Axel Lloyd
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 4,170
- 9,502
Kama lipo Uchi mbona ballistic missiles za Houthi hazipenyi?!Ila usisahau saudia ndo nchi ya kwanza kwenye uwanja wa vita kushambulia ndani na nnje kwa kutumia drone na missile.kiufupi anga lao lipo uchi
Hizo ni interceptions ambazo zimetokea in real life ndio maana unaona vyanzo mbalimbali vya habari vimeandika sio kwamba ni hadithi za Abuu nuasiData hizi hizi zilitwambia kua IRAQ kuna silaha zamaangamizi
Samahani nimetoka nje ya mada MKUU [emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani hakunaIn Paris, about 70 countries and institutions pledged just over 1 billion euros ($1.05 billion) to help maintain Ukraine's water, food, energy, health and transportation in face of Russia's attacks, French Foreign Minister Catherine Colonna said.
* They also promised energy-efficient LED bulbs to ease power shortfalls and help Ukraine get through freezing winter months as Russia pounds the country's infrastructure.
katika historia za vita mbalimbali ziliwahi kupiganwa taifa moja dhidi ya jingine, hv kuna taifa lishawahi kupewa misaada mikubwa kama Ukraine? Je kuna vita ishawahi kuziunganisha nchi nyingi kuisaidia nchi nyingine kama tunavyoona Ukraine?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yani ule mwezi wa mwisho walikuwa wanashambulia kila siku zaidi ya mara 5 kwenye misafara yao au kwenye kambi zao.na kote huko walikuwa wanapoteza vichwa zaidi ya 50.ITR orodha ya wanajeshi wa marekani waliokufa Aghanstani. ukitaka na link hiyo hapo chini. Wenyewe wanadai walikufa wanajeshi wao 3,590
Hv ili RUSSIA atawale anga la KIEV mlitaka afanye nini ambacho unahisi ama munahisi hajakifanya mpaka sasa!!?Urusi hakuwahi tawala anga la Kiev tangu lina BUK na S300 za miaka zaidi ya 30 iliyopita. Atawezaje tawala kwenye uwepo wa Patriot
Kupenya wapi ndugu Saudia au nchi gani[emoji23][emoji23][emoji23].unafatilia vizuri kweli wewe.Houth wamefanya mashambulizi mengi sana kwenye ardhi ya saudiaKama lipo Uchi mbona ballistic missiles za Houthi hazipenyi?!
On 20 March 2022, The Saudi-led coalition reported that Houthis fired missiles and drones at Saudi energy and water desalination facilities, causing a temporary drop in output at a refinery but no casualties. Later on that day, another Aramco distribution plant was attacked in the Red Sea city of Jeddah, leading to a fire in one of the tanks, according to the Saudi-led coalition. The fire was controlled and did not result in any casualtiesKama lipo Uchi mbona ballistic missiles za Houthi hazipenyi?!
Leta source Acha hadithi za kubumbaKupenya wapi ndugu Saudia au nchi gani[emoji23][emoji23][emoji23].unafatilia vizuri kweli wewe.Houth wamefanya mashambulizi mengi sana kwenye ardhi ya saudia
Angalia juu hapo nimeweka baadhi ya matukio huko saudia.yapo mengi tuLeta source Acha hadithi za kubumba
Laki tatu unaielewa lakini linapokuja suala la idadi ya watu wanaokufa!??Hapo mpaka kuondoa wanajeshi lazima vichwa zaidi ya laki 3 au zaidi vilienda na maji
Laki 3 ni wanajeshi wadogo sana kwenye uwanja wa vita .tena vita yenyewe ina miaka 20.wakati Urusi na Ukraine zina miezi ila tunasema wanajeshi waliokufa wanafika laki 2Laki tatu unaielewa lakini linapokuja suala la idadi ya watu wanaokufa!??
Hakuna mfumo ambao uko sawa 100% hizo incident chache Sana haziwezi ondoa ukweli kwamba Patriot imefanya vizuri Sana kuilinda Saudi Arabia dhidi ya Makombora ya Houthi la sivyo miundombinu yote ya Aramco ss hv ingekua majivu.On 20 March 2022, The Saudi-led coalition reported that Houthis fired missiles and drones at Saudi energy and water desalination facilities, causing a temporary drop in output at a refinery but no casualties. Later on that day, another Aramco distribution plant was attacked in the Red Sea city of Jeddah, leading to a fire in one of the tanks, according to the Saudi-led coalition. The fire was controlled and did not result in any casualties
On 21 August 2016, a Saudi encampment in Najran was hit by a Houthi-fired Tochka ballistic missile, resulting in the deaths of at least 50 Saudi soldiers
On 24 January 2022, The Saudi-led Coalition said that two residents sustained minor injuries after the Houthis fired a ballistic missile that fell in the industrial area of Ahad Al-Masarihah in Jazan. The residents, of Sudanese and Bangladeshi origin, were wounded and workshops and civilian vehicles were damaged
On 21 November 2021, the Houthi military fired missiles at Aramco buildings. Even an airport was targeted. Saudi Arabia responded by carrying out an air strike.
On 21 October 2021, Houthi forces launched a ballistic missile attack on a Saudi military base in Jizan province. The attack left casualties. According to regional media and activists at least 6 Saudi officials and 12 other ranks were killed in the attack
On 26 August 2019, Houthi rebels fired a total of 10 Badr-1 ballistic missiles at the Jizan Airport in southwest Saudi Arabia. The retaliatory attack led to dozens of killings and injuries. Riyadh claimed that it intercepted six out of 10 missiles fired from Yemen.[96] The same day Houthi forces reported an ambush of a group of Saudi led forces in Jabara Valley as part of Operation Victory from God.
On 28 August 2016, Saudi officials stated that a rocketothers
from Yemen hit a family's home in Saudi Arabia, killing two children and wounding five others
Hakuna mfumo hapo.wala sio kitu kipya kwenye uwanja wa vita
Hizo vita zinafanana?? Yaani Marekani kule Afaghanstan alikuwa anapigana vita kama hii ya Ukraine na Urusi? Huna takwimu na huna haki ya kuaminiwa kwa unachokisema!!Laki 3 ni wanajeshi wadogo sana kwenye uwanja wa vita .tena vita yenyewe ina miaka 20.wakati Urusi na Ukraine zina miezi ila tunasema wanajeshi waliokufa wanafika laki 2
Hii mifumo ya kutungua makombora inafanya kazi kwa asilimia 60 tu kwa iyo sio ya kutegemea sana.ni bora uwe unafanya patrol angani na ndege vita kuliko kuamini hii mifumo.unaweza ukageuka majivu muda wowote uleHakuna mfumo ambao uko sawa 100% hizo incident chache Sana haziwezi ondoa ukweli kwamba Patriot imefanya vizuri Sana kuilinda Saudi Arabia dhidi ya Makombora ya Houthi la sivyo miundombinu yote ya Aramco ss hv ingekua majivu.
Tena Afghanistan ni vita mbaya sana maana sehemu kubwa ya nchi ni milima na mabonde.kuna sehemu mnasonga front kwa kutembea tu.Hizo vita zinafanana?? Yaani Marekani kule Afaghanstan alikuwa anapigana vita kama hii ya Ukraine na Urusi? Huna takwimu na huna haki ya kuaminiwa kwa unachokisema!!
Marekani Afghanstan walikuwa hawapigani vita. Tafuta taarifa sahihi. Ufaransa moja Morocco bila. Ngoja kwanza tuangalie mpira.Tena Afghanistan ni vita mbaya sana maana sehemu kubwa ya nchi ni milima na mabonde.kuna sehemu mnasonga front kwa kutembea tu.
Sio vita nyepesi kabisa.
Tena marekani alikuwa anapigana vita mbaya na ya hatari sana.mpaka raia wenyewe wa Afghanistan walikuwa wanatafuta silaha wanawavizia wamarekani.yani kwa kifupi marekani alikuwa anapigana na Taliban na raia kwa wakati mmoja.Hizo vita zinafanana?? Yaani Marekani kule Afaghanstan alikuwa anapigana vita kama hii ya Ukraine na Urusi? Huna takwimu na huna haki ya kuaminiwa kwa unachokisema!!
Vifaru vyako ulivyopost juzi vimeanza kushughulikiwaHii mifumo ya kutungua makombora inafanya kazi kwa asilimia 60 tu kwa iyo sio ya kutegemea sana.ni bora uwe unafanya patrol angani na ndege vita kuliko kuamini hii mifumo.unaweza ukageuka majivu muda wowote ule
Sio kweli. wale walikuwa wanasaidia upande mmoja lakini siyo walikuwa wanakwenda field.Tena marekani alikuwa anapigana vita mbaya na ya hatari sana.mpaka raia wenyewe wa Afghanistan walikuwa wanatafuta silaha wanawavizia wamarekani.yani kwa kifupi marekani alikuwa anapigana na Taliban na raia kwa wakati mmoja.
Sasa kama walikuwa awapigani ilikuwaje mpaka Taliban wakapoteza mamlaka ya nchi?.[emoji23][emoji23][emoji23]. Maana Taliban walikuwa wanaongoza nchi, Marekani akaingiza jeshi mpaka Taliban wakachia ngazi wakarudi nyuma kujipanga.sasa unasemaje marekani alikuwa hapiganiMarekani Afghanstan walikuwa hawapigani vita. Tafuta taarifa sahihi. Ufaransa moja Morocco bila. Ngoja kwanza tuangalie mpira.