T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 13,924
- 47,173
Kwanini uandikie mate hali wino upo. Lete hizo independent sources tuone air to air combat ambapo Mig zilishinda. Wewe mwenyewe hapo ulishasema zilipigwa 64 na zikapiga mara 250, sasa ratio mbovu kama hii unaipata kwa ndege gani ya MarekaniSoma kuhusu F-186 sabre.pia Soma kuhusu f 4 katika independent sources.zisome hizi katika Vietnam war air to air combat.
Wamarekani licha ya kipigo Cha Mara kwa Mara hawajawapa kuacha kusifia Chao na kudunisha Cha Kirusi.
Mig 21 ilikua tishio kuu ndani ya Vietnam. Si hiyo tu mig 17 na mig 19 waliwanyonya vibaya Yankees
Mwezi huu warusi wamechukua mji gani?! Hivi kuna mji ambao Urusi imeuchukua tangu Ukraine waanzishe counter offensive mwishoni mwa August?! Embu tutajie [emoji23]Hatw huu mlisema hawatwuchukua sasa umeenda na maji tunaenda lyman kuuchukua pia
Russia anapigana Luhansk miaka 8, why aishinde Ukraine in less than a monthOrthodox Church X-mas,January 6th or a few days after that.
Mji wa ugledar na kharkovikaMwezi huu warusi wamechukua mji gani?! Hivi kuna mji ambao Urusi imeuchukua tangu Ukraine waanzishe counter offensive mwishoni mwa August?! Embu tutajie [emoji23]
Hivi unatuchukuliaje kwa comment zako hizi?! Kwamba pengine watu hatujui kuhusu kushindwa kwa USA huko kwa Taleban?!?!?! Duh...usitudhalilishe bwana...Talibani wamekuja baada ya NATO kuondoka
[emoji16]Akbar akba njoo huku pia Iran yaishiwa, yasitisha kufadhili magaidi wa kiislamu
IRAN TAIFA TEULEAkbar akba njoo huku pia Iran yaishiwa, yasitisha kufadhili magaidi wa kiislamu
Ndo faida ya kuwakumbatia mabeberu.wacha wavune walichopanda.unamkaribisha adui wa jirani yako nyumbani kwako, unategemea nini kama sio kutangaza vita na jirani yako.[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Baada ya kipigo Cha mbwa mwizi wanamgambo wa Ukraine wanafungwa antena kwenye mapango wanaishi kama nguchiro[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2444090View attachment 2444091View attachment 2444092View attachment 2444093
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Himars au [emoji16][emoji16][emoji16][emoji298]️ More footage of the fire at the shopping center in Balashykha (Moscow, Russia). Video from local social networks.
[emoji117] Follow
@Flash_news_ua
[emoji298]️In Nyzhniokamsk (Russia) a fire broke out at a synthetic rubber factory.
The burning area is 10,000 square meters, — local media report.
Uzi umepoteza uhalisia Vunjo na mavideo yake ya 2014Huu uzi ushaanza au umeshapoteza maana sasa. Tangu waingie kina vunjo na kp kipanya44 HIMARS ambao wanajenga hija kama vile hawana vichwa huu uzi umekosa maana.
Wanajua wenyewe maana week hii yote kuna mioto huko
Baada ya mapigano wanajeshi wanafikia lodge[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] jaman mkuje huku vunjo karudi na zile video zake.video inasema wanajeshi mia 2.kwenye video hata mwanajeshi mmoja aliyekufa hakuna[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Kwanza ilo jengo lenyewe hata wanajeshi 50 awawezi kulala humo.kwanza mwanajeshi analala front.
Miili ipo wapi?Kikubwa ni Himars imekaanga Wagner zaidi ya 200 kwenye kambi yao cheki video ingine hii