LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Itakuwa tu ileile ya Fidel castro tunakomaa lakini tunaumia. Putin katishia hivi vikwazo vikiendelea anaachia nyuklia. Kusema ukweli jamaa anaumia
 
Jamaa anazan watu wanaamka ndoton na kusema tu Ban bila ya kuangalia mbele
wangekuwa wanaangalia wasingekuwa wanatapatapa hovyo sasahivi hasa macron na scholz kila cku wanaenda kupatanisha mzozo wa urusi-ukraine...wangekuwa na plan b wangekuwa wameshatulia makwao wanafanya mambo mengine...mzee baba ndugu zako walikurupuka
 
Ukraine Airspace Update:

Russian Air Force losses over Ukraine thought to be "unsustainable." 121 Russian aircraft are estimated to have been shot down, with 25 airframe losses independently verified as of March 7th.

Sources:
  • rb.gy/ckeobl
  • rb.gy/sjzmy8
  • rb.gy/ieaekk


 
Mbambe ni mbambe tu, hawana namna ya kukataa, hadi venezuela amekubali naye, kwa hili likitekelezwa ipasavyo Putin atakuwa amepata pigo kubwa sana, japo na yeye amesema ikipigwa ban kwenye mafuta na yeye anazuia gesi kwa nchi za ulaya!!
venezuela na iran hawajakubali bado kuuza mafuta weka source hapa tuone
 
Mrusi ndo itamuumiza zaidi kwa sababu sio mrusi pekee anayezalisha mafuta,so nchi zingine zitafaidika zaidi pia kuuza...
Ndio najua .katka hawa donor wa mafuta,sio wote watamkubalia US.anyway si amesaini decree Leo ya zuio la kununua nishati kutoka Russia,picha halisi tutaiona baada ya wk 2 au 3.ma string sijui kajipangaje kwa haya yanayokuja kwenye wizara yake hapa tz
 
Itakuwa tu ileile ya Fidel castro tunakomaa lakini tunaumia. Putin katishia hivi vikwazo vikiendelea anaachia nyuklia. Kusema ukweli jamaa anaumia
jamaa kachafukwa kiukweli ,yaani ukweli ni kwamba Putin hayuko tayari kuona Russia yake inadidimizwa kinamna yeyote ile .Sasa sijui ata backup vipi hii impact ya zuio la bidhaa yake ya nishati.na naskia amehamisha makumi ya midege yake ya Vita ,ameipeleka Sudan imepaki pale na bado anaihamisha na midege mingine kuipeleka hukohuko Sudan ,huyu jamaa sijui ana plan gani aise .ila yy anadai ameipeleka Sudan ili kukabiliana kwa dharula yeyote itakayojitokeza
 
Sijajua hata huku jamii forum, Kuna watu wenye upeo mdogo hivi.
Soma mwenyewe halafu niambie kama umeelewa.
Unajizalilisha
 
We jamaa unajua hadi mipango ya miezi ijayo. Kwamba wao IRAN, na VENEZUELA hawajui kuwa watakuwa wanatumika katika huo mgogoro?.
 
Hakuna kitu kama hicho Venezuela aliwekewa vikwazo na marekani
 
IRAN hana mpango wakutengenza nyuklia na aliishalisema hili wewe ninani mpaka umlishie ama uwalishie maneno
all in all US anaanza kutapa tapa maana sasa yupo IRAN yupo VENEZUELA kutaka kuziba gape litaloachwa na RUSSIA
cjui kwa IRAN ila kwa VENEZUELA kule asahau nandio maana akataka kumpindua bwana yule kwaajili ya hii ishu imekula kwake kenge yule
 
Itakuwa tu ileile ya Fidel castro tunakomaa lakini tunaumia. Putin katishia hivi vikwazo vikiendelea anaachia nyuklia. Kusema ukweli jamaa anaumia
Putin ataumia kiutu uzima atagugumia jdani kwa ndani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…