Morogoro kaskazini
JF-Expert Member
- Jul 5, 2020
- 2,560
- 9,690
Kwa hizi AD walizonazo Ukraine, ni sahihi kwa Urusi kutumia 'drone' za Waajemi, ndege zao ni kama vile zimepotea kabisa huenda wanaogopa kuangamiza marubani wao.Urusi marubani wake wengine wanaendesha ndege wakiwa wamevaa makoti ya kiraia i think hawana sare za angani wala oxygen masks kwenda juu zaidi maana uko medium range air defence systems za Ukraine zitawaona.
Tatizo gharama za 'training' ni kubwa mno, Urusi ni masikini jeuri tu...Ila hii Vita imewavua nguo.Russia haina coordination nzuri ya airstrikes, artillery na troops. Hata airforce yao haina uzoefu na combat missions, Urusi wako busy na kuendesha ndege kwenye maonesho na kwenye mazingira rafiki wakati NATO wanakuwa na mazoezi magumu yanayofanyika kwenye maeneo tofauti duniani kama Mediterranean sea, Marekani na maeneo ya Ulaya
Wao walipiga mabomu Xmass na New YearHimars hazina mapumziko....wale wa kule Makiiva ni mfano.
Maumivu yakizidi muone daktari [emoji23]24/7 umo humu. Akili zako zipo sawa kweli?
Mbona umepanic sana mkuu nini shida....Nilichogudundua hawa pro nato wa jf wana utoto na ukike japo sio wote na hii ndio maana wanamambo ya kishoga ...mwanaume hawezi kua mmbea mmbea ivo na haezi kueka shobo Zaid kuliko utu wake
Wakikusanyika tu pamoja kitu kizito kinawahusu.Washaanza kuomba pooView attachment 2470168
Kwa kifupi ni kwamba, Urusi 🇷🇺 haitaki mazungumzo,kwa sasa nikupambana tu.Comment na like zenu fupi fupi [emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]View attachment 2470003
Ati maamuzi hayakuwa Sawa,hivi unafuatilia chanzo hivi vita toka 2013?So far, Putin vita imemchachia,
Hanatena uwezo wa kuimaliza haraka kama alivyo sema.
Bila shaka mambo ni magumukwake na pengine anawaza maamuzi yake hayakuwa sawa.
Asante Sana...hata Mimi kwa moyo wa dhati nawapeni pole pro- Ukraine kwani Ukraine imekuwa ikipoteza Askari Kati ya 80 na 100 kwa siku...Hali ni mbaya Sana huko Frontline....Ulidhani nimekufa? [emoji3][emoji3] .Poleni kwa kupoteza askari wengi kwa usiku wa mwaka mpya.
Ni kweli Yale maamuzi hayakuwa sawa,, yangekuwa sawa asingesema tunaenda kufanya special military operation kama alivyodai .., badala yake angesema tunakwenda vitani..,Ile aliyoipa jina la special epereshen imegeuka vita ya muda mrefu..,Ati maamuzi hayakuwa Sawa,hivi unafuatilia chanzo hivi vita toka 2013?
MKUU PRO NATO HAWATAKI KUELEWA , VITA VILIPIGWANA MWAKA JANA KATI YA MWEZI WA 4 MPAKA WA 9 HIVI BAADA YA HAPO UKRAINE WALIPOTEZA ASKARI WENGI SANA TENA SANA.Asante Sana...hata Mimi kwa moyo wa dhati nawapeni pole pro- Ukraine kwani Ukraine imekuwa ikipoteza Askari Kati ya 80 na 100 kwa siku...Hali ni mbaya Sana huko Frontline....