lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,485
Sawa bana,ila hesabu hazisemagi uongo.Kwa ivo ulitaka Urusi aishambulie Ukraine halafu aangaliwe tu?? Halafu si NATO wala West kama unavyodai, wanaoshiriki kupigana vita Ukraine.
Tupate tangazo toka kwa wadhamin al jazeeraAnga la Ukraine litakuwa salama dhidi ya drone za waajemi na litageuka hatari kwa marubani wa Urusi...
HIMARS kp kipanya44
Mpaka Sasa sidhani kama ataweza tena.... nadhani mpaka hapo hawezi shinda tena hii vitaNa bila kulikamata hilo anga kikamilifu bhas Mrusi atakua na Hali mbaya sana
Wanatia huruma aisee.... Dah.....Mariupol inaendelea kutokea huko Bakhmut.[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Wanajeshi wa Ukraine wakiwa wamekubali kujisalimisha kwenye mji wa BakhmutView attachment 2446190View attachment 2446191
Wanaoonewa ni donestk na luhansk.Zamani Tanzania ilisimama na wanaoonewa. Siku hizi kila mtu na lwake!!
Swali lako ni tata ndio maana nimekupa maelezo yanayoeleweka. Air defence system ni topic pana sana inahitaji muda kuisoma na kuielewa sio kulaumu tukio likitokea.Mkuu mbona ujajibu swali langu?
Wanajeshi wa Urusi waliohusika katika atrocitiesHa ha Ili kumshtaki Nani?
Urusi siku akibahatisha Himars hata moja lazima atazipata zingine.Hahahaha evidence iko wapi kuthibitisha madai ya kuliwa kwa Himars?!
Haitafanya chochote?! Leo Russia karusha kamikaze drones 13 lkn hakuna hata moja iliyofikia target zote zilitunguliwa mapema kabisa.
Kama hiyo mifumo haifanyi kazi nini kinafanya Russia aogope kuingiza ndege kwenye anga la Ukraine?!
Bombers za Urusi hazithubutu kugusa airspace ya Ukraine,zinarusha Makombora tokea Urusi kwenyewe au Belarus
Hasara tupu, hebu nipe makisio ya gharama in Tshs.Swali lako ni tata ndio maana nimekupa maelezo yanayoeleweka. Air defence system ni topic pana sana inahitaji muda kuisoma na kuielewa sio kulaumu tukio likitokea.
Umesema Saudi Arabia "kila siku" ilikuwa inashambuliwa wakati ina Patriot. Saudi Arabia ilishambuliwa na suicide drones za Houthi kwenye matenki ya mafuta ikiwa na Patriot system (ambazo sio kwa ajili ya kuzuia drones). After that time ikanunua systems za kuharibu suicide drones ndogo kama zile na matokeo yake ndio kama hiviView attachment 2446877View attachment 2446878View attachment 2446879
Unategemea system inayoharibu kombora lenye 3000km/hr likiwa attitude ya 15,000 meters ndio hiyo hiyo itumike kwenye kidrone cha 300km/hr chenye kilo 3 za TNT kikiwa attitude ya 50 meters?
Tutajie ni HIMARS ngapi zimeharibiwa. Au unataka kukadiria kama kawaida ya taarifa za Peskov mpaka akataja idadi kubwa kuliko HIMARS zilizokuwa Ukraine. There is no evidence, no claimed killHivi bado unaamini kabisa kuwa Hakuna mfumo hata mmoja wa himars umeliwa?
Endelea kuamini hivyo. But Patriot Kama ilivyo NASAMS, Iris T na sky nini ile haitafanya chochote dhidi ya bombers za kirusi.
Lakini pia Ni kazi ngumu kutungua missile za kirusi . Iskander missiles, kalibr. Utungue kwa kutumia Nini?
Mpaka Sasa anapigana na DuniaSawa bana,ila hesabu hazisemagi uongo.
Pelekeni silaha TU,changishaneni silaha TU
Tunasubiri Iron dome ya Israel.
Ili hesabu itimie na historia isomeke kua Urusi ailipigana na nusu ya Dunia.
Siku hiyo channel zote za Urusi zitaonyesha hilo tukioUrusi siku akibahatisha Himars hata moja lazima atazipata zingine.
Na lazima ataonesha picha
Makisio ya gharama za nini mkuuHasara tupu, hebu nipe makisio ya gharama in Tshs.
Upande wa ballistic missile naona Patriot imefanya na inaendelea kufanya vizuri Sana huko Saudia maana karibu kila mwezi lazima Saudi Arabia watungue kombora zinazorushwa na Houthi mpk stock yao ya patriot missiles ikapungua imebidi watoe order ya Makombora mengine 300.Swali lako ni tata ndio maana nimekupa maelezo yanayoeleweka. Air defence system ni topic pana sana inahitaji muda kuisoma na kuielewa sio kulaumu tukio likitokea.
Umesema Saudi Arabia "kila siku" ilikuwa inashambuliwa wakati ina Patriot. Saudi Arabia ilishambuliwa na suicide drones za Houthi kwenye matenki ya mafuta ikiwa na Patriot system (ambazo sio kwa ajili ya kuzuia drones). After that time ikanunua systems za kuharibu suicide drones ndogo kama zile na matokeo yake ndio kama hiviView attachment 2446877View attachment 2446878View attachment 2446879
Unategemea system inayoharibu kombora lenye 3000km/hr likiwa attitude ya 15,000 meters ndio hiyo hiyo itumike kwenye kidrone cha 300km/hr chenye kilo 3 za TNT kikiwa attitude ya 50 meters?
""mercenaries ""Kwamba huwa huoni picha za hao mercenaries
Hakuna mdudu HIMARS ata mmoja Alie kufa huko Ukraine. Hao wadudu wote 20 wako mzigoni na wanapiga kz Kweli KweliTutajie ni HIMARS ngapi zimeharibiwa. Au unataka kukadiria kama kawaida ya taarifa za Peskov mpaka akataja idadi kubwa kuliko HIMARS zilizokuwa Ukraine. There is no evidence, no claimed kill
Russia hana huo uwezo wa kupigana na Dunia ata siku MojaSawa bana,ila hesabu hazisemagi uongo.
Pelekeni silaha TU,changishaneni silaha TU
Tunasubiri Iron dome ya Israel.
Ili hesabu itimie na historia isomeke kua Urusi ailipigana na nusu ya Dunia.
Yote hayo yanatunguliwa tu na ndio maana unaweza kuona Russia kapunguza hayo mashambulizi ya angaHivi bado unaamini kabisa kuwa Hakuna mfumo hata mmoja wa himars umeliwa?
Endelea kuamini hivyo. But Patriot Kama ilivyo NASAMS, Iris T na sky nini ile haitafanya chochote dhidi ya bombers za kirusi.
Lakini pia Ni kazi ngumu kutungua missile za kirusi . Iskander missiles, kalibr. Utungue kwa kutumia Nini?
Ila usisahau saudia ndo nchi ya kwanza kwenye uwanja wa vita kushambulia ndani na nnje kwa kutumia drone na missile.kiufupi anga lao lipo uchiUpande wa ballistic missile naona Patriot imefanya na inaendelea kufanya vizuri Sana huko Saudia maana karibu kila mwezi lazima Saudi Arabia watungue kombora zinazorushwa na Houthi mpk stock yao ya patriot missiles ikapungua imebidi watoe order ya Makombora mengine 300.
Data hizi hizi zilitwambia kua IRAQ kuna silaha zamaangamiziSasa Mkuu data ndo zinanyesha hivyo halafu ww unabisha,hao Houthi mpaka Leo wanarusha Makombora ya Ballistic na msaidizi wao Mkuu ni Iran
Hizi ni baadhi ya interception ambazo Saudi imefanya dhidi ya Ballistic missiles
Saudi forces intercept ballistic missiles and drones fired from Yemen
The attack comes days after a drone strike on an airport in Saudi Arabia’s south left eight people wounded
Saudi forces intercept ballistic missiles and drones fired from Yemen
Saudi Arabia intercepts ballistic missile over Riyadh
Saudi Arabia intercepts ballistic missile over Riyadh
Saudi defenses intercept ballistic missile launched by Yemen’s Houthi militia toward Jazan
Saudi defenses intercept ballistic missile launched by Yemen’s Houthi militia toward Jazan
Saudi Arabia: 7 missiles fired from Yemen, 1 killed from falling debris.
Saudi armed forces said they intercepted seven ballistic missiles on Sunday night
Saudi Arabia: 7 missiles fired from Yemen, 1 killed from falling debris | CNN
Saudi forces intercept two missiles over curfew-locked Riyadh
Saudi forces intercept two missiles over curfew-locked Riyadh
Saudi intercepts ballistic missile from Yemen: Coalition
Saudi intercepts ballistic missile from Yemen: Coalition
Hizo interceptions zote zimefanywa na Patriot