Hebu ww niambie Urusi atatumia njia gani kufanya shambulizi la ardhini kwenye miji ya solvyansk na krimatosk zaidi ya bhakhmut ?Ukiitazama Ukraine ilivyo, maeneo muhimu Russia ishafeli hiyo Bahkmut haina umuhimu mkubwa kama kupitia Kaskazini Mashariki kuitafuta Kharkiv, au kutoka Melitopol kuitafuta Zaphorizhzhia or kuitafuta Kherson au kupitia Belarus kuitafuta Kiev. Hapo Bahkmut ukishatoka Donetsk unaupata mji gani wa muhimu na ulio karibu kuizidi, utoke Bahkmut uitafute Dnipro ni leo?View attachment 2460276
Kutumia miezi mitano kuitafuta Bahkmut unayosema ni ya muhimu sana kwa Russia unamaanisha Russia ni poor, poor, poor kabisa. Kwamba unamaanisha superpower hawezi teka eneo lisilo hata 100km kutoka DPR ambayo iko under waasi wa Urusi tangu vita hii haijaanza mwaka huu.
Ukraine priority yake ni kuiondoa Russia maeneo iliyoteka mwaka huu, kisha ndio iangalie hao waasi wa Donetsk na Luhansk kisha hatma ya Crimea. Bado kuna maeneo ya muhimu zaidi kuliko Bahkmut, ila tu wamefanya attrition warfare iwe kama Battle of Verdun ya WW1 ambapo France na Germany walipigana wakapoteza wanajeshi 700,000 kwenye trench lines zile ila ukiwauliza sababu ya kuingia gharama kubwa vile ni nini hakukuwa na mashiko.
Maoni yangu sio sheria na wala sibishi ila sijaelewa tofauti na hivi
"wanamiliki asilimia 50 ya Kijiji chote"[emoji16]Wagner Group wanazidi kusonga mbele kijiji cha Opytne.sasa wanamiliki asilimia 50 ya kijiji chote
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Wanachanya mbuga sehemu gani au hakuna jina[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].Walifanya counter attack huko Svatove ila kilichowakuta imebaki story yao tu.[emoji23][emoji23][emoji23]1)Hahahaha naona umeshikilia km laki mbili, kilometres ambazo zimeshikiliwa na Urusi zinajumuisha Crimea pamoja na maeneo ambayo alikua akiyashikilia Urusi (kwa mgongo WA waasi) huko Donbass tangu 2014. Maeneo ambayo Urusi iliyakamata tangu wavamie February 24, zaidi ya 50% yamerudi chini ya Ukraine na bado Ukraine inachanja mbuga soon Kreminna itarudi ambapo itakata Supply route ya warusi kwenda Bakhmut.
2)EU walitoa ufafanuzi wa taarifa ya Ursula na kusema kwamba 100k ilijumuisa majeruhi pamoja na waliokufa kama taarifa ya Pentagon ilivyoeleza awali.
3)Halafu unauliza km za Urusi zimeenda ngapi,kwani kuna aliyeivamia Urusi?!
4)Tumia akili
Bakhmut aina miezi hata 2 itakuwa tumesahau habari yake.muda utaongea[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]Hebu ww niambie Urusi atatumia njia gani kufanya shambulizi la ardhini kwenye miji ya solvyansk na krimatosk zaidi ya bhakhmut ?
Urusi sio rahisi kuuteka mji huo maana na Ukraine imewekeza nguvu kubwa na karibia kila siku Ukraine inapeleka maelfu ya wanajeshi kuhakikisha huo mji hautekwi.
Nafikiri humu kuna watu wanalipwa na pengine inawezekana JF yenyewe ili kurefusha mjadala si unajua na faida ndipo imo humo?!Nyie watu mnachekesha sana. Last week tu hapa Zelensky alilalama Hali ya bakhmut ni mbaya leo hii mnakuja na porojo tena!?
"The front-line situation remains very difficult in the key areas of Donbas — Bakhmut, Soledar, Maryinka, Kreminna" _ Zelensky
Duh!...basi ni haki yao kabisa kuita 'mobilisation'....wote hao kwa miezi 10 tu ya Vita ?.....hali mbaya mnoPentagon walisema mpk sasa Urusi imepoteza wanajeshi laki moja.
"Kikawaida vitani wanasema kwa kila mwanajeshi mmoja anayeuawa basi watatu wanakuwa wameumia. Total casualty inakuwa ni 4. Kama rate itakuwa ni zaidi ya hapo basi hali ni mbaya sana na ni ngumu kuwa chini ya hapo. Kwa mujibu wa wataalam"
"Kwa mujibu Pentagon kama waliokufa ni laki basi walioumia ni laki tatu".
HAMKOMI?!!!!!
Endelea kuota,majeshi ya Ukraine yanakaribia Kreminna Kwasasa yapo Zhytlivka, Dibrova na msitu wa Serebryanka. Kreminna ikifall Ukraine itakua imekata supply route ya Urusi kwenda BakhmutWanachanya mbuga sehemu gani au hakuna jina[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].Walifanya counter attack huko Svatove ila kilichowakuta imebaki story yao tu.[emoji23][emoji23][emoji23]
Kremina ni ngumu kwa vikosi vya Ukraine kusogeza pua maana awana supply ya haraka kwa vikosi vyao.Warusi wana vikosi vingi sana kwenye mji huo
Miezi 2 tena,ina maana warusi watakua wamepigana kukomboa kamji kamoja karibu mwaka mzima maana tangu mwezi May wapo hapo Bakhmut.Bakhmut aina miezi hata 2 itakuwa tumesahau habari yake.muda utaongea[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Tutawapinga popote pale mnaharibu kizazi na agenda zenu za kishetani pro LGBTQ. Acheni ushoga aiseShoga baba ako.....**** wewe
Aise hata kama huu sio ubinadamuChuki za drc ni mbaya angalia jamaa anavyofanya MAITI ya mwanaume mwenzie daaa
View attachment 2460065
The sad truth is mahali watu wanakaa upatikanaji wa Maji na umeme ni mkubwa kuliko TanzaniaJamani hizi story za kujifurahisha tu!! ukweli ni kwamba Ukraine imechakaa sio nchi ya kukaliwa tena na watu kwa amani.... sasahivi mwamba the Putin katoa amri kuwe na. mazungumzo ya amani akimaanisha Ukraine wakubaliane na kilichotokea (kumegwa kwa ardhi ya Ukraine) akikaidi Ukraine itakabiliwa na hatua za kijeshi kutoka Urusi.....
Russia wamerudishwa nyuma unasema miezi?Bakhmut aina miezi hata 2 itakuwa tumesahau habari yake.muda utaongea[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Unajua Bakhmut ina ukubwa gani?.Idd Amin alichukua ardhi ya ukubwa gani mpaka mkatangaza vita?.Miezi 2 tena,ina maana warusi watakua wamepigana kukomboa kamji kamoja karibu mwaka mzima maana tangu mwezi May wapo hapo Bakhmut.