MR MAJANGA
JF-Expert Member
- Oct 4, 2014
- 3,526
- 10,820
Hahahaha aaaah wapiHata RUSSIA alijua kama SMO ni long process kwahio nyie jiandaeni tu kuendelea kutoa msaada mpaka mtakapo choka
Sent using Jamii Forums mobile app
IRAN TAIFA TEULEAkbar akbar
Kuna hii huku umekwepa Ayatollah na viongozi wa Iran wapanga kukimbilia Venezuela nchi ikinuka
Nasikia huko PUT IN kashasema anataka maeneo mengine zaidiHahahaha aaaah wapi
Muda utaongea.watamuomba wenyewe wakae nae mezani.mtu anachimba madini mwenyewe anapeleka kiwandani anatengeneza silaha.wewe unanunua madini mpaka mafuta.huyo mtu wa kushindana nae kweli.Nasikia huko PUT IN kashasema anataka maeneo mengine zaidi
UKRAINE haitakuepo tena hapa DUNIANI
Sent using Jamii Forums mobile app
HakikaaaMuda utaongea.watamuomba wenyewe wakae nae mezani.mtu anachimba madini mwenyewe anapeleka kiwandani anatengeneza silaha.wewe unanunua madini mpaka mafuta.huyo mtu wa kushindana nae kweli.
Ukraine kitu kitakachowatoa kwenye vita ni kuomba Urusi kukaa nae mezani ila mengine ni kujipa imani tu na kupoteza mudaView attachment 2439773View attachment 2439775
Mabwana zake nani ?...jifunze nidhamu ya majadiliano kijana mdogo.Kwa hiyo na mabwana zenu kipindi wanaweka vikwazo lengo lao lili kuwa viwarudie wao mpaka waanze kula chakula cha mbwa sio?
Sisi tupo tunasubiri ile kauli ya vita ilianzia Crimea na itaishia crimea[emoji12][emoji12]Kheson - mycolaiv -oddesa [emoji23][emoji23]
Ndoto iliyoyeyuka[emoji28]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hilo Wala halina mjadala, vilianzia Crimea na vitaishia Crimea [emoji56][emoji56]Sisi tupo tunasubiri ile kauli ya vita ilianzia Crimea na itaishia crimea[emoji12][emoji12]
MTU asiyefikiria ndo anaweza kusema hivyo unavyosema.Hilo Wala halina mjadala, vilianzia Crimea na vitaishia Crimea [emoji56][emoji56]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
I love Oddessa(Bhakmut) mapigano makali yanaendelea kwenye makazi ya watu.vikosi vya Urusi vinashambulia kila upande.[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
=- aKumekuchaaa,naona Ukraine kaamua kuhamishia vita nyumbani kwa Supapawa
οΈ There was an explosion in the Belgorod region, Russia, reports local Telegram channels.
Kwa namna Hali inavyokwenda Vita hii itaishia Kiev...mark my words..Sisi tupo tunasubiri ile kauli ya vita ilianzia Crimea na itaishia crimea[emoji12][emoji12]
Kwa namna ambavyo umekuwa ukiweka comments zako humu. ambazo ni nyingi nilikuwa nadhani unajua mengi kuhusu mgogoro huu...ila kwa comment yako hii nimegundua kumbe hufahamu chochote kuhusu conflict hii....ni mchambuzi gani wewe usiyejua kuwa Ukraine ilikuwa militarized na West since 2014?!Kwani kabla ya Vita uliona West wakitenga mabilion ya fedha kama ilivyo sasa kuhudumia wanajeshi wa Ukraine?! Uliona mafunzo ya wanajeshi wa Ukraine kwenye ardhi za UK,USA,Baltic States na wengine?!