Yaan Taliban aogope nyuklia?Mbona Pakistan ina nyuklia ila Ttp (Pakistani Taliban) wameivuruga hiyo nchi kisawasawa mpaka haikaliki huko Swat na hata miji mikubwa kama Lahore, Punjab, Islamabad, Kashmir ni roho mkononi tu ?
Kwamba na UK pesa hua wanakula ama halaf hio source sio yangu MKUUHiyo ya UK imezinduliwa December mwaka 2019 na trials zilikuwa bado kukamilika. Tufanye basi ni mbovu, tangu December 2019 izinduliwe ilishatembea baharini siku 267 (kulingana na source yako).
Wakati huo, hii Admiral Kuznetsov ya Russia tangu iwe kwenye dry dock mwaka 2017 halijawahi tembea baharini hata siku mojaView attachment 2459053
Na hapo kwenye dry dock ilishapata ajari tatu nyingine ni wiki jana, na ilishaua watu wawili, ilishazamisha floating dock pekee ya Russia yenye uwezo kuibeba. Meli kupata ajari kwenye dry dock inafanyiwa repair ni sawa na gari kupata ajari likiwa gereji
Bado UK ina HMS Queen Elizabeth aircraft carrier iliyozinduliwa 2014View attachment 2459051
Ukiongeza na hiyo HMS Prince of Wales ya 2019 unawakuta Waingereza wana uwezo kutunisha misuli hata maeneo ya South America kwa Navy yao. Russia kutoka kwao kwenda Syria na hiyo Kuznetsov ilibidi warudi na tugboat na tangu warudi dude limekaa matengenezo hadi leo. Hawa ndio mnaita superpower!
Na ndio hao hao walikuwa na flagship ya Black Sea fleet isiyo na radar za uhakika inapigwa kama boti ya uvuvi. Meli kubwa ya tani zaidi ya 10,000 na futi 600 ina radar za kijinga, hela za refit sijui wahuni walikula au teknolojia mbovu ya hizo radar. Anti missile systems hazihusiki maana hakuna feedback ya radar ilionyesha targetView attachment 2459052
Akikujibu niite mmbwaTaja sababu za uvamizi sasa na sisi tuzijue.
Huyo Prisoner alisema vita itachukua siku 3 tu 😂 😂 😂 😂Anza kusoma mwanzo wa thread utazikuta.
Unaona sasaKwani kuna sehemu nimeitaja marekani?
Kuhusu Urusi jibu lipo February 2022.
"Whoever tries to interfere with us, and even more so, to create threats for our country, for our people, should know that Russia's response will be immediate and will lead you to such consequences that you have never experienced in your history."
Drones kushambulia ndani ya Urusi ni tishio kwa Urusi, Urusi kutokujibu kwa kiwango cha uzito wa hayo maneno hapo juu ni kuweka nafasi yake kwenye walakini.
Kwa hali hii kuna kusalimu amri kweli ?....miezi 10 Sasa bado hajasalimuNakuhakikishia kuna mistari haijavukwa na haitavukwa na
@Tsh soma mara kadhaa hapo halaf ueleweMove with strategy. Do not move with emotion.
Samahani MKUU ila hili la bakhmut kutokua na umuhimu utusamehe kidogoWiki zijazo tutarajie habari njema kutoka Bahkmut ambapo Russia ndio imeweka concentration ya wanajeshi na ndio inapata casualties nyingi zaidi. Leo imeripotiwa Russia imeondoa headquarters zake kutoka Kreminna, ukisogeza nyuma HQ za forces maana yake inashambuliwa na unaona huwezi hold hiyo position. Artillery zikiwa within range inabidi usogee nyuma, isijetokea kama yaliyomkuta Dmitry Rogozin.
Situation ilikuwa hivi siku sita zilizopita na ile intensity ya Zelensky alipotembelea eneo hiloView attachment 2459852
Kuna kama brigedi 11 za Urusi na 12 za Ukraine zinatafutana. Bahkmut ni meat grinder na haina umuhimu sana kwa Ukraine ikirudisha hili kabla, ina umuhimu wa kipropaganda zaidi na umuhimu mdogo kijeshi kwa Urusi ikilichukua lote. Ilivyoripotiwa 5 days ago ambavyo inatarajiwa haijabadilika sanaView attachment 2459855
Niwewe na pro NATO pekee waliodhania kama UKRAINE itaanguka ndani ya siku tatuUrusi hakuanza vizuri. Siku ya kwanza ya uvamizi nilivyoona performance yao na response ya Ukraine ilivyokuwa nikajua hawa Warusi ni wa kawaida.
Serikali yenyewe ya Urusi ilijua ina jeshi lenye akili, si reports zao za MoD huwa zinaonyesha mazuri tu. Propagandists wanapewa umuhimu kuliko wakosoaji na wasemakweli. Bado Foreign Intelligence ikadhani Ukraine ni wahuni kama wale wa Crimea ya 2014 waliokimbia bila kupigana. Ikaonekana Ukraine itaanguka within 3 days na ule msafara wa 64km ulikuwa wa kutishia nyau wala sio kupigana miezi. Ndio maana ulipopigwa hakwenda mwanajeshi mwingine kule kuitafuta Kiev.
Ukraine ilijiandaa kimyakimya, ujasiri wao na determination uliwasaidia. NATO ilikuwa imekata tamaa ikikariri Russia wana jeshi la maana. Ndani ya siku tatu baada ya kuona performance ilivyo, Ukraine wakapata morali kumbe hawa watu tukikazana hata mji mkuu hawapati. NATO ikaombwa silaha na nchi za mwanzo kutoa response ni Poland (hawa watatu Poland, Ukraine na Russia wana historia ndefu kabla na baada ya Soviet Union, Poland ilishawahi pigana na Ukraine ikashinda, haikumaliza hata miaka Ukraine ikaiomba msaada wapigane na Urusi miaka hiyo nadhani 1920s).
NATO ilitoa silaha zaidi baada ya kuona Ukraine wanazitumia na Russia ni kama hawana nia
Baada ya kugalagazwa urusi Sasa ndo anauona umuhimu wa ku- move with strategy badala ya emotion[emoji16]
Kwani RUSSIA iliweka time line kwenye hili MKUU kinachotakiwa UKRAINE asalimu amri nakukubaliana na matakwa ya RUSSIA haijalishi itachukua muda ganiKwa hali hii kuna kusalimu amri kweli ?....miezi 10 Sasa bado hajasalimu
Ukiacha logistics kuna issue ya Airforce ya Russia,kushindwa kumiliki anga la Ukraine pale mwanzo ilifanya vikozi vya ardhini kukosa Ulinzi hivyo kupigwa mapigo ya kushtukiza kulikowafanya kurudi nyuma. Russia angekamata anga la Ukraine pale mwanzoni pengine Leo tungekua tunazungumza mengine (Labda Putin angekua kashaikamata Kiev) maana hata hizo silaha zisingeweza kuingia kirahisi Ukraine zingekua zinashambuliwa hukohuko mpakani.Matatizo ya logistics muhimu kama chakula, mafuta, huduma za dharura na hali ya hewa kwenye ule msafara yalionyesha upande wa pili wa Urusi.......nadhani rushwa na ufisadi vinachangia hayo.
Halafu msafara mkubwa kama ule bila airpower dominance ya kueleweka ilikuwa kamari tu.
Ila inashangaza zaidi jinsi wameshindwa kudhibiti eastern Ukraine kikamilifu na kwa haraka japo tangu mwaka 2014 wana vibaraka wao wanapigana huko (hata warusi weusi hawaamini hili).
Axel Lloyd HIMARS Jackal Frank Wanjiru
Kama ndio hivyo basi urusi aache kulialia na kutoa kauli za kumlaumu Ukraine kwamba anakataa kuja kwenye meza ya mazungumzo.., lengo si Ukraine ajisalimishe?? Basi urusi apige kazi Mpaka tuone Ukraine ajisalimishe .. ,hizi kauli ni za nini??[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]Kwani RUSSIA iliweka time line kwenye hili MKUU kinachotakiwa UKRAINE asalimu amri nakukubaliana na matakwa ya RUSSIA haijalishi itachukua muda gani
Sent using Jamii Forums mobile app
Kinyonge saaaaana [emoji28]Niwewe na pro NATO pekee waliodhania kama UKRAINE itaanguka ndani ya siku tatu
LIBYA licha yakwamba ilikua haipewi msaada wowote toka.nje na bado ikawa na internal conflict na vikwazo juu hawakupigwa kwasiku tatu na FRANCE na NATO yao
Yaani nyie watu bana [emoji16][emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani England aiogope Uganda. Haya masikhara hayaHahahahahahahahaha kuna vituko humu na wanaaminishana kabisaa kwamba ni wataalam wa kijeshi na wanayachambua majeshi ya nchi mbalimbali huku wakiyadharau kabisaa
Hali ya kuwa hayo mataifa makubwa yanayahofia hayo majeshi