Itakuwa tu ileile ya Fidel castro tunakomaa lakini tunaumia. Putin katishia hivi vikwazo vikiendelea anaachia nyuklia. Kusema ukweli jamaa anaumiawaliliona lkn ,imewabidi wakajipendekeza kwa maadui zao Iran,Syria ,Saudi Arabia ,maana hao hao malekani waliwawekeaga vikwazo vya kiuchumi,Sasa huu ndo muda wa hawa jamaa nao kupiga double standard [emoji1],hata hivyo haitatosha ,kum supless Russia kwenye volume ya mafuta aliyokuwa aki supply duniani.tushudie mafuta kupanda Bei zaidi !!