Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kumbe ni kaki jiji tena ka mpakani ha ha ha ha japo habari ni.ya mashaka maana mlipuko huo sio mgeni kwenye macho yangu
 
Huu ndio mtazamo wa wachambuzi wengi mkuu👍.Vita hii wanayoiendesha Urusi ya "slow motion" haitawasaidia sana,eventually itawagharimu sana in terms of manpower and financial resources.What they needed to do right from the beginning was to hit Ukraine with one very heavy devastating blow,including wiping out all decision making centres in Kyiv.This was suggested way back in February,before the West heard time to consolidate.Frankly Putin amefanya makosa mengi millitarily,na hii sasa inamgharimu sana.
 
HIMARS zimepeleka msiba Kremlin, hawaamini wanachokiona [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]



Daniil Bessonov, press officer for the so-called DPR, laments that [emoji635] command still aren't taking HIMARS seriously. Lots of finger pointing (which triggered many, see below). Big fan of bunkers too.

t.me/NeoficialniyBe…

 
Shukrani Mkuu.

Unaweza ukaipitia tena nimeongezea baadhi ya nyama. Na nina imani utajazilizia zaidi ili tufaidike zaidi.

Natanguliza shukrani.
 
Vita hii wanayoiendesha Urusi ya "slow motion" haitawasaidia sana,eventually itawagharimu sana in terms of manpower and financial resources
Ewaaa!

Binafsi hiki kitu ndicho ambacho na mimi najiuliza. Pengine ile minong'ono ya kwamba baadhi ya majenerali wa Russia hawapendezwi na mwenendo wa kivita anaokwenda nao Putin inaweza ikawa ni kweli.

Na moja ya ishara ni siku ambayo kamanda mpya wa Russia alivyoingia kwa siku moja tu kashambulia takribani majimbo 5+ ya Ukraine. Majenerali wa Russia walifurahishwa na hili.

Ijapokuwa tunaunda tu taswira zetu hatuna uhakika kamili lakini hata kama ikiwa ni propaganda napo kwenye propaganda kuna ukweli kiasi. Sidhani kama mbeleni majenerali wanaweza wakakubaliana naye (Putin) waendelee kwa namna hii na vita unapoteza watu (wanajeshi) hali ya kuwa nyenzo za kuiondoa hii hali zipo!
 
Bw. Axel Lloyd

Swali nje ya mada! Upo likizo ya kikazi?

Kwa sababu una post hupumziki! Na kwa bahati mbaya wengine wakichelewa 2/4 ya Uzi unaujaza wewe! [emoji16][emoji16]
Ndugu Hammaz watu tukiwa busy mnasema tunakimbia Uzi,tukipost tunajaza Uzi...sasa lipi jema??

Anyways,week hii yote nipo free hivyo mtanisamehe tu.
 
Sasa ilikuaje hii damage ikatokea MKUU

[emoji635][emoji3575][emoji95][emoji1255][emoji362][emoji298]️"Energy infrastructure facilities have been damaged in Kiev," Kiev mayor Vitali Klitschko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hamas !!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…