Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hii picha inahaksi vyema Hali ya dikiteta ilivyo kwenye zile andaki za Klemlin

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Supapawa ajiandae

[emoji298]️ "Soon we will be able to hit all targets, including those in Siberia. Soon Russia will have no safe zones either," a defense adviser to the Ukrainian government told the Financial Times on condition of anonymity.
 
Tumsikilize Jens Stoltenberg aliyesema hausiki na vita ya Ukraine, wala sio zile kelele za Supapawa kwamba anapigana na NATO.
Kwani aliye sema kuwa ikishindwa Ukraine NATO itakuwa imeshindwa ni baba yako au shemeji yako?

Alafu NATO ni ya nn kama Urusi ni supa pawa wa michongo kwa nn isivunjwe?
 
Kwani aliye sema kuwa ikishindwa Ukraine NATO itakuwa imeshindwa ni baba yako au shemeji yako?

Alafu NATO ni ya nn kama Urusi ni supa pawa wa michongo kwa nn isivunjwe?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Punguza jazba utakufa bureeeee uwape watu taabu ya kusafirisha mbolea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kelele za Supapawa wa mchongo hazimzuii (Ukraine) tembo kunywa maji
 
Naona umehishiwa hoja umeanza kukimbilia kwenye mada za jaziba kwani ww mwana saikorojia mpaka ujue mm nina jaziba.
Mwenye jaziba ni ww unaye ulinzwa swari badala ujibu unakimbilia kupaniki.

Jibu maswari ww na Viongozi wa NATO tumsikilize na tumuamini nani?

Je NATO ipo kwa ajili gani kama Urusi hamna kitu kwa nn isivunjwe badala yake wana haha kuongeza wanachama?

Nijibu maswari yangu acha ngonjera.
 
Supapawa ajiandae

[emoji298]️ "Soon we will be able to hit all targets, including those in Siberia. Soon Russia will have no safe zones either," a defense adviser to the Ukrainian government told the Financial Times on condition of anonymity.
Huenda Kuna kitu kikubwa Ukraine anakitegemea ndo kinampa hii jeuri.., Russia itabidi atafte namna ya kujinasua kwenye hili saga kwa namna yoyote, ikiwezekana anyooshe tu mikono na kurudisha majeshi nyumbani [emoji848]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Punguza jazba [emoji23][emoji23][emoji23]

Supapawa wa mchongo dozi yake bado inaendelea halafu uzuri anafinywa kimyakimyaaa,picha ndo Kwanza linaanza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
hivi zile kemikaze shaheed bado mnaziskia huko kwenyu?
fyekleaa mbali.
Huko Namanyere mnasemaje mtu wangu wa nguvu?

💥💥💥Several EU countries, including Germany and France, are asking the European Commission to adjust sanctions to improve food exports from Russia.

something does not work.....💥💥💥
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…