Axel Lloyd
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 4,170
- 9,502
Yamezoea kuongopa kama Babu Yao PutinIla mkuu huwa unaya aibisha sana haya mazuzu ya pro Russia. Wakipewa chochote wanaamini kama mazombi.[emoji23]
Baadaye turushie picha halisi za uthibitisho ili tuamini maandishi yako.Zelensky kaenda kushikwa matako huko marekani
Let source usikimbilie kuwakazia wenzako hawaleti source kisa story inamuhusu urusi.Zelensk akiwa kwenye bunge la Marekani amesema kuwa ni swala la muda tu Urusi kuvamia nchi nyingine mshirika wa Marekani.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Inabidi tumuite Zelensk tumuoji vizuri ili atuambie iyo nchi ambayo Warusi muda sio mrefu wataivamia.pia nchi yenyewe ni mshirika wa Marekani
"Marekani angeamua kuipa Ukraine kila silaha anayohitaji...""HAKUNA MSAADA AMBAO HAUJATOKA"
Marekani angeamua kuipa Ukraine kila silaha anayohitaji saa hizi majeshi ya Ukraine yangekua yanakaribia kuikomboa Crimea. Ukraine mpk sasa hata long range missiles za 100km hajapewa,hata ndege za maana hana. Urusi inatumia kila aina ya masilaha mpk mahypersonics lkn wapi. Anarusha Cruise missiles za 2000+ Range lkn wapi!!!!
Kima Putin hata kutembelea wanajeshi wake hapo Donestsk anayosema ni Russian forever hajathubutu[emoji23]
Ile picha akimkaribisha kwa kumshika tako iko wapi mkuu?
Ile picha akimkaribisha kwa kumshika tako iko wapi mkuu?
Anahusikaje kwenye huu uzi?
Duh!...hii ni ya Ussr enzi za Vita baridi ?Imagine ndege yenye cockpit kama hii inatumiwa na Russia. Ni Su-27K ambayo ni naval variantView attachment 2454843
Huwezi kuta outdated naval jet kama hii jeshi la UK, France au Germany
Na Bado waziri wa ulinzi wa US anasema inawagharinu just a peanut kuishinda RussiaNimeona boss wa roskosmoz kakoswa koswa uawa na Ukraine huko Donesk.
Nimeamini dunia nzima hakuna anayemuweza USA ikija vita ya nchi kwa nchi
You know nothing bro. You better zeep ya lipsJesus Christ cannot deny himself 2 Timothy 2:13
He's too faithfully to deny himself so He can't oppose Himself.
Ni variant ileile hakuna modification kwenye cockpit. Display kama ya gari la IST na hapo ndio rubani asome vitu vyote anavyotakiwa. Unaona smartphone mkononi inarekodiDuh!...hii ni ya Ussr enzi za Vita baridi ?
Mfumo Kristo ndio utatawala baada ya Russia kushindwaMfumo kristo? Ah Mambo haya mi siyajui but kwa uelewa wangu Ni Kwamba Russia na US wanaendelea kupigania hegemony ya kuwa waamuzi wa kila kitu duniani.. kiuchummi,kijeshi na ki
Umejamba leo!?You know nothing bro. You better zeep ya lips
Kristo yupi unamuongelea!?Mfumo Kristo ndio utatawala baada ya Russia kushindwa
Bado kuna li manoari Moja inawaka moto huko RussiaUkraine kashapeleka zawadi ya Christmas Moscow [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1255][emoji1255]
[emoji298]️A video appeared on social media from the scene of the explosion of the car of the "head" of the Russian-controlled Lyubimivka of the Kherson region, Andriy Stepa, who died on the spot.
Kristo yupi unataka aje!!Mfumo Kristo ndio utatawala baada ya Russia kushindwa
Li ndio nini!?Bado kuna li manoari Moja inawaka moto huko Russia
Marekani imetumia 5% ya budget yake ya jeshi kuipa misaada Ukraine mwaka huu. Russia ikitaka kupigana na US bado kuna 95% ya budget ya mwaka huu hapo tusigusie miaka iliyopita. Bajeti ya jeshi Marekani ni 3.4% ya GDP, kwa Russia ni 4.3% ila Marekani inaizidi Russia kwa bajeti hiyo mara 10Na Bado waziri wa ulinzi wa US anasema inawagharinu just a peanut kuishinda Russia
Kwanini ametuma!? Na amesaidia nini!?Marekani imetumia 5% ya budget yake ya jeshi kuipa misaada Ukraine mwaka huu. Russia ikitaka kupigana na US bado kuna 95% ya budget ya mwaka huu hapo tusigusie miaka iliyopita. Bajeti ya jeshi Marekani ni 3.4% ya GDP, kwa Russia ni 4.3% ila Marekani inaizidi Russia kwa bajeti hiyo mara 10
JadaliKristo yupi unataka aje!!
What is the Hebrew meaning of Christ?
The Greek word ΧΡΙΣΤΟΣ (CHRISTOS) translates the Hebrew מָשִׁיחַ, (māšīyaḥ), anglicized as Messiah, which means “anointed with oil.” Hebrew kings, prophets, and priests were anointed with oil.