Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Nyie ndo kwa sasa hamna sera.yani mmekuwa wakiwa kama vile vifaranga vilivyokosa mzazi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Na bado mpaka Zelensk akapige goti Moscow
Wakati unawaza zelensiky kupiga magoti Moscow ndo kwanza jamaa anafta target zaidi zenye manufaa atakazozilenga na kuzishambulia hapo urusi [emoji12]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Russian defense manufacturer Uralvagonzavod announced that it had delivered a new batch of heavily upgraded T-72B3M battle tanks to Russian Ministry of Defense.

Upgrade ya T-72 inaingia mzigoni.hili ndo Jeshi la mtu mmoja, sio nyie mmekusanyana ukoo mzima kwenda vitani.[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji12][emoji12][emoji12]
Your browser is not able to display this video.
 
Nyie ndo kwa sasa hamna sera.yani mmekuwa wakiwa kama vile vifaranga vilivyokosa mzazi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Na bado mpaka Zelensk akapige goti Moscow
Hivi bado mnawaza tu kupigiwa magoti,kama hakwenda kupiga goti wakati vifaru vya Supapawa vikiwa km chache kuingia Kiev ndo aje apige Leo akiwa na uwezo wa kurusha drone undetected mpk kupiga base muhimu huku air defenses zetu pendwa S1000 zikiwa zipo tu zimesinzia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
 
Javellin zinavisubiri kwa hamu!
Hivi si ndo vile ambavyo vikipigwa na Javellin turret inaruka hewani kama mwewe[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wakati unawaza zelensiky kupiga magoti Moscow ndo kwanza jamaa anafta target zaidi zenye manufaa atakazozilenga na kuzishambulia hapo urusi [emoji12]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kwa stahili ile ya kutuma drone airport, alafu drone yenyewe inaenda kuchubua ndege vita[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Ebu acheni kuchekesha watu
 
Mahusiano liko wazi hayakua mazuri

Ila haikufikia hio levo unayosema US na EU walikua pamoja

Kama ulifuatilia baada ya mkataba wa JCPOA na Us kujiondoa hao EU walitakiwa kuunda system yamalipo ili IRAN wakwepe vikwazo vp uliona ikiundwa nahaikua ikihusisha Us

Vikwazo vilivyobakia vya Us na Eu niupande wa kununua dawa nakuuza silaha nje yaani IRAN

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kuna ulazima gan kama wanaona majeshi watakua hawawatoshi c wanawaongeza tu wawe wengi hio nishida yao binafsi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rais yupo mafichoni kama vile nchi sio yake.hakuna hata kuzindua kitu.iyo ni nchi au andaki[emoji12][emoji12][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unaona ulichoandika hapa. "Iran hajawahi kuwa na shida na ndege za US". Aliyekurupuka nani? Hajawahi kuwa na shida na ndege za Marekani ila alizinunua na bado anazitumia hadi sasa. Unaelewa unachozungumza au unabisha uonekane
Walizinunua lini!!?

Hizo ndege zilinunua liwa tokea IRAN ikiwa sio jamhuri ya Kiislam kama ulitegemea kama watazirudisha pole sana MKUU

Najua unajua hapa twaiongelea IRAN ipi nitajie tokea baada ya mapinduzi 1979 IRAN wamenunua ndege gani tokea Us

Hizo zilizopo walizirithi hawakuzinunua baada ya 1979

Sent using Jamii Forums mobile app
 
System Kati ya Iran na EU Marekani alitishia kuweka vikwazo kwa Bank au taasisi yoyote Ile itakayojihusisha na hiyo mechanism ya malipo,ikajifia.

Uhusiano haukua mzuri ndio maana tulisikia kauli toka kwa viongozi wa Ulaya km Macron alisema NATO "is becoming brain dead". Tulianza kusikia vitu kama European army badala ya NATO Ila baada ya hii vita vyote hivyo vimekufa akili za Ulaya zote zipo kwenye kuimarisha uwezo wa NATO ndio maana wachambuzi wengi wanasema hii vita ina faida Sana Kwa Marekani maana vitu vingi alivyokua akivipigia kelele vinaenda kuwezekana ndani ya muda mfupi. Mfano suala la kutumia 2% ya pato la Taifa kwenye Ulinzi ilikua ni mtihani Kwa nchi za Ulaya ila sasa nchi karibu zote za Europe zimeongeza bajeti ya Ulinzi.
 
Rais yupo mafichoni kama vile nchi sio yake.hakuna hata kuzindua kitu.iyo ni nchi au andaki[emoji12][emoji12][emoji23][emoji23][emoji23]
Yupo mafichoni wakati Jana alikua Donbass karibu kabisa na frontline wakati huo Babu yote kajisweka kwenye handaki lenye viyoyozi huko Kremlin
 
Ndio maana nikakwambia fuatilia vyema haya mambo MKUU

Ila kulikua na system baada ya Us kusema hayo ya vikwazo kukawa kuna system maalum ikatakiwa iundwe kukwepa hivyo vikwazo

Ila mpaka leo Eu hawajaunda

Ndio maana nakwambia ufatilie kwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…