Antonio Conte
JF-Expert Member
- Dec 6, 2017
- 1,089
- 1,748
Mimi naweza kuuliza tu.Mikoa Saba imeshambuliwa mpaka muda huu.na mashambulizi yanaendelea.
Kharkiv, Odessa, Kyiv, Mykolaiv, Zaporizhzhia, Vinnytsia, Kirovohrad
Tutaendelea kupeana taarifa zaidi kadri mambo yatakavyokuwa yanajili[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
[emoji23][emoji23][emoji12][emoji12][emoji12] Wapi Kipanya44, Vunjo, Axel
F 35 nindege zahovyo kabisa kuwahi kutokea hapa DUNIANIKatika ndege mbovu kuwahi kutokea katika hii dunia ni F-35.[emoji23][emoji23][emoji23]
Natamani kuzipitia hizo nyuzi ila utanisameh kidogo mambo yanaingilianaHehehe mumehamia kwenye ushoga baada ya kushindikana kwenye mechi,
Kuna nyuzi kadhaa nilianzisha kwa namna mumeshindwa, tukutane huko, mpira wenyewe ni haram tukutane huku Hivi mbona Qatar hawajaja na sare zipasao wanaume ili kukidhi sheria za waislamu kwenye mpira wa kombe la dunia
Yani visishuke kisa Kiev imepigwa Makombora,unacheza ww[emoji23][emoji23][emoji23] vinashuka kweli ivyo vitu kwa muda huu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hiyo sio kazi ya AWACSView attachment 2448621hii mashine ipo anga la belarus muda huu kazi yake ni kutafuta na kuizima mifumo ya ulinzi wa ya adui
Kila jambo hua baya au zuri kwautavyo liangalia wewe MKUUKufa ili wengine waishi ni sahihi. Ila si kila wakati wanajeshi wanakufa ili wengine waishi.
Mfano: Wanajeshi waliokufa wakilinda Taliban isichukue serikali. Wale wamekufa wakitetea wananchi wao wasife?
Mfano: Aliyepoteza maisha katika vita vya kukwapua ardhi ya Ukraine huyu ana tofauti gani na mwizi aliyefia kazini? Unalinda wananchi wako wasife kwa kuchukua ardhi? Si utamaliza bara zima liwe nchi yako.
Unachokiongea unamanisha au unatania.hii ni silaha ya mwaka gani?.na ni ndogo?Good
Ninachoweza kukueleza ni hichi
US na washirika wake wanapeleka silaha na wanawafundisha Ukraine. Na baadae watakuja kupeleka askari kamili kabisa. Huo ni mwanzo tu. Maana ata ktk vita ya pili ya Dunia awali US alikua akipeleka silaha tu na atimae mwishoni akaingia mazima kabisa Kijeshi
Hivo ndio hii vita itafika Huko.
Kumekua na vikao vya mabunge na umoja na mazoezi ya kijeshi na maandalizi ya kivita na majeshi kila siku ktk nchi za NATO
Yote hii ni Kwasbbu Gani? Sbbu ni kwamba Dunia kwsasa imekua na kitisho Cha vita ya tatu ya Dunia na ndio maana mataifa ya magharibi yameamka sasa dhidi ya Russia China na North Korea na Iran.
Jambo jingine, mataifa ya magharibi yanapeleka silaha nyepesi na za kawaida sn hapo Ukraine. Hivo tusiongeze chumvi kua Ukraine anapewa sila za kisasa na Kali.
@T14 ArmataBREAKING-NEWS
mashambulizi za makombora yanaendelea muda huu kwenye mikoa mingi Ukraine ikiwemo mji mkuu.muda sio mrefu tutapata habari kamili, tuweni wapole kidogo
Majeshi ya urusi hayo.Wagner wakiwa maeneo ya Bakhmut.[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635].
Je macho yako yanaona kama mimi?
Niambie umeona nini pembeniView attachment 2448448
Imeripuliwa na nani!!?Hahahaha naona wanalipa kisasi baada ya kulipuliwa Kwa miundombinu yao ya Mafuta hapo Siberia [emoji23][emoji23][emoji23]
Hata mim nimempinga nimemwambia kama hayo nimajeshi ya urusi.KAMATA MWIZIIIIIII [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hayo ni Mawagner yamechinjwa huko Ukraine wewe unatuletea taarifa za mchongo eti ni waUkraine [emoji23][emoji23]
Hiyo picha umeitoa hapa[emoji116]
View attachment 2448471
Yeye anaokoteza tu na kujifanya anaakili nyingii kumbe pangu pakavu tia mchuzi.KAMATA MWIZIIIIIII [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hayo ni Mawagner yamechinjwa huko Ukraine wewe unatuletea taarifa za mchongo eti ni waUkraine [emoji23][emoji23]
Hiyo picha umeitoa hapa[emoji116]
View attachment 2448471
Usikurupuke tu kujibu vitu kishabikiUnachokiongea unamanisha au unatania.hii ni silaha ya mwaka gani?.na ni ndogo?View attachment 2448652
Pro Russia wamekuwa waongo hadi wanaongea Pumba first classKAMATA MWIZIIIIIII [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hayo ni Mawagner yamechinjwa huko Ukraine wewe unatuletea taarifa za mchongo eti ni waUkraine [emoji23][emoji23]
Hiyo picha umeitoa hapa[emoji116]
View attachment 2448471
Kumbe [emoji848]Kujadiliana kuhusu nini.si tulishakubaliana hapa hakuna majadiliano[emoji23][emoji23][emoji23][emoji12][emoji12][emoji12]
Wewe ongea second class MKUUPro Russia wamekuwa waongo hadi wanaongea Pumba first class
Maamuma [emoji23][emoji23]Yeye anaokoteza tu na kujifanya anaakili nyingii kumbe pangu pakavu tia mchuzi.
Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
Kuna Pro Russia mwenzako juzi hapo alisema Ukraine itatekwa Christmas, akasahau ni wiki ijayo
Wewe kenge kumbe bado unaleta picha za mchongo hapa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wagner wakiwa maeneo ya Bakhmut.[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635].
Je macho yako yanaona kama mimi?
Niambie umeona nini pembeniView attachment 2448448