Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,546
- 38,093
Zamani nikuanzia mwaka gani MKUU !!?Hiyo ni war crime! Kwenye modern warfare kuna kitu kinaitwa "rules of engagement." Vita ya bomoa bomoa kila kitu ilikuwa ya kiazamani ambayo haikuwa na rules of engagement.
[emoji568][emoji636]Times: Britain's newest aircraft carrier spent more time on repairs than at sea
Kwani unavyosema ni ajabu wewe ni Kati ya wale waliokuwa wanaamini Ukraine ni dhaifu? Ukraine hawezi kushinda hii vita na Yale maeneo hayatarudi.Boss Ukraine kutokushinda hii vita si ajabu, ajabu ni Ukraine kuishambulia Urusi ndani ya ardhi yake. Urusi ni wakati wake wa kuionyesha dunia nafasi yake, otherwise atachokonolewa kila siku taratibu kidogo kidogo.
Hao waliokufa walikuwa frontline zaidi zaidi kwenye trench lines hivyo kuwatoa sio rahisi. Na wameuwawa kwa artillery shells ukiwaona juu, wakiwa kwenye trench inaweza kuwa shell yenye airbusting fuse au grenade zinazotupwa na mini UAVs.Duh!..wamekosa wa kuwazika?...Russia wana udhaifu mkubwa kwenye 'logistics' hasa kuhudumia majeruhi na Marehemu wao.
Axel Lloyd HIMARS T14 Armata
Ajabu yake ipi MKUU !!?Boss Ukraine kutokushinda hii vita si ajabu, ajabu ni Ukraine kuishambulia Urusi ndani ya ardhi yake. Urusi ni wakati wake wa kuionyesha dunia nafasi yake, otherwise atachokonolewa kila siku taratibu kidogo kidogo.
Hao waliokufa walikuwa frontline zaidi zaidi kwenye trench lines hivyo kuwatoa sio rahisi. Na wameuwawa kwa artillery shells ukiwaona juu, wakiwa kwenye trench inaweza kuwa shell yenye airbusting fuse au grenade zinazotupwa na mini UAVs.
Hali ni ngumu zaidi frontline, jana hujaona ile video wapiganaji kumi wamebeba majeruhi wawili walipofika kituoni kamanda wao akawatandika fimbo kwa uzembe
Narudia kusema kwamba anayefikiria kwamba Ukraine itashinda hii vita akajipime akili.
Again, kutokushinda hii vita kwa Ukraine sio ajabu, ajabu ni Ukraine kushambulia ndani ya Urusi....Kwani unavyosema ni ajabu wewe ni Kati ya wale waliokuwa wanaamini Ukraine ni dhaifu? Ukraine hawezi kushinda hii vita na Yale maeneo hayatarudi.
Kamanda wenu alisema mnashindwa vita sababu mnatumia muda mwingi kubadili diaper au alidanganya? Acheni ushoga ni makufuru ns tutawatwanga popote paleKwani za kwako wewe huwa unabadili baada ya muda gani ili usitoe harufu mpaka umeamua utushauri na sisi ?
AJabu ni imani iliyopo juu ya uwezo wa Urusi kujilinda, Uwezo wa Nukes na nafasi dunia inayomuweka katika nchi zenye uwezo wa kivita. Tunapoitazama NATO tunakumbuka kwanini ipo.
Hiyo ya UK imezinduliwa December mwaka 2019 na trials zilikuwa bado kukamilika. Tufanye basi ni mbovu, tangu December 2019 izinduliwe ilishatembea baharini siku 267 (kulingana na source yako).[emoji568][emoji636]Times: Britain's newest aircraft carrier spent more time on repairs than at sea
Currently, HMS Prince of Wales is being repaired in the dry dock of the Scottish Rosyth, where it was built
The newest British aircraft carrier HMS Prince of Wales has spent more time at the docks to repair breakdowns since it was commissioned in December 2019 than at sea. This was reported on Monday by the British newspaper The Times.
With reference to data from the Ministry of Defense, newspaper reports that minus the time that the aircraft carrier is worth £3.2 billion ($3.9 billion at the current exchange rate) it was moored without performing any tasks, it was at sea for 267 days. At the same time, Christmas, which Catholics and Protestants celebrated on December 25, became the 268th day of ship repairs, which is currently ongoing.
Now HMS Prince of Wales with a displacement of 65 thousand tons and a length of 280 m is being repaired in the dry dock of the Scottish Rosite, where it was built. The ship ended up here after its propeller broke in August. This happened at the moment when the aircraft carrier was leaving the base in Portsmouth to take part with the American and Canadian military in exercises off the coast of the United States. The problems did not end there - a crack was found in the fuel hose leading to one of the generators.
In December 2020, HMS Prince of Wales was out of service for several months due to flooding on board. The cause of the incident, as a result of which thousands of liters of water flooded the engine room, and the electrical panels were under water for a day, was a break in the fire water supply. According to The Times, the elimination of the consequences of that incident took 193 days and cost £3.3 million ($4 million).
Sent using Jamii Forums mobile app
TZ-1 video link hiyo hapo
Kwanini unafikiri kambi za urusi au marekani haziwezi kushambuliwa?Again, kutokushinda hii vita kwa Ukraine sio ajabu, ajabu ni Ukraine kushambulia ndani ya Urusi....
Be honest, wakati wa mwanzoni uliwafikiri kuwa Ukraine anaweza ishambulia kambi ya Urusi ndani ya Urusi? Hili halikufikirika kwenye vichwa vya watu wengi hata kwa wamarekani wa humu.
Kwani kuna sehemu nimeitaja marekani?Kwanini unafikiri kambi za urusi au marekani haziwezi kushambuliwa?
Natamani afikie hatua hiyo Ili wajanja wapate nafasi ya kumchakaza mazimaNaomba Urusi ielewe kuwa
1. Marekani inamuogopa sana.
2.NATO yote inamuogopa sana
Ila
Kuruhusu mashambulizi ndani yake kwa mgongo wa Ukrein kutasababisha miundo mbinu mingi kuharibiwa. Wanaoharibu ni NATO na Marekani. Wanataka kumzoofisha kisha wammalize.
Cha kufanya ni Urusi kumaliza vita kwa gharama yoyote mapema.
Atumie nuclear au silaha yoyote vita iishe au NATO waingie moja kwa moja.
Asisubiri kudhoofika.
Russia tunakuhitaji sana na zaidi utulinde dhidi ya mashoga.
Labda hujui historia.marekani na Russia kuwa kwenye pande mbili zinazokinzana kwenye vita ni kawaida mfano Korea war,Syria na kwingineko.kupigwa Kwa hizo kambi haimaanishi usalama wa urusi utadorora kumbukuka Russia ana kila Aina ya silaha kwa wingi.Kwani kuna sehemu nimeitaja marekani?
Kuhusu Urusi jibu lipo February 2022.
"Whoever tries to interfere with us, and even more so, to create threats for our country, for our people, should know that Russia's response will be immediate and will lead you to such consequences that you have never experienced in your history."
Drones kushambulia ndani ya Urusi ni tishio kwa Urusi, Urusi kutokujibu kwa kiwango cha uzito wa hayo maneno hapo juu ni kuweka nafasi yake kwenye walakini.
Mm historia huenda siijui, ila najua wapi pakurely ninapotoa maoni. Unless uniambie yale maneno ambayo nimerely ni siasa tu na hayana maana.kumbukuka Russia ana kila Aina ya silaha kwa wingi.
Ni siasa Tu Kwa sababu hao jamaa wakipigana watatumia nuclear.na itakuwa mwisho wa dunia.Mm historia huenda siijui, ila najua wapi pakurely ninapotoa maoni. Unless uniambie yale maneno ambayo nimerely ni siasa tu na hayana maana.