Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ukiwa na urafiki na shoga basi nawewe una asilimia 70 za kuwa na wewe ni shoga

(1) T 14- armata
(2) Vunjo
(3) Kipanya 44
(4)Proved
(5)Axel
(6)MK 254

Nimewasilisha haya majina kwa kamati ya group.naomba kamati ya group iwachunguze awa watu.nina mashaka nao sio wenzetu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Nasubiri mrejesho kutoka kwenye kamati
 
Hapo ni Ukraine tu inamtoa jasho tena ni jirani kabisa, je ingekuwa nchi ya NATO iliyo mbali ?..
Ukraine ni ndugu wa Russia. Pia Russia ana utu. Kwa ufupi Russia ya kigaidi. Kwa hiyo, usitegemee Russia atumie mbinu za kigaidi za kurusha makombora ya kuvyeka kijiji, familia kama wanavyofanya NATO/US. Tukianzia iliyokuwa Yugoslavia, Iraq, na huko Nagasaki Iroshima Japan.

Russia anao uwezo wa kuisambaratisha Ukraine kwa muda mfupi tu akitumia silaha zake kwa njia ya kigaidi. Lakini, kwa maadili ya utu na undugu hajafanya hivyo.
 
Duh!..umesoma ulichokiposti kweli ?...yaani unasema Russia ina utu ?... serious ? tena unaongeza haitumii mbinu za kigaidi ....yaani nchi inashambulia miundombinu muhimu ya umeme tena majira ya baridi unasema haitumii mbinu za kigaidi ?

Kweli ukipenda chongo utaita kengeza..
 
Dah!...kwa hiyo umeamua kututukana kabisa ?...tena unaalika na wengine....

.. anyway hutakuwa wa kwanza kukashfu wengine na huenda pia usiwe wa mwisho, pitia hii nyuzi utaona walikuwepo watukanaji wengi mahiri kabla yako ila walishukia njiani.
 
kilichomtokea Mrusi
Nilikuwa natafuta sababu za kwa nini unashupaza shingo kutetea uovu wa Marekani Hata pale unapopewa ushahidi usiotiliwa mashaka. Sasa nimeanza kuelewa kidogo kidogo. Kumbe nchi yako ni mnufaika.
===
After the operations of US-backed labs were uncovered in Ukraine, the Pentagon has been busy moving its bioweapons research to other countries, the head of Russia’s Nuclear Biological and Chemical Defense Troops has said.

“The Pentagon is actively working to transfer its unfinished research projects to the countries in Central Asia and Eastern Europe,” Igor Kirillov insisted during a briefing on Saturday.

The Americans have also been boosting cooperation with Cambodia, Singapore, Thailand, Kenya and some other nations in the Indo-Pacific and Africa, with “the US Department of Defense being most interested in countries that already possess laboratories with a high level of bioсontainment,” he added.
 
haitumii mbinu za kigaidi ?
Rudi kwenye maelezo ya maana ya Operation of denazification and demilitarization ulinganishe na maana ya ugaidi wa Azov na vikosi vingine vinavyoungwa Mkono na US uliofanywa huko Donbass na Odessa kabla ya operation na wakati wa operation demilitarization and denazification.

Hata na matendo ya Wanajeshi wa Ukraine wanasaidiwa na NATO/ US waliyofanya Butcha kwa kuua raia wa Ukraine wenye asili ya Russia na kuisingizia askari wa Russia waliokuwa wanaondoka eneo la Butcha kuonyesha good will ya kurejesha mazungumzo ya amani, ni ugaidi huo.

Ukraine inaelekezwa na US inaweka mizinga kwenye makazi ya watu, mashuleni, kwenye makanisa, na kisha Inaanza kuishambulia Russia. Huu ni ugaidi. Yaani kutumia raia wema kama Kinga usishambuliwe ni ugaidi. Na wanafanya hivi kwa sababu wanajua Russia ana utu na afanyi ugaidi hawezi kuua raia kama Wao magaidi wanavyofanya kama walivyochoma watu ndani ya nyumba huko Odessa mwaka 2014 wakati wa Euromaidani!

Tambua utofauti wa ugaidi na utu!

Lakini, nadhani itakuwia vigumu kujua utofauti kwa sababu role models wako wamejikita kwenye vitendo vya kigaidi.
 

Vilianzia Crimea vitaishia Crimea, na kwa taarifa yako mzigo umeongezwa Ukraine ikiwemo Patriot.
 

Mnaanzaga wenyewe halafu mkijibiwa mnaanza kulialia kama mmetiwa mti katikati ya jicho la nyuma.
 
Kuliko Libya au Syria au Afghanistan au Iraq?Acha zako.Hii Vita siku 2 au 3 Putin atakuwa amemaliza kazi bila kuua watu wengi.yes watu wanakufa lakini haitakuwa wengi.
Daah na bado huyu mtu anaingia humu anasema anaweza kuchambua mambo kw akili

Russia amekuwa akipigana Bakhmut kwa miezi 5 na bado amerudishwa nyuma

😂😂😂😂
 
⚡Russian Defence Ministry report on the progress of the special military operation in Ukraine
(24 December 2022)

The Russian Federation Armed Forces continue the special military operation.

◻️In Kupyansk direction, artillery strikes hit the manpower and military equipment of units of the 14th AFU Mechanised Brigade near Petropavlovka and the 92nd AFU Mechanised Brigade near Krakhmalnoye in Kharkov region. Up to 50 Ukrainian personnel, four armoured fighting vehicles, and two pickups were eliminated.

◻️In Krasny Liman direction, Russian air strikes and artillery fire on positions of units of the 111th Territorial Defence Brigade close to Torskoye and the 25th AFU Airborne Brigade close to Terny (Donetsk People's Republic) destroyed over 40 Ukrainian servicemen, three armoured fighting vehicles, and four motor vehicles.

◻️In Donetsk direction, the Russian troops destroyed a combined tactical group of foreign mercenaries and defeated units of the 10th Mountain Assault Brigade of the Armed Forces of Ukraine near Razdolovka (Donetsk People's Republic). The enemy lost up to 60 Ukrainian military and mercenaries, four armoured personnel carriers, and three pickups.

◻️In the South Donetsk direction, more than 40 Ukrainian personnel, four armoured fighting vehicles, and six motor vehicles were annihilated as a result of air and artillery strikes against a concentration of units of the 92nd AFU Mechanised Brigade close to Vodyanoye (Donetsk People's Republic).

💥Missile Troops and Artillery of the Russian force grouping hit: the command post of the 65th AFU Mechanised Brigade near Lezhino and a depot of rocket and artillery weapons close to Novoselovka (Zaporozhye region), as well as 53 artillery units, manpower and military hardware in 92 areas.

✈️Fighter aviation of Russian Aerospace Forces has shot down 1 Su-27 airplane of Ukrainian Air Force near Kamyshevka (Donetsk People's Republic). In addition, Ukrainian Mi-24 and Mi-8 helicopters were shot down near the settlements of Selidovo and Gruzskoye (Donetsk People's Republic).

💥Air defence facilities have shot down 1 Mi-8 helicopter of Ukrainian Air Force near Kirovo (Donetsk People's Republic).
Fifteen Ukrainian unmanned aerial vehicles have been also intercepted during the day in the areas of Yegorovka, Yelenovka, Kirillovka, Volodino, Artemovsk, and Olginka (Donetsk People's Republic), Kolomyichikha (Lugansk People's Republic), Novaya Zburyevka (Kherson region), and Pologi (Zaporozhye region).

📊In total, 352 airplanes and 192 helicopters, 2,719 unmanned aerial vehicles, 399 air defence missile systems, 7,222 tanks and other armoured combat vehicles, 936 combat vehicles equipped with MLRS, 3,704 field artillery cannons and mortars, as well as 7,737 units of special military equipment have been destroyed during the special military operation.

#MoD #Russia #Ukraine #report
@mod_russia_en
 
HATA USA NA UK NDO HAO HAO WALIOANZISHA NA KUMMPA SUPPORT MU7 AKAPIGANA VITA 1980 MPAKA 1986 UGANDA VITA VILIVYOCHUKUA MAISHA YA WATU 500,000 UGANDA.
WAPIGANAJI HAO HAO WALIOPIGANA UGANDA WATUTSI NA WAHIMA , NDO HAO HAO WAKAENDA RWANDA 1990 MPAKA 1994 KWA MSAADA WA USA NA UK. WAKAPIAGANA RWANDA NA KUSABABISHA MAUAJI YA KIMBALI ZAIDI YA WATU 1,000,000. WALIKUFA RWANDA (HUTU AND TUTSI).
LAKINI WATU HAO WAPIGANAJI WA UGANDA NA RWANDA , WAKAENDA TENA CONGO( ZAIRE) KATIKA VITA VYA MWAKA 1997 MPAKA 2003. VITA VILIVYOCHUKUA WATU ZAIDI YA 5,000,000.
USA HAO HAO NDIO WALIOHUSIKA NA VITA VYA LIBERIA NA SERRIE RION.
USA NA NATO HAO HAO NDIO WALIHUSIKA NA VITA VYA IRAQ NA LIBYA.
SASA VIPI NA NYIE MBONA MNAWATETEA HAO WATU HAMUONI KAMA NA WAO NI WANAFANYA MAKOSA?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…