Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mpaka mtu kufikia hatua ya kutumia nguvu nyingi kiasi hicho na kuleta uongo hapa inaonyesha kabisa huyu mtu hapati usingizi wa kutosha kwa sababu tu ya vita ya urusi na Ukraine,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa iyo unataka kusema ni bomu.mtambo unaendelea na kazi muda huu, ila majanga ni wafanyakazi wawili wamekufa.semeni kingine
 
Lakn zikitumwa video zinazowahusu urusi ni propaganda. Zikiletwa za Ukraine ni sahihi?

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
Yani unaongea pumba alafu ujui kabisa kuwa unaongea pumba.iyo Patriot ni ya mwaka gani.kama sio ya zaidi ya miaka 45 iliyopita.au uwa unakurupuka tu kuongea pasipo kujua.

kenge wa blue wewe.View attachment 2446597
Unajibu kwa mihemko sana.

Halafu kumtukana mtu kwa mitazamo tofauti wakati hajawahipokukutukana mnapata faida gani?

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
NINACHOKITABIRI USA ANAWEKA NO FLY-ZONE UKRAINE POLEPOLE NA KIMYA KIMYA YAANI ANAFUKUZA MWIZI KIMYAKIMYA.

URUSI ATAKUJA SHITUKIA UKRAINE HAKUINGILIKI TENA,

HIMMARS, NA SASA PATRIOTS, KESHO UJERUMANI ANALETA ZAKE, ITALIA NA UINGEREZA.

KUMRUHUSU UKRAINE KUPIGA NDANI YA MIPAKA YA URUSI INA MAANA KUBWA SANA.
N.B NASUBIRIA REACTION YA URUSI AMEJIPANGAJE HAPO MAANA NAAMINI INTELIJENSIA YAKE IPO VIZURI PIA.
 
Volodymyr Zelensky is waiting for air defense systems from the West
Ukraine has only 10 percent of the required number of air defense systems, Zelensky complained.
Kiev is counting on modern air defense systems from the West.
Information appeared in the media that the USA is considering the delivery of the Patriot air defense system to Ukraine. However, there are major difficulties.
According to former US Army General Mark Hertling, "it will take several months to train the operators."
If Ukraine gets the Patriot and the system operators are from NATO, then they will become "legitimate targets" for the Russian Armed Forces.
The Deputy President of the Security Council of the Russian Federation Dmitry Medvedev warned the Americans about this.
And according to the State Department, it is important for the US that military operations do not go beyond Ukraine and Russia.
 
Ninachokiona kikubwa zaidi ni kumruhusu Ukraine kushambulia ndani ya mipaka ya Russia..,hapa ndo patamu zaidi,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Wote washapeleka.imebaki Patriot na Iron dome.zikishaenda na izi basi Ukraine itakuwa imetumia Anti missile systerm za Dunia nzima[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…