Axel Lloyd
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 4,170
- 9,502
Babu yenu ndo akili inamjia sasa hivi kwamba hiyo vita si ya kuisha Leo au kesho yaleyale ambayo Marekani na NATO walikua wakisema kila siku. Urusi ijiandae kisaikolojia maana hiyo vita inaweza chukua hata Muongo mmojaRUSSIA hawez vita ya muda mrefu jiandaeni kisaikolojia [emoji16][emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kichwa hakieleweki kawa zombie [emoji3446]View attachment 2438819
Ukrainian militant after meeting wanamuziki PMC Wagner on Battlefield
Drone zimeleta ufanisi zimepumzika saivi ni mwendo wa bomber then tutabadili tena yani Ukraine ni sehemu ya kujaribu silaha na mashoga wote NATO wanajua hiliHamuamini mnachokiona siku Hz hakuna tena mbwembwe ya drone zenu pendwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mashoga wakatishiwa na shoga mkuu wao wote wakaogopaSio kwamba haikuundwa,Iliundwa system iliitwa Instex.
Ilikuja kujifia baada ya Marekani kutishia kuweka sanctions dhidi ya taasisi yoyote inayojihusha na hiyo special payment mechanism Kati ya EU,Iran.
EU mechanism for trade with Iran 'now operational'
06/28/2019June 28, 2019
The EU has created a mechanism that will allow European countries to trade with Iran despite US sanctions. The move is an attempt to show good will toward Iran and keep it in the 2015 nuclear deal.
EU mechanism for trade with Iran 'now operational' – DW – 06/28/2019
Mashoga ndo wamemgeuza Supapawa SS hivi anakula Miti tu! Unadhani kila shoga ni mtoa jicho eeeh!Drone zimeleta ufanisi zimepumzika saivi ni mwendo wa bomber then tutabadili tena yani Ukraine ni sehemu ya kujaribu silaha na mashoga wote NATO wanajua hili
Kichekesho? Wewe kweli shabiki maandazi hufuatilii mambo yanayoendelea.Kichekesho
Hizo taarifa za kilichojadiliwa umezipata wapi?Tupe source ya hiyo taarifa!Na akili zimeshaanza kuwakaa Sawa,Jana wamekaa kikao huko kujadili Ukraine amewezaje kurusha ndrone zikaenda mbali hvyo bila kua detected na air defense systems.
Tuwaombeeni warusi kwa kweli, wanapukutika sana 🥱🥱Wajuba wa kirusi wanapoteza hadi askari 500 kwa siku[emoji848]
...
Dec.8 update on russian losses in the war
View attachment 2439305
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji12][emoji12][emoji12][emoji23][emoji23] chanzo chako cha matopeniWajuba wa kirusi wanapoteza hadi askari 500 kwa siku[emoji848]
...
Dec.8 update on russian losses in the war
View attachment 2439305
Mkiambia muonyeshe hata maiti 2 kwa siku za Warusi hamna.sasa iyo si mipasho ya kina mama[emoji12][emoji12][emoji23][emoji23][emoji23]Wajuba wa kirusi wanapoteza hadi askari 500 kwa siku[emoji848]
...
Dec.8 update on russian losses in the war
View attachment 2439305
Tuendako kuna mtu atapiga nukes au dirty bombLeo nimeona na mkorea kamwaga pick up 100 mpyaaa
Ushabiki umekuwa mwingi kuliko kubadirishana maarifa.Binasfi Mimi sio mchangia tangu kuanza kwa mzozo huu, lakin Hadi leo nimejifunza Mambo mengi kuhusu wachangiaji katika jukwaa Hilo.
Moja, wengi inaonekana hawaelewi Mambo, wanafuata hisia na itikadi, hivyo wamekaa kishabiki tuu.
Pili, Uelewa wa watu wengi hapa jukwaani juu ya historia ya Ulimwengu Ni kidogo.
My take: kwa mtu ambae hakusoma A level combination za Arts na pia/AU sio mfuatiliaji wa historia ya siasa za kiulimwengu atapata wakati ngumu Sana kuelewa na kuchangia mada katika mgogoro huu,,
Mfano. Kuna Topic kwenye history Ambazo Ni RISE OF CAPITALISM IN EUROPE, RISE OF USA AS CAPITALIST SUPER POWER, RISE OF DEMOCRACY IN EUROPE, RISE OF SOCIALISM na nyingine Ambazo kwa mtu ambae amesoma topic hizi Advance na kuzielewa Basi anaeza kuwa na Uelewa mkubwa wa mgogoro huu.
Zaid Mambo haya Ni kwenye TOPIC ya THREATS TO THE WORLD PEACE AFTER THE SECOND WORLD WAR, Formation of NATO upande wa Capitalism na WARSAW PACT upande wa Socialim.
Historia ya USA kutaka kuivamia CUBa na Cold War, kuigawa ujerumani na collapse ya USSR.
MAMBO NI Mengi lakin nimegundua Sana kuwa watu wengi wanaibeza RUSSIA kwa kuwa hawaifahamu historia ya RUSSIA NA USA watu wengi hawajui kwann USA anaungana na EUROPE kumfanya RUSSIA Asishinde Hapo UKRAINE.
NI Vyema watu turud tujifunze af tune kuchangia, nahis Kuna watoto wengi humu au watu wasojua Mambo wanahisi jukwaa Hili Ni Kama FB.
Wanaoamini katika mode of production wanaamini kuwa dunia inaihitaji RUSSIA ili kubalance siasa.