikati ya mji wa bakhumut.., Nina mashaka uenda wewe ndiye morogoro kasikazin umekuja kwa I'd nyingine, maana hivi vituko havina tofauti na vile vya morogoro kasikazin [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Ikitokea nikuite nani.niambie kabisa ili nisave post yako
 
Theluthi moja ya mizinga iliyopelekwa Ukraine imeharibuka na haifanyi kazi. Imepelekwa Poland kwa repair. na bado haijarud kwenye opereshen

Au kiswahili kigumu
MFANO
Theluthi moja ya vichwa vya treni vilivyoletwa Tanzania ni vibovu havifanyi kazi.

Theluthi moja ya vichwa vya treni vilivyoletwa Tanzania vimeharibika havifanyi kazi.

Kuna tofauti kubwa kati ya hizo sentence mbili,ndo tofauti iliyopo Kati ya taarifa yako na ya NYT.
 
Thibitisha kwamba huyo super pawer wenu hakutembezewa kichapo na kukimbia hayo maeneo.., vinginevyo unajicholesha tu,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app

Nyie huwa hamfuatilii habari kutoka vyazo huru. Nyie hajasikia ya kuwa Ukraine amewatahadhatisha raia wake kuondoka mara moja maeneo ambayo Urusi aliyakimbia!?
 
Taadhari tupe maelezo juu ya hii habari au ni uzushi? Mheshimiwa msemaji mkuu wa Pentagon.
 
“Negotiations cannot end the #Russian war against #Ukraine; they can only pause it...The conflict is unresolvable as long as Putinism rules the Kremlin. Negotiations won’t change that reality,” writes Frederick Kagan for @criticalthreats.
 
Misaada ya Marekani kwa EU ina mahusiano gani na mjadala wa Merkel kutoshangazwa na uvamizi wa Urusi?

Umebadili mjadala ghafla bila taarifa!

Tujikite kwanza kwenye mjadala uliopo mezani kuhusu Merkel na sera zake za masuala ya kigeni, pamoja na uvamizi wa Urusi nchini Ukraine.

Na, aliyekuambia kuwa Marekani na Urusi ndio suppliers pekee wa gesi barani Ulaya ni nani?
 
Kama Zanzibar ilivyo kolon la Dar, na Comoro ilivyo kolon la Dar, mpaka Dar es salaam iamue nani awe Rais
 
#Ukraine: A Russian ZALA 421-16Е2 reconnaissance drone fell out of the Sky in the vicinity of #Bakhmut, Donetsk Oblast.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…