Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

.Hata hivyo naomba niseme ukweli, kama the West watashinda in this war,itakuwa na maana kwamba uovu umeshinda,which won't be good news for the World,sema watu kama ninyi hamjitambui.
Duh!.. Urusi akishinda ndio wema umeshinda ?
 
Una roho ya kikatili Sana mkuu
 
[emoji298]️ Both Russia and the Soviet Union made a gross mistake, believing that they would quickly bring Ukraine and Finland to their knees, said Finnish President Sauli Niinisto.

"The leaders of the authoritarian country, Stalin and Putin, did not take into account an important factor. That in a free country, people have will and conviction. And that a people acting together is a great force," said Niinisto.

The President of Finland also emphasized that the decisive support of Ukraine from Finland, Europe and the West will continue this year as well.
 
Russia soon atashusha mvua ya Makombora Kiev kulipa kisasi,Meli zinazobeba Makombora zimesogezwa Mediterranean

[emoji298]️Up to 7 Russian ships are on combat duty in the Black Sea.

According to the Navy of the Ukrainian Armed Forces, the Russians have deployed 1 ship in the Sea of Azov, and 9 in the Mediterranean, of which 5 are carriers of Kalibr cruise missiles, the total salvo of which is 72 missiles.
 
Dawa ya moto sio lazima iwe Moto....
Msemo wako ni sahihi lakini hapo si mahala pake.

Kumbuka ni nchi 2 hizi zinatunishiana misuli, na hakuna ambaye amekubali kuonekana mnyonge. Jitihada za mezani zinashindikana kwa sababu kila mtu ana nukta zake. Kufikia makubaliano ni ngumu kutokana na mambo jinsi yalivyo! Kilichobaki ni hakuna namna ni mmojawapo kulazimishwa kuyafuata matakwa ya mwenzake. Na hilo haliwezekani isipokuwa kwa mwenye nguvu kumtwanga haswaa anayepambana naye!
 
Una roho ya kikatili Sana mkuu
Mkuu "wiping out decision making centres" Ina maana ya to incapacitate decion making machinery" ya the Ukraine Army, not to kill people indiscrimatetely kama wanavyofanya Ukraine wakisaidiwa na US.

Kumbuka kwamba Urusi wana very precise missiles,so they can do it.Si unaona Urusi wanapo fire missiles zao,very few people, if any are killed.

Halafuu,wanayofanya Ukraine kuua na kula nyama za surrendering Russian soldiers ndio sio unyama.Infact Ukraine is now on record for being the most brutal and evil army in the World.
 
💥💥💥Zaluzhnyy reported to Zelenskyy on "the difficult situation near Bakhmut, due to constant rocket fire the AFU losses are quite high. The Russian army is trying to cut off the town's supply routes from the south and north, stepping up the onslaught and the number of strikes."
💥💥💥
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…