Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mwambie aguse hata ncha moja ya ardhi ya Urusi aone kama hatujamsoma kwenye vitabu vya historia kwamba kulikuwaga na taifa la marekani miaka iyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwa nini aiguse..,hata marekani anaogopa kinachompata urusi Kwa kuigusa ardhi ya watu..,kugusa ardhi ya nchi nyingine usifikiri ni kitu simple

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Matako si sehemu ya mwili,kwani Kuna shida au uswahili tu umewajaa.Uko tandale mtu akishikwa matako mmewaza mafuta huku kwetu matko sehemu ya mwili kama ilivyo jicho ,puΓ—bu zako nk
Kwa hiyo wewe huwa unawapa watu washike matako yako ovyoovyo tu kisa ni sehemu ya mwili???
 
Kweli Urusi ni Supa-pawa wa mchongo.........performance duni ya jeshi lake kwenye hii Vita imewaduwaza mpaka washirika wake wa JF.

Hapo ni Ukraine tu inamtoa jasho tena ni jirani kabisa, je ingekuwa nchi ya NATO iliyo mbali ?..

1954 TUJITEGEMEE lee van cliff ITR
Axel Lloyd HIMARS T14 Armata
 
Kwenye kupitapita mtandao, leo nimekutana na document moja (69 pages) kutoka taasisi ya Royal United Services Insitute for Defence and Security Studies: A preliminary Lessons in Convertional Warfighting from Russia's Invasion of Ukraine : February-July, 2022.

Wameto uchambuzi wao kuhusu ni SMO inayoendelea huko Ukraine. Wameainisha mwenendo wa operation nzima tangu Russia anajiandaa...Strength za both Russia na Ukraine, mapungufu yao, why Russia imeshindwa kudeliver kulingana na matarajio ya wengi, kwa nini Ukraine imeweza kuitunishia misuli Urusi na nini kama wao : UK wanapaswa kujifunza.

Nimependa jinsi wanavyoelezea bila mihemuko, kwa kukiri advantages and disadvantages za kila upande.

Tunaweza kupitia hapo tukajisomea pia..View attachment 359-SR-Ukraine-Preliminary-Lessons-Feb-July-2022-web-final.pdf
 
Aisee.....ikiwa sijaenda au nimeenda kipi kipya hapo ?

Uzi unahusu Ukraine na Urusi, hayo mengine yanaharibu uzi.
Maana ushamba ni mzigo mkubwa mno. Kama hujawahi hata kwenda nchi za EA. Utabaki kuwa mbumbumbu. Kusafiri ni exposure. Ndio maana unaweka comments za kishamba sana.
 
Maana ushamba ni mzigo mkubwa mno. Kama hujawahi hata kwenda nchi za EA. Utabaki kuwa mbumbumbu. Kusafiri ni exposure. Ndio maana unaweka comments za kishamba sana.
Zisipokufurahisha ndio za kishamba....jitahidi kuvumilia maoni mseto.
Ni sehemu ya knowledge ambayo inaweza kumsaidia mtu kwenye uchambuzi...
Kuulizana mambo binafsi (nje ya mjadala)ndio knowledge ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…