Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mbona Bush aliivamia Iraq kienyeji bila sababu za msingi?

Mwisho wa siku kuangushwa kwa Sadam kuka mnufaisha adui namba moja wa Marekani ambaye ni Iran?
 
Haya tutajie majina ya wanajeshi wa Marekani walio kufa nchini Afghanistan.
 
Mbona Bush aliivamia Iraq kienyeji bila sababu za msingi?

Mwisho wa siku kuangushwa kwa Sadam kuka mnufaisha adui namba moja wa Marekani ambaye ni Iran?
Iran kwanza siyo Adui namba moja wa Marekani. Bush alitoa taarifa zisizo sahihi kwamba Iraq inamiliki silaha za maangamizi ya halaiki (Weapon of Mass Destruction - WMD) bungeni. Lakini hakupeleka wanajeshi wa Marekani vitani kwa kificho.

Hayo mambo ya kufanya vitu kwa kificho yanawezekana zaidi kwenye nchi za kikomunist.
 
Haya tutajie majina ya wanajeshi wa Marekani walio kufa nchini Afghanistan.
Usitangetange. Wewe umesema wanajeshi wa Marekani zaidi ya 1,000 wamekufa kwenye vita huko Ukraine, nikaomba unipe chanzo ili na mimi nisome mwenyewe.

Hayo ya Afghanstan hayatakusaidia kuthibitisha habari yako kwamba wanajeshi zaidi ya 1,000 wa Marekani wamekufa kwenye vita huko Ukraine.
 
Lakini mkuu huo mfumo si ndo unailinda Saudia ? mbona kila siku ilikuwa inashindwa na Drone na makombora ya wauthi?
Kwanini TANESCO makao makuu yao yawe na emergency generator ya kutumia mafuta?
Kwanini Russia awe na S-400/S-300 na wakati huohuo awe na Pantsir, Tor na BUK. Kwanini asiwe na system moja tu.
Kila system ina kazi yake, system inayozuia na kumonitor ballistic missiles pale Marekani inaweza kuwa AEGIS ya kwenye meli au THAAD ya ardhini. Cruise missiles utakutana na Pantsir. Defense ya very valuable target ndio kama NASAMS.

Bado kuna vitu kama anti drone swam system, kuna SPAAG kama Gepard ya Ujerumani na vitu vingine. Kisa SCANIA 113 ni gari la mizigo huwezi bebea mzigo wa mfuko wa unga, kuna bodaboda uko.

Ukitaka kulaumu system ujue kazi yake kwanza. Siwezi ilaumu S-400 kushindwa kuzuia suicide drones kwenye base ya Russia last week, najua ni kazi ya wadogo kina Pantsir
 
Wakati Ukraine inashambulia ngome za Kijeshi za Urusi.
Urusi yenyewe inashambulia makazi ya wananchi wa kawaida wa Ukraine
Urusi,Hamas ,Islamic Jihad,Hezbollah,wanafanana kitabia.Wote magaidi 🤔
...
Ukrainian children's routine. Running to a shelter during yet another air raid sirens.
https://www.facebook.com/
 
Pope Urges ‘Humble’ Christmas, For Ukraine’s Sake

Pope Francis has called on Christians to celebrate a “humble” Christmas this year and donate the saved cash to Ukraine.

“It’s nice to celebrate Christmas and have parties, but let’s lower the level of Christmas spending a bit,” he said during his weekly general audience.

“Let’s make a more humble Christmas, with more humble gifts, and let’s send what we save to the people of Ukraine who need it.”

Subscribe to RT
 

Attachments

  • IMG_20221214_192736_476.jpg
    74.3 KB · Views: 17
❗️No Ceasefire For Winter Holidays — Kremlin

Key points from Kremlin spokesman Dmitri Peskov’s daily briefing:

▪There are no plans for a ceasefire during the upcoming winter holidays and one has not been proposed by any side of the conflict

▪The planned supply of US Patriot missile systems will be valid targets for Russian strikes once they appear in the operation zone

▪President Putin will meet with the heads of the four regions which recently voted to join the Russian Federation

▪Russia’s special operation will go on, with the primary objective being the safety of the people of Donbass

Subscribe to RT
 
Nani kakuambia Russia hashambulii ngome za kijeshi? Ukraine Sasa hivi Hana ngome za kijeshi zinazoeleweka.
 
Mawagner yakiwa yameuliwa kama kuku huko Bakhmut

Near Bakhmut, soldiers of the Georgian Legion of the Armed Forces of Ukraine wiped out a group of Russian militants belonging to the “Wagner” terrorist group.
 
CIA walitaka vita kwa lazima
 
Dadekiiiii

[emoji298]️France and Italy approved Ukraine's request for the supply of Mamba air defense systems (SAMP-T).

This was stated by the Ambassador of France to Ukraine Etienne de Ponsin during hearings in the National Assembly of France.
 
Kwanza mm sijaleta habari yeyote inayo husiana na Marekani kupeleka wana jeshi nchi Ukraine.

Nimekuuliza hivyo baada ya ww kusema kuwa Marekani ingekuwa imepeleka Wana jeshi wanao kufa wangejulikana kwa sababu familia zao zingejulishwa.

Sasa na mm ndio maana nime kuuliza kuwa majina ya walio kufa nchini Afghanistan unayajua?
 
Mkuu mbona ujajibu swali langu?
 
Waambie warusi wapunguze propaganda,bidada yu mzima WA Afya anaendelea na mapambano

Bidada huyu hapa [emoji116]

Unsure what Russian propaganda machine decided to spread rumors of my death, but I am definitely alive and well.

Video update on my status. слава україні!

SLAVA UKRAINE [emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…