Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Marekani ilitumia asilimia nyingi ya bajeti kwenye vita ya Afghanistan na haikupata faidi zaid ya kushindwa vita hats kwenye vita ya Ukraine bajeti take haijasaidia kitu ndo kwanza silaha zake nyingi zinaangukia kwenye mikono ya urusi Leo hii javelin ant tank zimetua kwenye mikono ya Iran
 
Bahati nzuri hapa umeilinganisha Urusi na Tanzania. Hakuna ubishi kwenye hili Urusi yuko juu, ila sasa hao wengine kina South Korea wana uchumi safi kuliko huyo mchuuzi wa mafuta na gesi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji298]️In the village of Mizhvodne in the annexed Crimea, a Ukrainian flag was spotted on a tower.

Video from local channels.
 
Mungu ibariki [emoji1258][emoji1258][emoji1258][emoji1258]

[emoji298]️The US Senate voted to include in the draft budget an amendment that would allow confiscation of frozen assets of Russian entrepreneurs for the benefit of Ukraine.

C-SPAN journalist Craig Kaplan reported this on Twitter.
 
Marekani haitafuti faida kwenye vita ya Ukraine. Ina uchumi, teknolojia, ushawishi, nguvu na washirika wa kutosha kuliko kusumbuliwa nchi ambayo hata 10 of the world's best economies haipo.

By the way silaha za Marekani kwa Ukraine hazina faida bali kuchafua mazingira ya Ukraine kwa kusababisha mrundikano wa vyuma chakavu

Na ndio maana Russia kama wewe imeonya silaha za Marekani hazina faida
 
Air defenses za Russia bhana [emoji23][emoji23][emoji23]

#Ukraine: Three more previously unseen Russian air defence losses from September- a 9A331 Tor-M1 TLAR, a 9A331M Tor-M2 TLAR, and a 9A317 Buk-M2 TELAR. From the appearance, they were hit by missile strikes.
 
Marekani hiyo hiyo imetumia zaidi ya $4trion ambayo ni sawa na uchumi wa Ujerumani lakini alishidwa vita nchini Afghanistan na kundi la wavaa kubanzi wasio zidi hata 50,000 tena wasio na silaha nyingine zaidi ya Ak47 na mabomu ya kujitoa muhanga.

Kwahiyo bajeti yake sio hoja, hata hivyo si Marekani pekee anaye peleka silaha nchini Ukraine kuna zaidi ya mataifa 50.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

#Ukraine: A Russian Ka-52 attack helicopter (RF-91335, 43 Yellow, formerly 43 White) was reportedly shot down by a Russian Pantsir-S1 in a friendly fire incident in #Zaporizhzhia Oblast.
 
Putin anaogopata hata kusogea mji wa mpakan na Ukraine.
 
Imagine ndege yenye cockpit kama hii inatumiwa na Russia. Ni Su-27K ambayo ni naval variantView attachment 2454843
Huwezi kuta outdated naval jet kama hii jeshi la UK, France au Germany
Utatuhakikishiaje hiyo Ni Russian su 27?
Coz su 27 Ni ndegevita iliyosambazwa Sana kibiashara ethiopia, Eritrea, nk wanazo.
 
Vita ni ya miezi michache mwaka 2001. Taliban ikaangushwa na Marekani ikasimamia Hamid Karzai kuwa Rais wa AfghanistanView attachment 2454804
Ila baadae wakareplace Taliban kwa kuiweka Tena Taliban madarakani Hapo 2021?
Hata hivyo kwa miaka 21 NATO haikufanikiwa kutawala ( occupy) japo nusu ya Afghanistan.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…