Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,546
- 38,093
Kuna muda hua naona shida kukujibu MKUU sababu unabishana na ukweliZuio linaisha mwezi January, ni zuio la mwezi mmoja kufanya uchunguzi kwa ndege batch fulani tu. Su-57 haina hata injini yake, internal bay haijapewa missiles zote inabidi ndege ibebe missiles kwenye external hardpoints, kwa kufanya hivi unaua stealth capability yake.
Jana nimeona zimepokelewa nne nyingine. Nijulishe hivi zimeshafika walau 20?
Nyinyi si ndege zenu mnadekeza mnazipaka rangi zinaruka kwa madoido kwenye parade za Victory Day na kuzionyesha Zhuai Airshow. Baada ya hapo ikitokea vita hazifanyi kazi zake ipasavyo. Si bora hata India walinunua ndege kwenu wanapiga mazoezi makali na wanapata ajari bahati mbaya wakati wa amani ila wakihitaji kufanya mission marubani wake wanatekeleza kwa ufasaha.
Jambo lingine, ni nadra kusikia ndege ya Marekani imeanguka na kuua watu. Nenda karudie kuona ile video ya F-35 pale airbase ambavyo rubani aliicontrol kisha akatumia ejection seat akiwa ground katoka na yuko salama (sijui kama Russia kuna zero gravity ejection seat). Nyinyi marubani wenu wakieject wanakufa zaidi ya Wamarekani, ndege wengine wanaangusha kwenye majumbaView attachment 2462376
Kwa Marekani kuweka zuio kila ndege inapopata hitilafu ni kawaida,hua wanaziground wanafanya uchunguzi wakishakamilisha na kugundua tatizo ndege inarudi kaziniKuna muda hua naona shida kukujibu MKUU sababu unabishana na ukweli
Zuio lanini liliekwa hii ndio hoja kabla ya hayo mengine
Kuanguka kwa ndege kawaida ila sio kwaspeed hii ya f35 nasio mpaka kueka zuio ujue kuna shida na hii ndio point
Sent using Jamii Forums mobile app
Fatilia alafu utanipa jibu.hamna ndege hapo[emoji23][emoji23][emoji23]Duh!....umezidisha chumvi.
Uzuri uwezo wako ni kuandika hii sentensi siku zote wala huwezi changia loloteAcha ushabiki.unaandika pumba sana.
Wait and seeMzigo wa Patriot ukiingia huenda tukashuhudia mengi, labda Warusi wataegemea zaidi kwenye kurusha makombora ya masafa marefu kutokea Urusi au baharini au kutegemea 'drone' za waajemi zaidi ili kuzilinda ndege na helicopter zao.
Sela Son Bwana Utam HIMARS
T14 Armata
Mpinge kwa hoja.Acha ushabiki.unaandika pumba sana.
Hebu tutumie picha 5 za hizo ndege zilizoanguka mwaka huu.Mwaka huu tu zaidi ya ndege 5 za F-35 zimeanguka.F-35 ni ndege mbovu kuliko ndege yoyote ile kuwahi kutokea hapa Duniani.
Ila mzee na wewe umewashushia mno pro nato nyundo za moto mpaka wanalalamikaSi ni wao Wenyewe walikuwa wanasema Russia hana technology!!?? Humuhumu au walifungua Uzi mwingine ...wanapewa walichotaka hawataki tena ...Hawa jamaa wa HAKI SAWA chenga..sana
Nikupe na nyingine[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hebu tutumie picha 5 za hizo ndege zilizoanguka mwaka huu.
Kazi ya binadamu haikosi kasoro.....ila inaonyesha hizo ndege zinatumika mno ndio maana ajali zimekua nyingi.F 35 kwa sasa zipo store zinapigwa na vumbi tu na sizani kama zitakuja kutumika tena maana zishaonekana ni hatari, hazifai kutumika jeshini.ni project ya hasara
*F-35 A ishanguka
*F-35As ishanguka
*F-35B ishanguka
*F-35 C ishanguka
Sasa hapa hata kama ni wewe utaendelea na Ujinga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndo shida yenu NYIE, mnafikilia urusi ataishiwa missile, nakumbuka mwezi wa 3 WALISEMA Russian run out of missile, vile vile WALISEMA mwezi wa 4, 5 na 6 , sasa hivi wamefunga midomo YAO. Kama juzi tuu wameangusha missile 120 , inamaanisha still wanazo za kutosha.Cruise missile ni cheap kivipi Mkuu?! Kalibr cruise missile moja inacost $6m wakati manpad Ile missile inacost $50k-$100k
Manpad inaenda UMBALI mdogo sana kama 5 km basi.Duh hiyo fighter jet tu kwasababu ya upaaji wake wa juu Sana si rahisi kutunguliwa kwa Manpads. I'la drone na helicopter Ni rahisi kutunguliwa na Manpads.
Tatizo hujapitia hata jkt boss wangu
MKUU INATEGEMEANA ILIKUWA UMBALI GANI INAWEZEKANA ILIKUWA IPO KARIBU TUU.Russian Fighter Pilot Admits Ukrainian Shoulder-Fired MANPADS Are Biggest Threat To Su-35, Su-34 Warplanes
Russian Fighter Pilot Admits Ukrainian Shoulder-Fired MANPADS Are Biggest Threat To Su-35, Su-34 Warplanes
Unamaanisha mfumo wa rainbow utawale si ndioSasa tulia hivo hivo. Yaani Russia, North Korea, Iran na China Hawa wote lazima wakubaliane na matakwa ya watu wa magharibi ili kupitisha New World Order na mfumo Kristo utawale Dunia.
zimeshiliki kwenye operation zipi ebu zitaje ndugu[emoji23][emoji23][emoji23]Kazi ya binadamu haikosi kasoro.....ila inaonyesha hizo ndege zinatumika mno ndio maana ajali zimekua nyingi.
Su-57 hatuzisikii zikianguka sababu hazitumiki Sana, zipo chache tena huko store.
Israel inazitumia kila siku huko Syria...Simetu.ika kwenye operation zipi ebu zitaje[emoji23][emoji23][emoji23]