Axel Lloyd
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 4,170
- 9,502
Sio kwamba haikuundwa,Iliundwa system iliitwa Instex.Ndio maana nikakwambia fuatilia vyema haya mambo MKUU
Ila kulikua na system baada ya Us kusema hayo ya vikwazo kukawa kuna system maalum ikatakiwa iundwe kukwepa hivyo vikwazo
Ila mpaka leo Eu hawajaunda
Ndio maana nakwambia ufatilie kwanza
Sent using Jamii Forums mobile app
@T14 Armata mara ya mwisho RUSSIA ilitokea mwaka 1990s130 houses of right-wing radicals are searched in Germany in the case of preparing a coup Presumably, the right-wing radicals planned to seize the Bundestag
Nahitaji kilo kumi.Kwa maitaji ya sembe safi kabisa yenye ubora wa TBS inapatikana kwenye duka letu lililopo KYIV.piga simu unaletewa popote ulipo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji12][emoji12][emoji12]View attachment 2438976
Unasahau kwamba idadi ya wanajeshi inaendana na Uchumi wa nchi pamoja na Sera ya ndani na Nje ya nchi. Ulitaka Ukraine iwe na wanajeshi milioni moja halafu iwalipe nini?! Ukiacha malipo kila mwanajeshi lazima awe na vifaa vikivyokamilika hizo zote ni gharama,je Uchumi wa Ukraine ungeweza kumudu?!Sasa kama huongezi tuu walikua na haja gani yakua najeshi dogo ambalo haliwatoshi
Nakama waliona linawatosha uhamasishaji ulikua wakaz gan
Sent using Jamii Forums mobile app
@T14 ArmataTuliwambie nyie kenge maji, Urusi sio Zimbambwe ona sasa mnavyotaka kupinduana.ujeruman kwa sasa magari ya kijeshi yapo kila sehemu[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Sasa wanalalamikia nini nae RUSSIA kujilinda huko UKRAINEHalafu kuna warusi wa Chanika Masantula wanakwambia ni kosa kwa Ukraine kuishambulia Urusi kwenye ardhi yake [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji298]️Commenting on the recent attacks on military facilities in Russia, the spokesman of the German federal government, Steffen Gebeshreit, noted that Ukraine has the right to defend itself not only on its own territory, - Bild.
Hem nenda kawasikilize na IRAN wanasemaje kuhusiana na hio systemSio kwamba haikuundwa,Iliundwa system iliitwa Instex.
Ilikuja kujifia baada ya Marekani kutishia kuweka sanctions dhidi ya taasisi yoyote inayojihusha na hiyo special payment mechanism Kati ya EU,Iran.
EU mechanism for trade with Iran 'now operational'
06/28/2019June 28, 2019
The EU has created a mechanism that will allow European countries to trade with Iran despite US sanctions. The move is an attempt to show good will toward Iran and keep it in the 2015 nuclear deal.
EU mechanism for trade with Iran 'now operational' – DW – 06/28/2019
Iran walisema hiyo System haina faida yoyote,maana baada ya Marekani kutishia kuweka vikwazo hakuna taasisi iliyokua inataka kujihusisha tena na hiyo payment mechanism.Hem nenda kawasikilize na IRAN wanasemaje kuhusiana na hio system
Hakuna system imeundwa na IRAN waliliongelea hili jambo kilaleo
Sent using Jamii Forums mobile app
Wala sijasahauUnasahau kwamba idadi ya wanajeshi inaendana na Uchumi wa nchi pamoja na Sera ya ndani na Nje ya nchi. Ulitaka Ukraine iwe na wanajeshi milioni moja halafu iwalipe nini?! Ukiacha malipo kila mwanajeshi lazima awe na vifaa vikivyokamilika hizo zote ni gharama,je Uchumi wa Ukraine ungeweza kumudu?!
Na hakuna aliyekua akiwaza kwamba Russia itakuja kuivamia Ukraine.
IRAN ilisema EU hawapo tayar kuanzisha hio system nawakalalamikia kama jamaa wanafata matakwa ya UsIran walisema hiyo System haina faida yoyote,maana baada ya Marekani kutishia kuweka vikwazo hakuna taasisi iliyokua inataka kujihusisha tena na hiyo payment mechanism.
Fatilia vizuri.
Aliyekwambia kwenye mobilization unalipwa Nani?! Kule unaenda kujitolea kwa nchi yako wale sio Wagner group wanaochukua wafungwa na wakulima huko Russia....wale ndo wanalipaWala sijasahau
Kwasasa wanawalipa nn maana nchi tayar ishatangazwa kufilisika
Mwanzo nasasa wapi wangeweza kuwalipa
Tokea mwaka 2014 UKRAINE kusini kule kulikua hakukaliki ilikua ongezeko la jeshi linahitajika ukitoa uvamizi wa RUSSIA
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo nimeona na mkorea kamwaga pick up 100 mpyaaaThe German government extends the military support for Ukraine. Additionally to what has been promised comes:
- 20 x Dingo
- 2 x M1070 Oshkosh
- 18 x RCH 155
- 80 x Pick-up*
- 90 x drone jammer
- 2 x hangar tents
- 7 x 8x6 Multi truck
Full list:
#Ukraine https://t.co/UAwUmj3hMUWaffen und militärische Ausrüstung für die Ukraine | Bundesregierung
Krieg in der Ukraine: Deutschland unterstützt die Ukraine mit Ausrüstung und Waffen - Die Übersicht (wird nicht mehr aktualisiert).t.co
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Hambaye.. takataka kama hivi ndo zinaifanya tanzania kuwa bichwa la mwendawazin..shwain..jitu hata kuandika kiswahili halijui alafu linainua pua kama sokwee kusema super power n mmoja tu! Baldi fakeni kabisaaaWarusi wa buza washeni Tena moto wenu mliokuwa nao mwezi wa pili++
Tulikuwa tunawazoom tu jinsi mlivyokuwa mkijazana ujinga na upumbavu kwa article ndeefu zisizokuwa na kichwa Wala miguu..,vita ya urusi na Ukraine imenifunza kwamba Tanzania tuna wajinga wengi,mtu anashangilia tu uonevu eti kisa flani alishawahi kufanya.., taratibu akili zitawarudia kwamba Kuna super pawer mmoja pekee hapa chini ya jua,hambaye ni USA [emoji1258][emoji1258]
Takataka nyingine Tupa kule[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ndo nimesha kwambia huna hoja kaa kwa kutulia usishoboke kifala, maana una nyege za kurukia kila Comment ya mwanaume lakini ukipigwa sipana unakimbilia mipasho na hii ni tabia ya wanaume ambao si riziki.
Au kama una biashara nyingine ya siri iweke hadharani tuijue maana nyinyi wanaume feki huwa mnatumia nguvu na akili nyingi kujitangaza.