Uzur ni kuwa West wana wezo au kuiba zana za Russia kuliko Russia kupata za West.Ngoja tusubiri tuone maana Ukraine hawajawahi acha kutushangaza,kama waliweza ku Intergrate zile HARM missiles na old soviet jets sidhani kama hili litawashinda.
Uzur ni kuwa West wana wezo au kuiba zana za Russia kuliko Russia kupata za West.
Apewe mara ngapi[emoji23][emoji23][emoji23]Package nyingine hiyo kwa Ukraine. Bradley zinakuja miezi michache ijayo tusishangae kuona Ukraine inapewa vifaru hata vya zamaniView attachment 2471799
Kuna mahali nilisoma Ila sidhani kama doctrine Yao ndo ipo hivyo.Mpaka sasa sielewi doctrine ya Russia ikoje kwenye kutumia air force kushambulia kusafisha njia. Nilishaandika humu nashangaa hawakufanya SEAD
Ngoja tumuonyesheHahaha, we jamaa hii theory yko umetumia nini kufikiria[emoji1787][emoji1787][emoji1787], wabongo[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Uzur ni kuwa West wana wezo au kuiba zana za Russia kuliko Russia kupata za West.
Vifaru alivyopewa ni vya enzi ya Usovieti kina T-72 na wenzake. West bado hawajampa vifaru vyao.Apewe mara ngapi[emoji23][emoji23][emoji23]
Package nyingine hiyo kwa Ukraine. Bradley zinakuja miezi michache ijayo tusishangae kuona Ukraine inapewa vifaru hata vya zamaniView attachment 2471799
Sure U.s miak ya 1990s walinunua ndege za 27 aina ua mi29 kutoka Romania.pia mifumo S300.Hahaha, we jamaa hii theory yko umetumia nini kufikiria[emoji1787][emoji1787][emoji1787], wabongo[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Hiyo S-400 ni overrated san maan naona hata putin ana sifia s300Kuna mahali nilisoma Ila sidhani kama doctrine Yao ndo ipo hivyo.
Walikua wakisema doctrine ya Urusi ni kutumia long range air defenses (mf:S400) kuzilinda ndege ambazo zinaenda kushambulia,kwamba mkiishambulia ndege Makombora yenu yanadakwa na air defenses wakati huohuo ndege zinarusha Makombora mazito dhidi yenu.
Sasa kwenye hii vita sijaona hilo likifanyika,bado sielewi.
Izo kukopi sio leo wala kesho maana tukianza na simiconductor au processor lazima akamwone Taiwain au sumsung ambao na maswahiba wa U.s.Nato weapons
Bloodthirsty impostersBado haijathibitishwa kwamba Taifa teule la Israel ambalo Mungu alimwahidi baraka Ibrahim, Isaka na Yakobo ndilo hili.
Mkuu HIZO MRAP bado tuu WANATAKA kuzipelekaPackage nyingine hiyo kwa Ukraine. Bradley zinakuja miezi michache ijayo tusishangae kuona Ukraine inapewa vifaru hata vya zamaniView attachment 2471799
Hii video uliyoleta ni ya miezi 8 iliyopita kipindi hicho Ukraine iko hoi bin taabani hata kushambulia haiwezi.Nato weapons
Mkuu nimejibu swala la jamaa hapo juu, alisema URUSI HAWAWEZI kakamata siraha za NATO, ndo mimi nikamuonyesha mkuu.Hii video uliyoleta ni ya miezi 8 iliyopita kipindi hicho Ukraine iko hoi bin taabani hata kushambulia haiwezi.
Halafu hapo hizo ATGM kama hizo NLAWS wamedaka launchers Tu,sababu hizo ant tank ukisharusha missile yako hilo li-launcher halina umuhimu sana unaweza kulitupa tu,japo ukipata ant tank missile nyingine unaweza itumia tena.Shida inakuja unapata wapi missile nyingine wakati NLAWS zilizopelekwa uko zilipelekwa kila launchers ikiwa na missile yake moja!!!!
Video yako hii hapa,Miezi 8 iliyopita.