Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Huu uzi ushaanza au umeshapoteza maana sasa. Tangu waingie kina vunjo na kp kipanya44 HIMARS ambao wanajenga hija kama vile hawana vichwa huu uzi umekosa maana.
Vunjo ni zaidi ya kichekesho chochote unachoweza kukifikiria. Akisha pambana akapata wa kumu hotspot lazima rukome na video zisizo na uhalisia
 
Jeshi la Ukraine likitumia Makombora ya kudungulia ndege kutoka ujerumani kudungua drone,Shahed 136 toka Iran inayotumiwa na Urusi vitani ,Ukraine🤔
....
Germany-provided Gepard self-propelled anti-aircraft gun shooting down an iranian Shahed 136 drone somewhere in Ukraine
 
Nashauri Putin atupe bomu moja zito pale Washington DC, mmarekani atulie, maana hachoki kuharibu amani ya ulimwengu
Uzuri Russia pamoja na ujeuri wao ila sio wapumbavu kama wewe wa attempt hiyo suicide mission.
 
Pro Russia baada ya kuona kumtetea urusi ni sawa na kujaribu kuchora ramani majini..,Sasa naona wamekuja na GIA ya " ushabiki" walitamani kuona zile article ndeefu za kubumba zikiendelea kutamalaki hapa, lakini ni bahati mbaya sana, kwamba kinachoendelea front line kinazidi kuwaumbua [emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Usimuliaji huu unatupa ss tusiofuatilia mambo kiundani Zaid kupata Cha kuvhangia vijiwen huko[emoji123]
 
Umahiri wa rubani pia huchangia kung'arisha au kufifisha ubora.
 
shukran mkuu kwa elimu hii lakini vipofu bado hawatojua sababu ya kufika hapo kwa Russia.

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Huyu jamaa siku hizi hata like hapati.
 
Pro Russia ni "vichwa kwerikweri".
Kwa fact ndo usisene.
 
Hatari na nusu.View attachment 2445721

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
One of RPA (Rwandan Patriotic Army) in rwanda 1990 to 1994 war strategy is by brutally killing civilians to terrorize them,so that they can start fleeing in masses to create chaos/ disorder.Their commandos then flee with refugees as refugees and inflitrate the country!That's how the next city is captured!.

HII MBINU YA KIVITA MBAYA SANA INACHUKUA MAISHA YA WATU WENGI SANA WASIO KUWA NA HATIA.
 
Nguchwiro.

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
Huyu jamaa siku hizi hata like hapati.
Kumbe bado una mawazo mgando ya like?
Hebu jaribu kujipost kwenye ukurasa wako wa Facebook ukionyesha hayo makalio uliyo nayo Jinsi yalivyo makubwa. , Mbona utapata likes nyingi??
Mambo ya kipuuzi ndo yanapata like ..., angalia kurasa za mitandao ya kijamii ya akina zuchu,uwoya uone wanavyopata like

Kiukweli umeonyesha upumbavu wa kiwango cha lami,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…