Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hapo mwisho umefanya utabiri mahaba. Utabiri wa mchongo!

Lets do numbers

Wakati anaichukua crimea 2014 hakupata upinzani na wala Ukraine hawakupata misaada wapigane kuirudisha ardhi yao.

Bila upinzani walichukua 26 kmsq tu za Ukraine yaani crimea. Leo na upinzani wote wamechukua zaidi ya kmsq laki! Sasa bora upinzani au bora bila upinzani!?

Raia wa urusi hawawezi kuhoji lengo la vita maana wanalijua. Wale sio wabongo eti wanangoja mpk ashindwe ndio wamuhoji. Wale ni wazungu km hawaelewi wangeshahoji zamani. Ndio maana unaona Jamaa anaitisha mobilization anataka watu laki tatu wajitolee kwenda kupigana na anapata fasta tu. Hiyo ni dalili ya raia wanaounga mkono yanayofanyika.
 
Unajua mpaka sasa Ukraine kapeleka brigade ngapi Bakhmut.kama sio muhimu angepeleka brigade zote izo.Bakhmut ni supply route kwa iyo ikianguka basi Slaviansk na Cramatorsk ni ngumu kuzuia kuangukia kwenye mikono ya Warusi
 
Nilimuuliza anataka Pakistani watumie nyuklia dhidi ya Pakistani taliban!? Kwa bahati mbaya hata hakuelewa!
[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Unajua mpaka sasa Ukraine kapeleka brigade ngapi Bakhmut.kama sio muhimu angepeleka brigade zote izo.Bakhmut ni supply route kwa iyo ikianguka basi Slaviansk na Cramatorsk ni ngumu kuzuia kuangukia kwenye mikono ya Warusi
Warusi wanakufa kama kuku hapo Bakhmut

Ukrainian troops capture a Russian position near Bakhmut

via @GlasnostGone
 
Wagner Group wanazidi kusonga mbele kijiji cha Opytne.sasa wanamiliki asilimia 50 ya kijiji chote




[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]







 
Iyo ni Bakhmut ya tandika[emoji23][emoji23][emoji23]
Bakhmut kweli ni meat grinder maana watu wanakufa kama umbwa

Aerial reconnaissance Madyar's Birds discovered a Russian sabotage group of five military personnel near Bakhmut. Artillery of the consolidated tactical group Adam destroyed Russian saboteurs.
 
Japo umeqoute bila ya nani amekusudiwa ila usijali.

Ni pro russia ndiye alijipa matumaini ya kwamba urusi atamaliza kaz isiku 2 au 3.

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
Warusi wanakufa kama kuku hapo Bakhmut

Ukrainian troops capture a Russian position near Bakhmut

via @GlasnostGone
Tarehe 30 Nov Ursula von de leyen alisema waukraine waliouawa ni 100k. Huyo ni mkuu wa EU! Kikawaida vitani wanasema kwa kila mwanajeshi mmoja anayeuawa basi watatu wanakuwa wameumia. Total casualty inakuwa ni 4. Kama rate itakuwa ni zaidi ya hapo basi hali ni mbaya sana na ni ngumu kuwa chini ya hapo. Kwa mujibu wa wataalam

Kwa mujibu Leyen kama waliokufa ni laki basi walioumia ni laki tatu. Kuna zaidi ya wanajeshi laki nne wa ukraine wanahesabika kama casualties mpk sasa.

Hamkomi!?
 
Usikuu
Huu wameshafika mbali kuubeba mji huu
 
Jamani hizi story za kujifurahisha tu!! ukweli ni kwamba Ukraine imechakaa sio nchi ya kukaliwa tena na watu kwa amani.... sasahivi mwamba the Putin katoa amri kuwe na. mazungumzo ya amani akimaanisha Ukraine wakubaliane na kilichotokea (kumegwa kwa ardhi ya Ukraine) akikaidi Ukraine itakabiliwa na hatua za kijeshi kutoka Urusi.....
 

Pentagon walisema mpk sasa Urusi imepoteza wanajeshi laki moja.
"Kikawaida vitani wanasema kwa kila mwanajeshi mmoja anayeuawa basi watatu wanakuwa wameumia. Total casualty inakuwa ni 4. Kama rate itakuwa ni zaidi ya hapo basi hali ni mbaya sana na ni ngumu kuwa chini ya hapo. Kwa mujibu wa wataalam"

"Kwa mujibu Pentagon kama waliokufa ni laki basi walioumia ni laki tatu".

HAMKOMI?!!!!!
 
Urusi imeanza kuingia kwenye maeneo ya serikali huko bakhamut mods kwanini mnakaa Niki load picha
Bakhmut itaondoka tu muda sio mrefu.kama Marinka imeweza kuanguka inakuwaje Bakhmut isianguke.

[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
 
Ukiitazama Ukraine ilivyo, maeneo muhimu Russia ishafeli hiyo Bahkmut haina umuhimu mkubwa kama kupitia Kaskazini Mashariki kuitafuta Kharkiv, au kutoka Melitopol kuitafuta Zaphorizhzhia or kuitafuta Kherson au kupitia Belarus kuitafuta Kiev. Hapo Bahkmut ukishatoka Donetsk unaupata mji gani wa muhimu na ulio karibu kuizidi, utoke Bahkmut uitafute Dnipro ni leo?

Kutumia miezi mitano kuitafuta Bahkmut unayosema ni ya muhimu sana kwa Russia unamaanisha Russia ni poor, poor, poor kabisa. Kwamba unamaanisha superpower hawezi teka eneo lisilo hata 100km kutoka DPR ambayo iko under waasi wa Urusi tangu vita hii haijaanza mwaka huu.

Ukraine priority yake ni kuiondoa Russia maeneo iliyoteka mwaka huu, kisha ndio iangalie hao waasi wa Donetsk na Luhansk kisha hatma ya Crimea. Bado kuna maeneo ya muhimu zaidi kuliko Bahkmut, ila tu wamefanya attrition warfare iwe kama Battle of Verdun ya WW1 ambapo France na Germany walipigana wakapoteza wanajeshi 700,000 kwenye trench lines zile ila ukiwauliza sababu ya kuingia gharama kubwa vile ni nini hakukuwa na mashiko.

Maoni yangu sio sheria na wala sibishi ila sijaelewa tofauti na hivi
 
Kwamba Ukraine imechakaa ila Putin "katoa amri kuwe na mazungumzo"? Hii mbinu haijawahi tokea hongera kwa Putin
 
Endelea kuota

Welcome to Ukraine [emoji1255][emoji110] Opytne, south of Bakhmut. The area is completely cleared of Russian forces. The town is under full control. With great help of the 53rd brigade.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yani hauna tofauti na Vunjo.unatuletea habari za tarehe 25.


Optyne kwa sasa Warusi wanamiliki zaidi ya asilimia 50.ushahidi huu hapa


 
Endelea kuota

Welcome to Ukraine [emoji1255][emoji110] Opytne, south of Bakhmut. The area is completely cleared of Russian forces. The town is under full control. With great help of the 53rd brigade.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] usiokoteze ovyo vihabari ukaleta jukwaani hapa.kenge wa blue wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…