Kenge mvaa kobaz umetolea wapi hiyo statement [emoji1787][emoji1787]Nimeona mkuu wa majeshi wa Ukraine anasema kuwa kwa sasa Warusi wanazidi kuongeza majeshi kwa ajili ya mashambulizi zaidi na pia kwa sasa wao ni ngumu kuanzisha counter attack kwa sasabu Warusi wanawafatilia muda wote, wala awawaruhusu wajikusanye.
Kwa iyo anaomba msaada zaidi wa vifaa vya kutungulia drone,vifaru na mizinga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kenge wewe sikiliza alichokisema hapo acha kulisha maneno mvaa kobaz weweNimeona mkuu wa majeshi wa Ukraine anasema kuwa kwa sasa Warusi wanazidi kuongeza majeshi kwa ajili ya mashambulizi zaidi na pia kwa sasa wao ni ngumu kuanzisha counter attack kwa sasabu Warusi wanawafatilia muda wote, wala awawaruhusu wajikusanye.
Kwa iyo anaomba msaada zaidi wa vifaa vya kutungulia drone,vifaru na mizinga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni kweli. Kwa maelezo yako haya nadhani binadamu tunahitaji common enemy ili nguvu kubwa ielekezwe huko. Siku tukiwa na common eneny lets say inteligency ya sayari nyingine na kukawa na tishio huenda humanity itabadili mtazamo.Kila jambo hua baya au zuri kwautavyo liangalia wewe MKUU
kama wanajeshi wamarekani waliokua wanadai kuwalinda RAIA wataliban eti kuua RAIA nawao kufa wanatofauti ipi na hao RUSSIA
Ukiishakua mwabajeshi kwasheria zao utakapotumwa ukafia huko haijalishi mazingira yapoje basi umekufa kishujaa
Ingawaje binafsi siielewi hio kazi ila ukweli nikwamba wanajeshi wanaaminishwa wapo sahihi popote watumwapo
Hata huko UKRANE unaposema wewe unaona wavamizi wenyewe wanajiona mashujaa maana waweza kuta kuna jambo nyuma ya unayoyasikia halaf ww namie hatuyajui
Sent using Jamii Forums mobile app