Umeshasahau walimtaka aondoke kwa hiari Ukraine baadae wakawataka askari wake wampindue ?...Una ushahidi kwamba warusi walikuwa hawajui ziara ya zelensky bakhmut!? Warusi hawana shida na zelensky. Waliizingira kiev km 9 kutoka ikulu ya zelensky kwa wiki kadhaa hawakuwa na shida naye tu lkn wangemtaka wangempata
1. Maelezo mengi hayasaidii. Ni km 200k za mraba zimeenda mpk ss hv. Kuanzia Crimea mpk zaporozhie. Maelezo hayakusaidieni kurudisha walau km 1 [emoji16]. Ni 1/5 ya nchi ya ukreini. Nchi ya pili kwa ukubwa barani ulaya.
2. EU walitoa ufafanuzi wa nini!? Kwamba mwenzao aliropoka ukweli wakati ilitakiwa aseme uongo!? Head wa EU hawezi kukosea tena mbele ya kamera kuhusu suala nyeti km la casualties wa vita wanavyovisapoti. [emoji16][emoji16][emoji16] Yaani leo Putin aseme kwenye press conference wanajeshi wa urusi waliokufa ni elf 80 alaf baadae waje watuambie walikosea unafikiri tutamuelewa sisi!? Inakuwa imeisha hiyo. Na kwa hilo Urusi ni lazima walipie. Kuua wanajeshi wawatu zaidi ya laki ni unyama. Putin should hang
3. Kwa nini hawaivamii Urusi!? Wanatakiwa waende hadi Moscow wamkamate putin wamle kichwa.
Mkuu nakukumbusha January bado siku tatu.Lavrov Gives Ultimatum to Ukraine
27 DECEMBER 2022
Russian Foreign Minister Sergei Lavrov today gave an ULTIMATUM to Ukraine. A very blunt one, at that.
Lavrov said " Our proposals [. . . ] are well known to the enemy. Our point is simple:
Fulfill them for your own good. Otherwise the issue will be decided by the Russian Army."
As of today, December 27, 2022, at least six-hundred-thousand (600,000) Russian troops, with huge amounts of armor, are concentrated around Ukraine.
With today's statement by Foreign Minister Lavrov, a HUGE offensive is now expected.
Labda kazitunzaTatizo gharama za operation zake....hizo missiles zake ghali sana.
Supa-pawa hatujaona silaha zake za maajabu mpaka sasa, labda bado zipo ghalani zinasubiri itangazwe Vita kamili..[emoji23][emoji23]
Yanajirudia yaleyale ya Moskva,walisema haijapigwa na Neptune ant ship missiles lakini baada ya kuzama walikimbiza Meli zao mbali kabisa na Pwani ya Ukraine [emoji23][emoji23]Wao wanadai kuwa ile base haijapigwa
Swali kwao
Je kwanini wahamishe midege na kupeleka mbali kutoka mipaka ya Ukraine
Kwanini waseme wameitungua wakati kuna sehemu wanadai zimelipuliwa
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Too late..Last December, Russia presented a list of security proposals to the US and NATO, among other things urging the West to impose a ban on Ukraine entering the military bloc, while insisting that NATO should retreat to its borders of 1997, before it began to expand.
Ila jamaa (Urusi) wana artillery nyingi Sana nadhani waliwekeza Sana hapo.
lee van cliff2. Putin juzi alitamka kwamba kinachoendelea huko Ukraine ni vita wala si SMO kama wapambe wake mnavyotuongopea hapa Jf. Kwahiyo tunakubaliana kinachoendelea huko ni vita si SMO?! Au Babu yenu alikosea?!
Wale wote wanaoisaidia Ukraine hasa Poland waliambiwa watakiona cha moto ila bado hawajaguswa mpaka Sasa....3.Kwanini Urusi hawaivamii UK iliyopasua mabomba yake ya Gas?! Wakamkamate Rish sunak pale London wamle kichwa.
Kwasasa wameanza kupata uhaba wa hizo artilleries ndio maana wameenda kununua NK. Mwanzoni mwa Vita Russia alikua anatumia artilleries Kwa fujo anarusha mpk 60,000 Kwa siku ndio maana alikua akiteka miji kwa Kasi.Ila jamaa (Urusi) wana artillery nyingi Sana nadhani waliwekeza Sana hapo.
Ameongea pumba sema Nini ana Uhuru wa kuongea ili mradi hajatukana mtuEhee kumbe sasa hivi Afghanistan ndo taifa lenye nguvu za kijeshi kuliko yote ulimwengu baada ya kuwapa kipigo Marekani na mashoga wenzie [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] dah hili nilikuwa sijui kabisa.
Shida ya Urusi ni viongozi wa juu.Yanajirudia yaleyale ya Moskva,walisema haijapigwa na Neptune ant ship missiles lakini baada ya kuzama walikimbiza Meli zao mbali kabisa na Pwani ya Ukraine [emoji23][emoji23]
Uache tabia za kishoga ndio maana hata comment zako zinaonesha wewe ni *****. Uache uchoko ***nge weweHuwa anakula mashoga kama wewe sio ?
Wewe ulishaacha ushoga?Uache tabia za kishoga ndio maana hata comment zako zinaonesha wewe ni *****. Uache uchoko ***nge wewe
Si unaona unaandika uchoko. Uwe unatumia akili sio hisia za kichoko.Hata Supa-pawa anapokea silaha kutoka Iran na North Korea.
Kama ingekuwa kweli angeishaiteka Kyiv kitambo.....hao mamluki wapo wengi kiasi gani mpaka waunde % kubwa ya jeshi la Ukraine ?...vipi na hao wafungwa na raia wa kigeni wanaopigana upande wa Supa-pawa ?
Duh kwahiyo amepost Mara 2 kuhusu Jambo moja linalofanana lakini kila moja na maudhui yake ya tofauti. Kiufupi anajikataa.Yaani wewe kwa kutafsiri habari kutoka kwenye vyanzo cya magharibi basi unajiona unajua mambo makubwa?
Sasa angalia unavyoandika andika bila hata kujua unaandika nini
"Bahkmut ni muhimu kwa ukraine kuliko ilivyo kwa Russia" hivi hata wewe mwenyewe ukisoma hii ina make sense hata kidogo?.....ni vyema ukajifunza kutafakari kwa kina kwanza kabla ya kupost post ili uonekane unajua
Unaandika vitu viiingi ili kuonyesha unajua mwishowe unajichanganya na kujikana,sasa nakuweke hii kutoka kwako mwenyewe,angalia ulichopost awali na sasa hivi uone kama unajielewa kweli wewe?View attachment 2460033
Kweli wewe ni *****Tatizo gharama za operation zake....hizo missiles zake ghali sana.
Supa-pawa hatujaona silaha zake za maajabu mpaka sasa, labda bado zipo ghalani zinasubiri itangazwe Vita kamili..[emoji23][emoji23]
Ukraine amefufua uzalishaji wa artillery.Kwasasa wameanza kupata uhaba wa hizo artilleries ndio maana wameenda kununua NK. Mwanzoni mwa Vita Russia alikua anatumia artilleries Kwa fujo anarusha mpk 60,000 Kwa siku ndio maana alikua akiteka miji kwa Kasi.
Ukraine baada ya kupata precision weapons (HIMARS) akaanza kutarget ammunition depots ambapo maelfu ya artillery ziliunguzwa pia nyingi zilibebwa na Ukraine walipoichukua Kharkiv.
Still Russia ana advantage kwenye artillery sababu bado anazalisha ukilinganisha na Ukraine mpk asubiri apewe na washirika.
***** baba akoKweli wewe ni *****
Acha kujipendekeza hatutaki mashoga mnaharibu duniaIla jamaa (Urusi) wana artillery nyingi Sana nadhani waliwekeza Sana hapo.
USSR haitakaa irudi imeshakufa na kuzikwa futi Saba ardhini...huo ndo ukweli mchungu wanaotakiwa kuubali.Shida ya Urusi ni viongozi wa juu.
Akitoka Putin, atakuja mtu mwenye mambo yale yale.
Hata miaka 100 ipite bado Russia itataka irudishe USSR.
1991 inawauma sana
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app