Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Air defense clearly active

Umeelewa hapo? Manake huto tu drone twa kurushwa na manati tumedhibitiwa na mifumo ya yhabit ya ulinzi
 
Wacha urusi na yeye aonje joto ya jiwe kwenye mipaka yake

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Hivi urusi kakosa ubunifu wa aina nyingine Ili kuwafurahisha mashabiki wake..,kila mara ni kurusha makombora tu Ili mazombi wake wamshangilie?
Inaboa bwana,hata mlo mmoja kila siku unachosha

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Acha kuitaja taja Su 57 kufunika ubovu wa f 35.

Yaani unachotaka kusema ni kwamba F35 ni boflo ila angalia, su57 ndio boflo zaidi.

Huwezi kuzitetea f series bila kuzitaja su!? Huwezi kuitetea airforce ya marekani bila kuitaja airforce ya urusi!?
Nimemjibu na kumuuliza maswali na hajajibu wala huwezi jibu. Kanitag na anajua kwanini kaamua anitag mimi, usinipangie cha kuandika kama vipi anzisha uzi wako. Usinikasirikie, sihusiki na poor performance ya superpower uchwara
 
Zuio linaisha mwezi January, ni zuio la mwezi mmoja kufanya uchunguzi kwa ndege batch fulani tu. Su-57 haina hata injini yake, internal bay haijapewa missiles zote inabidi ndege ibebe missiles kwenye external hardpoints, kwa kufanya hivi unaua stealth capability yake.
Jana nimeona zimepokelewa nne nyingine. Nijulishe hivi zimeshafika walau 20?

Nyinyi si ndege zenu mnadekeza mnazipaka rangi zinaruka kwa madoido kwenye parade za Victory Day na kuzionyesha Zhuai Airshow. Baada ya hapo ikitokea vita hazifanyi kazi zake ipasavyo. Si bora hata India walinunua ndege kwenu wanapiga mazoezi makali na wanapata ajari bahati mbaya wakati wa amani ila wakihitaji kufanya mission marubani wake wanatekeleza kwa ufasaha.

Jambo lingine, ni nadra kusikia ndege ya Marekani imeanguka na kuua watu. Nenda karudie kuona ile video ya F-35 pale airbase ambavyo rubani aliicontrol kisha akatumia ejection seat akiwa ground katoka na yuko salama (sijui kama Russia kuna zero gravity ejection seat). Nyinyi marubani wenu wakieject wanakufa zaidi ya Wamarekani, ndege wengine wanaangusha kwenye majumba
 
Zuio kuisha mwezi January haiondoi uhalisia kwamba zina hitilafu ndiyo maana zimesimamishwa mpaka uchunguzi ufanyike.
Mkuu sijui umemaanisha nini uliposema aliicontrol ndiyo akatumia ijection seat[emoji848]. Mbona video inaonesha vizuri kabisa ndege ilikosa control baada Tu ya kugusa ardhi na ilikuwa ni lazima asuburi ikae upright ndiyo hilo liwezekane.. aliicontrol vipi mkuu labda kama utatufafanulia zaidi?
 
Acha ushabiki.unaandika pumba sana.
 
Mwaka huu tu zaidi ya ndege 5 za F-35 zimeanguka.F-35 ni ndege mbovu kuliko ndege yoyote ile kuwahi kutokea hapa Duniani.
 
Nimemjibu na kumuuliza maswali na hajajibu wala huwezi jibu. Kanitag na anajua kwanini kaamua anitag mimi, usinipangie cha kuandika kama vipi anzisha uzi wako. Usinikasirikie, sihusiki na poor performance ya superpower uchwara
Usipanic sasa [emoji16][emoji16][emoji16]

Huwezi kutetea ubora wa F series bila kuitaja Su!? Ina maana ubora wa F ni relative na ubora wa Su57!?

Acha kulialia mchambuzi wa mchongo
 
[emoji635][emoji298][emoji1255][emoji779][emoji779]Photos of a T-90A main combat tank taken from the Russians and now serving with the Ukrainian Armed Forces in Bakhmut.

 
[emoji298]️The defense forces of Ukraine advanced to a distance of 2.5 km in the direction of Kreminna.

This was announced by the Deputy Chief of the Main Operational Department of the General Staff of the Armed Forces of Ukraine, Brigadier General Oleksii Hromov.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…