Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Sasa hawa g7 waloeka price kua 60$ wameeka price gan wakat ndio bei halali kwasasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huenda lile tukio la kusikilizwa mawasiliano yao ya simu na third party limemkera vladimir putin


MKUU hem liongezee nyama hili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hushangai kwa Sasa kuna special operation iliyochukua muda mrefu zaidi duniani...huo sio udhaifu wa Supa-pawa ?
dudus T14 Armata
Proved.
Naamini unajua zaidi ya hapo,ila pengine ni ushabiki TU.
Urusi ilishailemaza kijeshi Ukraine siku nyingi sana.
Kilichopo sasa ni USA kujaribu kuifanya Op hii ichukue mda mrefu kwa matumaini kua Urusi itadhoofika,lkn tayari wameshajua Urusi sio ya kudhoofika Leo wala kesho.

Proved hua husomi wala hisikii package mpya za vikwazo Kila siku dhidi ya Urusi?
Hisikii Kila siku USA,UK,German,France,Canada,Poland na nchi nyingine nyingi za NATO wakipeleka silaha Ukraine?
Silaha hizo zinakwenda kwenye maonesho ama vitani?
Vitani na nani?.

Piga hesabu kwa ujumla Ukraine imepokea silaha za thamani kiasi Gani?
Hebu jiulize kama sio michango ya silaha na misaada mingine ya kijeshi,kiintelijensia na fedha Leo hii Ukraine Ingekua wapi,Ina Hali Gani?
Hata kama mnashabilia kishabiki basi kuweni na fact basi.
Urusi inapigana na NATO na west wote.kwa hiyo op hii itaendelea Hadi west watakapoacha kupeleka silaha Ukraine.
Nyie Kila siku humu mnashangilia Himmers,Juvelin na Nasams Sasa mnafikiri Urusi afanyeje kama sio kuendelea kushusha nyundo?
 
Huenda lile tukio la kusikilizwa mawasiliano yao ya simu na third party limemkera vladimir putin


MKUU hem liongezee nyama hili

Sent using Jamii Forums mobile app
Macron alimpigia Putin ..na line akaiweka wazi Kwa baadhi ya Waandishi wa habari kama kumbukumbu zipo sawa walikuwa Waandishi watatu...So walichoongea kilivuja kati ya Marais kilivuja nje ya protocol/itifaki.
 
Hili gari la kijeshi (Armoured vehicle)toka Italy limeokoa maisha ya wanajeshi wa Ukraine. Achana na vifaru(tanks) na amoured vehicle za kirusi fake,ambazo zinalipuliwa hovyo🤔
....
 
Huku warusi wakisonga mbele [emoji38][emoji38] pro nato yani LGBT acheni propaganda
 
Kwani Russia yeye hapewi misaada? Huyo Iran hatoi misaada?

BTW NATO hajatoa misaada km unavyofikiria na NATO km wakitoa misaada basi Russia lazima ifutwe kabisa ktk hii vita.

Kumbuka tarehe 24 mwezi wa pili wakati Russia inaanza kuivamia Ukraine.... Putin alitangaza wazi kabisa kua nchi yoyote itakayo isaidia Ukraine itachapwa.

Mbona mataifa mengi tu yanapeleka misaada na yanatangaza kabisa Kwa uwazi na huyo Putin Wala hayachapi? Mataifa yaliyomo ktk NATO ndio yanatoa misaada mikubwa lkn Putin anaangalia tu. Km sio wewe unaongea ushabiki tu ni kitu gani sasa unaongea?

Putin ni mbwa Koko tu anabweka na hana uwezo wa kuuma
 
Ha ha ha ha...

Sasa hiyo Belarus ndio nini? Hiyo si inapotezwa dk sifuri tu....
 
Kuna mtu alishawahi kukufundishs kubwabwaja!?

Hii ni oktoba.


Ukijumlisha inakaribia GDP ya Tanzania.
Hakika umeropoka.
 
Ukraine wamefanyia majaribio drones yenye uwezo wa kuruka umbali wa Km 1000 na kubeba kichwa Cha bomu lenye uzito wa kg75. Majaribio haya yamefanikiwa Kwa asilimia zote.

Sasa maghala ya mafuta na Kambi za kijeshi na miundo mbinu ya Russia ya kijeshi yote iko ktk target. Moscow yenyewe iko ktk target mpk ikulu ya Putin iko ktk target.....
 
Kuna mtu alishawahi kukufundishs kubwabwaja!?

Hii ni oktoba.
View attachment 2436206

Ukijumlisha inakaribia GDP ya Tanzania.
Hakika umeropoka.
Tulia wewe narudia Tena NATO km NATO haijatia maguu hapo. Hizo ni nchi Moja Moja tu. Hebu acha kueneza propaganda km zinavyoenezwa huko Russia kua Russia inapigana na NATO. Ivi NATO mnaijua nyie Warusi? NATO sio mchezo huo ndio muungano au umoja wenye nguvu zaidi Duniani....
 
Wewe Muyukireni wa Kibosho Umbwe utayajulia wapi haya? Endelea na mashamba ya migomba Geopolitics huziwezi.

UNAJUA LENGO LA KUUNDWA NATO!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…