Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mkuu 1954 tarehe 28.12.2022 ndo Leo imefika. Vipi kuna habari gan?!View attachment 2461213
Shuttles bado zinaendelea ...tusubiri....shuttles za mataifa makubwa...wakati wewe uko humu JF ukispin hiki na kile wako wanaofanya kazi usiku na mchana kuiokoa dunia...nadhani umesikia alichosema Lavrov na pia Ukraine imesema Nini..tusubiri tuone..
 
Nilimaanisha SU-57 ambayo ni 'stealth' kama F-35 ila typing error tu hiyo...


Hiyo SU-57 hatujaiona kwenye battlefield hata hapo Ukraine.... isitoshe hawajafanya mass production (hazifiki hata 20 zilizopo) hivyo ni mapema kusema ni bora kuliko F-35 ambayo tumeishuhudia kwenye mission kadhaa.

T14 Armata Axel Lloyd
HIMARS Aleyn
 

Attachments

  • main-qimg-f37955e53c35559d8cd45701d81812d0-lq_1.jpg
    23 KB · Views: 22
  • main-qimg-16e3b5346653896aa5d099bd2b8df8e8-lq_1.jpg
    16.5 KB · Views: 16
Hiyo SU-27 hatujaiona kwenye battlefield hata hapo Ukraine.... isitoshe hawajafanya mass production (hazifiki hata 20 zilizopo) hivyo ni mapema kusema ni bora kuliko F-35 ambayo tumeishuhudia kwenye mission kadhaa.

T14 Armata Axel Lloyd
HIMARS Aleyn
Su-27 zipo nyingi zimetengenezwa zaidi ya 500 na ina variant tofauti tofauti kama Su-27K ambayo hii inatumika toka kwenye aircraft carrier.

Su-27 ndio ndege ambazo Ukraine inazitumia,Russia pia wanazitumia Ila sijaona wakizitumia kwenye hii OP.

Si sahihi kuzifananisha Su-27 na F35 maana ni ndege za vizazi viwili tofauti hazifanani. F-35 ifananishwe na Su-57 au J-20 ya Uchina.
 
Nilimaanisha SU-57 ambayo ni stealth kama F-35 na sio SU-27 ila nilikosea tu.


Ila hatujaiona hizo SU-57 'in action' hapo Ukraine huenda bado hazipo nyingi au labda vikwazo vimekwamisha uzalishaji
 

Attachments

  • main-qimg-da64ed46bc2fdc66a6167e5ee1ae7905-pjlq_1.jpg
    22.5 KB · Views: 20
1 ya tano ya ardhi ya Ukraine imeenda. Call it 300k, 350k, 200k sqkm or 100+k sqkm!!! Ruka utavyoruka lkn ni 1/5.

Nalazimisha Urusi ivamiwe kwa sababu imevamia! My opinion matters only if they do make sense. Urusi imevunja sheria za umoja wa mataifa za kuheshimu mipaka ya nchi nyingine, kuua raia, kuharibu mali. Inapaswa ivamiwe ili ifunzwe adabu. Kama ambavyo ujerumani ilivamiwa baada ya yenyewe kuivamia poland, kama ambavyo iraq ilivamiwa baada ya kuivamia kuwait, kama ambavyo china inaonywa isijeikaivamia taiwan, kama ambavyo North korea ilivamiwa kwa kuivamia south korea.

Marekani iliivamia iraq si kwa sababu pamoja na nyingine ni iraq iliivamia kuwait au!? Au unataka kusema uvamizi wa haki wa marekani kwa iraq ni sawa na uvamizi huu haramu wa Urusi!?

Kinyume chake wewe unataka UK ivamiwe kwa sababu 'inasadikika' imelipua bomba la Urusi. Your opinion matters, only they don't make sense im afraid! [emoji16] Nani kichaa kati yangu mimi na wewe!? Unajua hata kama UK inabainika ndio waliolipua bomba hiyo sababu haitoshi kuhalalisha hiyo nchi ivamiwe na nchi nyingine!?

Kwa nini Urusi haivamiwi? Hakuna anayeweza kuivamia urusi!?
 

"Nalazimisha Urusi ivamiwe kwa sababu imevamia"

Kwanini usiivamie wewe sasa?!

Eti unalazimisha?! Hata mlio wa risasi pengine hujawahi kuusikia halafu unalazimisha eti nchi fulani ivamiwe

Na Libya ilimvamia nani?!

Kweli hii nchi ina tatizo la Afya ya akili,juhudi za ziada zinahitajika.
 
Mimi nataka Urusi ivamiwe kwa sababu imeivamia nchi nyingine, kuua wanajeshi laki, kuua maelf ya raia, kuharibu nchi, kutwaa moja ya tano ya eneo la watu kimabavu nk. Wewe Unataka UK ivamiwe na Urusi kwa sababu UK 'inasadikika' amelipua mabomba ya gesi ya Urusi. Kati yangu mimi na wewe nani kichaa!?
 
Ngoja tuone Hawa wanafanyane. Hawa wazungu wasije kuwa wanatuigizia Ili sisi huku tuoate shida View attachment 2461289
Baada ya kufuatilia hii habari inaonekana hao jamaa hawataki kukubali kwamba Russia ni super power Ila kila mmoja anaenda kimya kimya wanafyata ili kuonesha kwamba wapo na Ukraine wajinga hao kwanza hata habari zao wanazoripoti za Vita usiziamini Sana maana Kuna watu flani hivi sijui wanakula maharage ya wapi hao wanaamini Sana hao mashoga.
 
Mimi sijataka nchi yoyote ivamiwe ni wewe ndiye unayetaka,tena sio kutaka unasema kabisa unalazimisha...sasa unalazimisha wewe kama Nani?! [emoji23][emoji23]

Kichaa ni wewe unayelazimisha nchi fulani ivamiwe,kama vipi kaivamie wewe!!!!![emoji23]
 
Northeast of Kup'yans'k, in Kharkiv region, Ukrainian defenders have regained control of the settlements of Syn'kivka and Vil'shana.

Source: General Staff of the Armed Forces of Ukraine operational information as of 18:00 on 28 December 2022 regarding the Russian invasion

2/2
 
Mimi sijataka nchi yoyote ivamiwe ni wewe ndiye unayetaka,tena sio kutaka unasema kabisa unalazimisha...sasa unalazimisha wewe kama Nani?! [emoji23][emoji23]

Kichaa ni wewe unayelazimisha nchi fulani ivamiwe,kama vipi kaivamie wewe!!!!![emoji23]
"3.Kwanini Urusi hawaivamii UK iliyopasua mabomba yake ya Gas?! Wakamkamate Rish sunak pale London wamle kichwa."

Usiwahi kusahau haraka! Unataka Urusi wamle kichwa Sunak kisa Uk 'inasadikiwa' imepasua mabomba ya Urusi ya gesi. Alafu unashangaa ni kwa nini Tanzania kuna matatizo ya akili.

Sikushangai. Kwenye ulimwengu wenu mnajiona nyie ndio mko timamu na wengine wote ni hamnazo.

Nchi inapovunja utaratibu wa umoja wa mataifa na kuivamia nchi nyingine na kusababisha hasara kubwa ya roho na mali za watu inapaswa nayo kuvamiwa ili ifunzwe adabu. Huu ndio utaratibu wa dunia na mifano nimekupa kuanzia ujerumani mpaka Korea. Nataka utaratibu huu ufuatwe kwa sababu ndio utaratibu wa 'dunia'. Hata nisipotaka/lazimisha mimi haibadilishi ukweli wa utaratibu huu wa ulimwengu.

Nchi haivamiwi na kiongozi wake 'kuliwa kichwa' kwa kupasua mabomba wa watu ya gesi. Na wala Huwezi kutoa mifano kwa sababu haipo. Sio utaratibu wa dunia.

Wasomaji watakuwa washamuona mwenye tatizo la akili kati yangu mimi na wewe
 
Huyo unaemwelewesha utachoka TU nakuambia.
Yeye anamuamini T14ARMATA peke yake hapa duniani.
Mtu pekee anaejiamini kua anajua silaha nyingi hapa jf na kuamini kua anajua Kila kitu.
Yote kwa yote lakini uwezekano wa kupinga kwa hoja kwa kile anachokieleza kama sikweli kwa vile hutoa evidence.

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
Bakhmut iyo inaondoka mdogo mdogo.tulisema sisi muda utaongea.kama imeweza kuanguka Marinka inashindikana vipi kwa Bakhmut



[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
 

Mbona unatafuta huruma ya wasomaji[emoji23][emoji23][emoji23] Nilikutolea huo mfano baada ya kuleta hoja yako ya kutaka Urusi ivamiwe,tena unalazimisha [emoji23] Aiseeee

"Nataka utaratibu huu ufuatwe kwa sababu ndio utaratibu wa 'dunia"

Unataka wewe kama Nani?! Ni utaratibu wa Dunia Kwa mujibu wa Nani?! [emoji23][emoji23][emoji23]

Wewe kama unataka kusanya virago,jaza mapanga na mishale nenda kaivamie hiyo Urusi[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…