Axel Lloyd
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 4,170
- 9,502
Hiyo ndio kazi ya MRAP kulinda Askari,ikikutana na landmine gari linaweza haribika kabisa lkn wanajeshi wote wapo salama. MRAP moja inabeba mpk wanajeshi 12,imagine kupoteza wanajeshi 12 kwa landmine moja!!!!!!!!Mkuu HIZO MRAP bado tuu WANATAKA kuzipelekaView attachment 2472116
Maana za MARA ya kwanza zilizoenda sizioni tena
View attachment 2472117View attachment 2472118View attachment 2472119
Ila sio mbaya wazipeleke kwa sababu zitasaidia kulinda askari
OKAY! Samahani Mkuu sikuelewa[emoji120]Mkuu nimejibu swala la jamaa hapo juu, alisema URUSI HAWAWEZI kakamata siraha za NATO, ndo mimi nikamuonyesha mkuu.
Hatajazungumza swala la mda.
Ishu wameziteka zipo nyingi.
Kuna mtu juzi alipost russia wamekamata vifaa vya kigerumani juzi.
Hizi ndo kazi ya hizo armoured vehicles,unaona hapo zipo under heavy artillery fire lkn bado zinatembea kwenda kufanya mashambulizi. Hapa ilikua wakati wa counter offensive ya Kherson.Mkuu HIZO MRAP bado tuu WANATAKA kuzipelekaView attachment 2472116
Maana za MARA ya kwanza zilizoenda sizioni tena
View attachment 2472117View attachment 2472118View attachment 2472119
Ila sio mbaya wazipeleke kwa sababu zitasaidia kulinda askari
MKUU ngoja nikuambie kitu jeshi la Ukraine, limepata Mafunzo kutoka NATO na USA tangu mda sana , tangu mgogoro vinaanza mwaka 2014. WALIPEWA mbinu nyingi sana na NATO na USA na jeshi la Ukraine wapo full equipment hata tangu vita havijaanza.Hii video uliyoleta ni ya miezi 8 iliyopita kipindi hicho Ukraine iko hoi bin taabani hata kushambulia haiwezi.
Halafu hapo hizo ATGM kama hizo NLAWS wamedaka launchers Tu,sababu hizo ant tank ukisharusha missile yako hilo li-launcher halina umuhimu sana unaweza kulitupa tu,japo ukipata ant tank missile nyingine unaweza itumia tena.Shida inakuja unapata wapi missile nyingine wakati NLAWS zilizopelekwa uko zilipelekwa kila launchers ikiwa na missile yake moja!!!!
Video yako hii hapa,Miezi 8 iliyopita.
Mkuu hilo linajulikana wazi,lakini wakati huo wote Ukraine hawakupewa offensive weapons kama Artillery au rocket systems wamekuja kupewa hivi juzijuzi tu baada ya jamaa kuvamia. Wakati huo wote walipewa silaha za kujilinda ndogondogo kama Ant tank missile na short range ant aircraft kama Stingers,nk.MKUU ngoja nikuambie kitu jeshi la Ukraine, limepata Mafunzo kutoka NATO na USA tangu mda sana , tangu mgogoro vinaanza mwaka 2014. WALIPEWA mbinu nyingi sana na NATO na USA na jeshi la Ukraine wapo full equipment hata tangu vita havijaanza.
Tena wanavaa mpaka dody armor.
Nato na USA waliowapa mafunzo ni watu wenye uzoefu waliopigana vita iraq, Afghanistan, Syria na kwengine.
Ndio waliokuwa wanawafundisha Ukraine tangu mda sana na mafunzo yalianza tangu mwishoni mwa 2014.
Waliwafundisha urban warfare na tactics nyingi sana , na walikuwa full equipment.
Kwa vifaa vilivyoaribu tanks na vifaa vingine vya URUSI vilitoka wapi si NATO.
Jeshi la Ukraine WALIPEWA mafunzo ya kutosha kabisa mkuu. Sijui unajua hilo.
NATO NA USA WALIJUA SIKU ITAKUJA URUSI ATAVAMIA TUU. WALIJIPANGA TANGU ZAMANI.
[emoji23][emoji23][emoji23] ila we jamaa unachekesha sana.hata ilo linaitaji elimu kweli.Hizo HIMARS zake anazotolea taarifa wamelipua Warusi wakijumlisha zinafika 27, wakati Marekani imetuma 20 tu hadi sasa. Hata Bayraktar alitwambia idadi waliyoharibu ikawa kubwa mpaka Baykar wenyewe wakaja kukanusha hawajawahi kuuza idadi yote hiyo kwa Ukraine. Sijui wanapiga in advance
Dmitry Peskov msemaji wa Putin huwa anajifanya kuna kitu hajui, ukimpiga swali la ghafla anakana hicho kitu hajawahi sikia au anajifanya mzembe anadai hajafatilia
Soledar remains under the control of the Defense Forces of Ukraine, - the Deputy of the Verkhovna Rada Committee on National Security, Defense and Intelligence Yurii MysiahinMna habari kwamba Soledar umeenda?
#BREAKING
#Soledar is practically liberated. the only Ukrainian troops present are hiding inside underground mine tunnels.
They will starve if they dont come out soon.
The end is near
#Ukraine #NATORussiaWar
Soledar remains under the control of the Defense Forces of Ukraine, - the Deputy of the Verkhovna Rada Committee on National Security, Defense and Intelligence Yurii Mysiahin
Ndio 😀Nadhani mpaka Sasa utakuwa umeshapata majibu ya hili swali,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Wanasema airforce yao ni kama extension ya artillery, marubani wao hutegemea Sana kupewa coordinate location za kushambulia na askari wao waliopo ardhini na hili huwa tatizo na ni rahisi sana kukosea pale target inapohama.......haiwezi kabisa kutrack target na kushambulia peke yake (independently) kama ilivyo kwa US au nchi nyingine za NATO.Mpaka sasa sielewi doctrine ya Russia ikoje kwenye kutumia air force kushambulia kusafisha njia. Nilishaandika humu nashangaa hawakufanya SEAD
Na ndo maana nimekuambia wazipeleke coz itawalinda askari.Hiyo ndio kazi ya MRAP kulinda Askari,ikikutana na landmine gari linaweza haribika kabisa lkn wanajeshi wote wapo salama. MRAP moja inabeba mpk wanajeshi 12,imagine kupoteza wanajeshi 12 kwa landmine moja!!!!!!!!
Hizo zilizoharibika hapo hua zinavutwa zinaenda kutumika kama spare kwa zile ambazo bado ni nzima.
7 years agoMkuu hilo linajulikana wazi,lakini wakati huo wote Ukraine hawakupewa offensive weapons kama Artillery au rocket systems wamekuja kupewa hivi juzijuzi tu baada ya jamaa kuvamia. Wakati huo wote walipewa silaha za kujilinda ndogondogo kama Ant tank missile na short range ant aircraft kama Stingers,nk.
Kama ni silaha hata Ukraine walishakamata silaha nyingi Sana za Urusi
Soma description kwenye video yako, wameandika kabisa "non-lethal equipments".7 years ago
Angalia wamarekani WALIANZISHA kumimina siraha tangu 7 years ago bro,
HIZO siraha walifundishwa namna ya kutumia tangu siku nyingi sana bro. We unafikili siraha unampa mtu leo kesho wanaitumia mkuu