Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

??&""&&&"?&"Ggg
Kula Sikh su 25 za urusi zinamwaga mabomu uwanja wa vita kumbuka su 25 hainaga air to ground misseli ambazo ni guided. Su 25 inauwezo mkubwa wa kuoambana na manpad
 
Kuweka zuio kunafanywa na nchi zenye uchumi mkubwa na zinazozingatia quality. Mambo haya ni mageni kwenu kwa vile hamjali usalama wa watu. Hata Boeing 737 Max zilianguka kama mbili duniani Marekani ikahisi labda kuna jambo FAA ikazuia 737 Max zisiruke na dunia nzima ikarespond. Wakachunguza wakajua tatizo liko wapi. Nyinyi Warusi ndege ikipata ajari mnachukulia poa, mnakazana kuendelea na hamjui tatizo ni nini mnaishi kwa propaganda. Matokeo yake ni ndege zenye rate kubwa ya ajari duniani. Ndege ya Urusi mpya Sukhoi Superjet 100 kwenye market ni mbovu na zinasumbua tu ukiachana na ajari

Hata wanaozinunua wengi ni mashirika ya Urusi ambayo serikali ina hisa kama Aeroflot, mashirika binafsi yako zake na kina Boeing na Airbus. Watu kama wewe msiposikia mnakuwa hivi
 
Sahihisho!!!
Baada ya marekani kukimbia na kutelekeza vifaa vita kibao

Sent from my LG-M200 using JamiiForums mobile app
Huyo mshikaji nilimjibu vizuri nikampa na screen shot namna ambavyo US walilazimika kuondoka.
Coz kabla ya August 2021 ambao Ni mda ambao Us walikua katika mazungumzo ya mwisho na Taliban ili kujiondoa.
Kabla ya ya mda huo majeshi ya Taliban yalianza kuoccupy maeneo yao kibao yaliyokua chini ya NATO.
Nb.
US Afghanistan imeondoka kwa fedheha Sana. Walienda kupigana na kuwaondoa Taliban lakini Cha ajabu baada ya miaka 20 wakawaachia Madaraka Taliban.
Lakini pia hasara dhidi ya uhai Ni kubwa Sana maelfu ya Wamarekani na NATO troops wamekufa kule.
Nje na hayo waafghanistan waliofariki Ni wengi zaidi maelfu na maelf
 
Lakini pia hasara dhidi ya uhai Ni kubwa Sana maelfu ya Wamarekani na NATO troops wamekufa kule.
Nje na hayo waafghanistan waliofariki Ni wengi zaidi maelfu na maelf
Idadi ya vifo kwa miaka 20 haijafikia ya maelfu ya askari wa Warusi waliofia Ukraine kwa miezi 10 tu...

.hata raia wa Ukraine wameuawa kwa maelfu mpaka Sasa na majeshi vamizi.
 
Mkuu kuna cruise missile nyingine zinaenda UMBALI mdogo sana
Angalia kama hio ilikuwa karibu tuu.
 
Haya yote uloyaandika hayauondoi ukweli kwamba f35 zinashida nandio maana zimepigwa stop

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sheria za kimataifa au sheria za collective west ndio haziruhusu...amka usingizini bro

Sent from my LG-M200 using JamiiForums mobile app
Urusi anaweza kukubali Ukraine,au Finland au Belarus amiliki nyukria?? Ukipata jibu Hilo rejea Tena kujiuliza kama hizo nilizosema ni Sheria za kimataifa au za collective west

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Mkuu kuna cruise missile nyingine zinaenda UMBALI mdogo sana
Angalia kama hio ilikuwa karibu tuu.
Cruise missiles ndo zimetengenezwa hivyo Bro,zinapaa chinichini kukwepa kuonekana kwenye Rada. Ni tofauti na ballistic missile ambazo zenyewe zinapaa juu Sana zikiwa na speed kubwa.

Cruise missile hazina speed ukilinganisha na ballistic missile,speed ya Cruise missiles kama Kalibr ni subsonic ndio maana inakua rahisi kutunguliwa na Manpads (speed ya manpad ni Supersonic... Mach 2-3)
 
[emoji298]️Ukraine received the third batch of Starlink from Poland - they will be sent to "points of invincibility", as well as to support the medical and energy spheres, Prime Minister Denys Shmyhal said.

 
SLAVA UKRAINE [emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255]

[emoji298]️ In temporarily occupied Donetsk, the deputy chief of the department of the military investigative department of the Investigative Committee of the Russian Federation from the joint group of troops, lieutenant colonel of justice Yevgen Rybakov,died during the shelling, the press service of the Russian Federation IC reports.

Russian media speculates that Rybakov died after the recent shelling of the Victoria Hotel.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…