Axel Lloyd
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 4,170
- 9,502
Nadhani kwenye package zinazofuata Marekani watatuma nyingi zaidi maana wanazo maelfu,japo sijajua wanatuma version gani.Armoured vehicles 100 na IFV 50 zitasaidia kiasi chake. Kwanza naziamini Bradleys, ngoja ziingie kazini huwezi zilinganisha na kina BMP zile. Ingawa 50 ni chache ila uzuri kina France, Germany na UK wanatarajiwa watatuma za kwao. Germany ina mamia ya vifaa haiyatumii tena na yapo in good condition ni upgrade chache yanafanya kazi kama haya View attachment 2471802
Malengo ya Russia yakimia,naye ataondoka Ukraine!Malengo Yao yalitimia huko ndo maana wameondoka Afghanistan
Source malkauli kutoka Moscow.Asiye na akili ndo anaweza kusema hivyo Hilo halitatokea.hivi unajua marekani ameshazihamisha maabara zake zilizopo ukraine.kashaziondoa.marekani Hana ubavu wa kuweka base Ukraine.
Kwani ujuhi tafsiri ya Nato plus USA, wanamwogopa ndio sababu wakawa mashoga. Wamejikatia tamaa.Hivi kuna MTU anawasiwasi na superpower wa urusi?yaani unachangiwa na nchi 30 bado unaendelea kushinda na kushika maeneo ni mjinga tu ambaye anaweza kuwa na wasiwasi na superpower wa warusi.
Kweli mkuu,ataondoka Ukraine yote bila kusahau Crimea [emoji56][emoji56]Malengo ya Russia yakimia,naye ataondoka Ukraine!
Marekani na washirika wake, wamekuwa wakitoa vifaa kulingana na hatua ya vita na changamoto ya wakati huo, nimeona mahali wachambuzi wa vita wanasema haya magari vita ni mazuri sana kwenye trenches warfare ambayo ndio vita iko sasaArmoured vehicles 100 na IFV 50 zitasaidia kiasi chake. Kwanza naziamini Bradleys, ngoja ziingie kazini huwezi zilinganisha na kina BMP zile. Ingawa 50 ni chache ila uzuri kina France, Germany na UK wanatarajiwa watatuma za kwao. Germany ina mamia ya vifaa haiyatumii tena na yapo in good condition ni upgrade chache yanafanya kazi kama haya View attachment 2471802
FuatiliaSource malkauli kutoka Moscow.
Taiwan pekee ndio yenye land based launchers ila sidhani kama inaweza toa hizo. Sijajua Sea Sparrow watazitumia kwenye platform gani labda washapanga modification iweje si unakumbuka zile anti ship missiles walizomodify ziwe launched kutoka kwenye flatbed ya semi truckNadhani kwenye package zinazofuata Marekani watatuma nyingi zaidi maana wanazo maelfu,japo sijajua wanatuma version gani.
By the way umeona hiyo Sea based sea sparrow ant aircraft missile system, Ukraine si hawana Navy....itatumika kwenye nini au ndo washafanya modification za launchers iweze kurushwa nchi kavu!?
Crimea na Donbas sio UkraineKweli mkuu,ataondoka Ukraine yote bila kusahau Crimea [emoji56][emoji56]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ujerumani ndio inasitasita. Sasa Poland inaangalia uwezekano wa kutuma Leopard version ya zamani ila nadhani kwenye contract mpaka Ujerumani ikubali. Kwa kawaida Wajerumani wanasita kwanza, Marekani ikipeleka silaha fulani nao wanatuma.Marekani na washirika wake, wamekuwa wakitoa vifaa kulingana na hatua ya vita na changamoto ya wakati huo, nimeona mahali wachambuzi wa vita wanasema haya magari vita ni mazuri sana kwenye trenches warfare ambayo ndio vita iko sasa
Huoni hio Ni habari mbaya kwa Ukraine au ...maana jeshi likizid kuongezwa inamaana ukraine itazid kushambuliwa ...siku warusi wakigoma kwenda Ukraine hapo ndio mfuraiKuna mtu anakaribia Tangaza Mobilization ya wanajeshi 500,00
Baada ya kuingia Ukraine ni nini kilifuatia?Kwasasa nadhani Urusi ndio ameingia rasmi Ukraine... Chenchen wapo nyuma wanakuja
Nadhani kipindi hicho pro Russia wengi mlikuwa katika Hali ya kubalehe, maana mlikuwa na mihemko mno,Kichapo kinachotembea UKRAINE tuombe mungu tu. Ila Urusi ameamua kuingia mazima maana walisimamisha mashambulizi kwa sababu ya mazungumzo na UKRAINE hawakutokea. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji846] hiki kichapo ni mwamuzi ni MUNGU tu.
Age ya kubalehe ni mbaya kwa kweli [emoji848]Urusi inaweza kuchakaza dunia nzima ndani ya masaaa kadhaa.
Nadhani mpaka Sasa utakuwa umeshapata majibu ya hili swali,Kuna swali nimeuliza. Mtu anayepigwa na anayejua kua soon atamaliziwa halafu anayempiga anampa nafasi asimmalizie ila haitaki hiyo nafasi anataka kuendelea kupigana anakuwa anataka nini?
Wewe ulishangaa urusi kuchukua,siku 4 bado anapigana na Ukraine?? Unaelekea mwaka Sasa..,na dalili zilizopo ataenda Hadi miaka 5Urusi na team yao huku namtumbo hawaamini wanachokiona, walitegemea itakua nyepesi tu siku moja wamemkamata rais vita imeisha, wapi hahahaa wanaume wamesimama tambo za bure yani Ukraine anakuweka siku 4 unapambana tu halafu mnasema super power.
@jamiiforum ilikosea sana kuwasajiri vijana waliokuwa katika umri wa kubalehe..,ni vitu gani hivi mlikuwa mnaandika??endelea kutabiri MKUU ila nisuala lamuda tu kabla ya KIEV kua chini ya MOSCOW
Baada ya kuwapelekea moto wa kutosha walikubali kuingia kwenye meza ya mazungumzo??Jana waliachwa ili waingie mazungumzo wakapuuza leo urusi kasema watawapelekea moto mpaka wajute
Sawa,tusubiri Hilo ila tuwe wavumilivu maana yawezekana mpaka tunaingia kaburini Hilo halijatokea!Kweli mkuu,ataondoka Ukraine yote bila kusahau Crimea [emoji56][emoji56]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mpaka Sasa mgonjwa bado hajaparalize aisee [emoji848]Kama wanapost inamaana bado hawajadhibitiwa na Russia.
Mgonjwa akilia inaumaa daktari anafurahi anajua hajaparalise.