D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwani mbona ni la Urusi peke yao au ujui mkataba wa kujenga bomba la gesi au bomba la mafuta ulivyo.nusu ya bajeti anatoa mnunuaji gesi ili hata ukisitisha mkataba basi tunakuwa tumepata wote hasara.Kama hao waingereza unaowazungumzia waliweza kubutua mabomba ya ges na super pawer wa mchongo akabaki anabweka, unategemea nini kipya[emoji848]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Na wapi kuna sehemu inayonyesha wingereza imelipua bomba maana kila kitu lazima kuwe na ushahidi.wingereza hata kama wao wanausika basi jua kwamba ni ngumu wao kuacha ushahidiKama hao waingereza unaowazungumzia waliweza kubutua mabomba ya ges na super pawer wa mchongo akabaki anabweka, unategemea nini kipya[emoji848]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ha ha haaGood
Ninachoweza kukueleza ni hichi
US na washirika wake wanapeleka silaha na wanawafundisha Ukraine. Na baadae watakuja kupeleka askari kamili kabisa. Huo ni mwanzo tu. Maana ata ktk vita ya pili ya Dunia awali US alikua akipeleka silaha tu na atimae mwishoni akaingia mazima kabisa Kijeshi
Hivo ndio hii vita itafika Huko.
Kumekua na vikao vya mabunge na umoja na mazoezi ya kijeshi na maandalizi ya kivita na majeshi kila siku ktk nchi za NATO
Yote hii ni Kwasbbu Gani? Sbbu ni kwamba Dunia kwsasa imekua na kitisho Cha vita ya tatu ya Dunia na ndio maana mataifa ya magharibi yameamka sasa dhidi ya Russia China na North Korea na Iran.
Jambo jingine, mataifa ya magharibi yanapeleka silaha nyepesi na za kawaida sn hapo Ukraine. Hivo tusiongeze chumvi kua Ukraine anapewa sila za kisasa na Kali.
Himars zetu Warusi wanazibonda ila tunawahi kuzikata supu ili wasije kuzipiga picha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Special military operation inamaliza mwaka sasa na Vita bado vinaendelea, je malengo ya uvamizi na mvamizi yamefanikiwa ?Ha ha haa
1954 mohamedidrisa789 Sela SonRussian troops get fresh batch of ‘Penicillin’ – RIA
Russian forces in Ukraine have received 1B76 ‘Penicillin’ reconnaissance systems to detect Kiev’s artillery, RIA Novosti has reportedwww.rt.com
Sasa ndo nini hii,Bora wewe una moyo wa huruma kuliko pro Russia wenzio.., usikose pia kumwonea huruma huyu hapa maana siku si nyingi atakamatwa kama kukuView attachment 2450120
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hivi nyinyi mna tatizo gani,kama ni ushabiki hii sio simba-yanga la sivyo mnajishushia heshima ya upeo mbele ya watu,vita inapiganwa mfadhili mkuu ni western. media zote CNN BBC ALJAZEERA FOX DW zote zao unafikiri kwa huu utaftaji wenu wa habari kwa kusikilixa DW mchana na ku-google latest news utapata taarifa sahihi? Naamini we ni msomi jaribu kuwaza nje ya box pia achana na media za Russia+western utapata uhalisiaLeo Tena Ukraine imezidi kutembeza kibiriti ndani ya urusi pamoja na Crimea
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mtambo mpya unaotambua silaha zilipoRussian troops get fresh batch of ‘Penicillin’ – RIA
Russian forces in Ukraine have received 1B76 ‘Penicillin’ reconnaissance systems to detect Kiev’s artillery, RIA Novosti has reportedwww.rt.com
Urusi amebugi sana kwa hii vita.., kiufupi ameingia Cha kike..,wengi wanajua tu kwamba hii ni vita iliyokadiliwa kumalizika ndani ya saa 72,ikizidi sana wiki, lakini hawaamini wanachokiona. , Wamebaki kujaza imoji za kujichekesha Ili kuficha aibu, lakini ni ukweli kwamba Wana uchungu sana moyoni maana walichotegemea kimekuwa tofauti kabisaSpecial military operation inamaliza mwaka sasa na Vita bado vinaendelea, je malengo ya uvamizi na mvamizi yamefanikiwa ?
1954 mohamedidrisa789 Sela Son
Unahaha mno. Lini mnafungua shule!?Kama umepata nafasi ya kusali hata ibada ya pili Leo jumapili usikose kuwaombea warusi jamani.., wanapukutika mno.., kiukweli Wana Hali mbaya lakini ndo hivyo..,hawana jinsi kwa kweli 🥱[emoji24]View attachment 2450486
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mbona sasa unabishana na Russia wenzakoNa wapi kuna sehemu inayonyesha wingereza imelipua bomba maana kila kitu lazima kuwe na ushahidi.wingereza hata kama wao wanausika basi jua kwamba ni ngumu wao kuacha ushahidi