Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Picha zako nimezipenda.., endelea kutuwekea zaidi na zaidi

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Kiitelijensia kutajiwa muda Kama hivyo Ni hatari. Anaandaliwa mjinga kurelax ama pia Ukraine wakichukulia uzito wajaribu kufanya offensive kwenye mda wa kurelax.
Nb.
Hizo Ni mbinu z kivita TU. Hakuna cease fire kirahisi hivyo
 
Urusi Ni maskini jeuri tu. Western propaganda zimemmeza kabisa mshikaji.eti wanavaa za kiraia bila kifaa cha oxygen.
 
Hio picha ya 5,6 na 7bni MRAP za USA , za shida tuu.
Waliambiwa wasizipeleke.
 
Watu walishamuandaa Ukraine kujitetea kwa muda wa miaka mitano then mitano mengine.
Hapo labda tuulize kuhusu pumzi ya mvamizi.
 
Kasoma Geolocation. Hata we unaweza kuloketi picha yoyote online
 
Urusi Ni maskini jeuri tu. Western propaganda zimemmeza kabisa mshikaji.eti wanavaa za kiraia bila kifaa cha oxygen.
Inawezekana mkuu, unakumbuka siku za mwanzo za uvamizi ndege za Urusi zilikuwa zinashambulia usiku ili kukwepa S-300 za Ukraine, tena haziruki umbali mrefu angani (huenda tatizo ilikuwa Oxygen )..

T14 Armata HIMARS
 
Hao alishawatandika sana hadi kanyakua ardhi. St. Peters ili kuwa sehemu ya Finland. Na sasa anapigana hao hao Poland na Finland na kaka zao kama 30 hizi akiwemo USA.
Huyu anadhani Russia Ni taifa kubwa kuanzia mwaka juzi au mwaka huu.
Hajui Kwamba Russia Ni great power kwa miaka nenda Rudi. Na hao akina Finland, Poland, Ukraine, Mongolia na hata Uchina wamekutana na nguvu ya expansion ya warusi kwa Karne na Karne zilizopita.
Hivyo basi Russia ya Leo Ni mbabe hata kabla ya miaka hii tunapoisoma na kuiona historia ya miaka ya karibuni.
 
Inawezekana mkuu, unakumbuka siku za mwanzo za uvamizi ndege za Urusi zilikuwa zinashambulia usiku ili kukwepa S-300 za Ukraine, tena haziruki umbali mrefu angani (huenda tatizo ilikuwa Oxygen )..

T14 Armata HIMARS
Ndege Vita kuruka kimo Cha chini kabisa Ni kwaajili ya kuepuka long range air defences system na sio kukosa oxygen.
Huwezi ukapaa na ndegevita bila kuwa na vifaa vya oxygen.
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]


Urusi sio Zimbambwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…