Moronight walker
JF-Expert Member
- Aug 3, 2021
- 3,103
- 4,724
Mkuu usitake kukwepa , nimeshakuambia hapo juu.Soma description kwenye video yako, wameandika kabisa "non-lethal equipments".View attachment 2472213
Mkuu kama hautaiona hiyo sehemu ya kukamatwa kwa vifaa vya USA vya mawasiliano na waasi wa Donbass.Soma description kwenye video yako, wameandika kabisa "non-lethal equipments".View attachment 2472213
Nimekwepa wapi Bro,wakati wa utawala wa Obama Ukraine ilikua ikipewa "non-lethal equipments" na hii ni kwa mujibu wa video uliyoleta. Obama alikua akiogopa kwamba akiipa Ukraine silaha Kali atachochea mgogoro zaidi. Walikua wakipewa mafunzo na nchi za west lakini walikua hawapewi lethal weapons kama ilivyo sasa.Mkuu usitake kukwepa , nimeshakuambia hapo juu.
Jeshi la Ukraine limepokea misaada tuu mingi tangu zamani, nilikuwa nataka kukuonyesha issue ya USA kuisaidia Ukraine ilianzia tangu 7 years ago ,
Iyo ni moja ya USHAHIDI.
Angalia vizuri video utaona hata mitambo ya mawasiliano walikuwa wanapeleka na inadakwa.
Axei Lloyd hajuiMna habari kwamba Soledar umeenda?
#BREAKING
#Soledar is practically liberated. the only Ukrainian troops present are hiding inside underground mine tunnels.
They will starve if they dont come out soon.
The end is near
#Ukraine #NATORussiaWar
Mitambo gani hiyo bro?! Hizo ni body armour,zinasaidia kujilinda na vitu kama risasi,nk...hakuna mtambo wowote hapo.Angalia hii 3 years ago Ukraine wanatengeza body amor zipo advanced sana tuu.
Hiyo ni 3 years ago tena mitambo walitoa german.
Ukraine kusaidiwa imeanza mda sana mkuu.
Iyo video juu ya usa nakuonyesha tuu kusaidiwa ilianzia 7 years sio juzi hapa.
Soledar umeenda kwa mujibu wa Nani?! Jana nilimwambia ndugu yenu Mohamed Idrisa kwamba hapo Bakhmut Ngoma bado mbichi sanaaa watadundana mpk atakaeona anapoteza Sana aamue kusalimu amri la sivyo utashangaa tunafika mpk June lkn Bakhmut bado kupo vile IleAxei Lloyd hajui
Hii salt factory Jana ilikamatwa na Wagner,Leo imerudi chini ya UkraineAxei Lloyd hajui
Hivyo T 72 alivyopewa vimeenda wapi?! Jibu: vimebomolewa. Nyie pro-NATO mnajitoa Sana ufahamu...mnasifu misaada anayopewa Ukraine...ila hamujiulizi ile ya awali imekwenda wapi...Russia ilijipanga kwa Vita hivi na ndiyo maana Yule maana Stolberg, Secretary General wa NATO 'analia' Kila siku kuhusu umuhimu wa West kuongeza misaada...Vifaru alivyopewa ni vya enzi ya Usovieti kina T-72 na wenzake. West bado hawajampa vifaru vyao.
KHAAA JAMANI KWANI URUSI WALIVYOKUWA ANASAIDIA WAASI WA DONBASS TANGU 2014 MPAKA MWANZONI MWA MWAKA JANA.Mitambo gani hiyo bro?! Hizo ni body armour,zinasaidia kujilinda na vitu kama risasi,nk...hakuna mtambo wowote hapo.
Leta video ambayo inaonyesha Ukraine ikipewa lethal weapons kama Artillery systems, rocket systems kabla ya tishio la hii vita!!!!
Hio tangu awali nimekuambia kuwa Ukraine jeshi Lao lipo equipped na pamoja ba kuwa body amor mzuri zipo mpaka za shingoni na ni mxuri sana hizo.Mitambo gani hiyo bro?! Hizo ni body armour,zinasaidia kujilinda na vitu kama risasi,nk...hakuna mtambo wowote hapo
Huu ni moja ya mzigo uliowafanya warusi wakimbie Snake island maana walikua wakichezea artillery si mchezoJAMANI HZI 155MM Caesar howitzer ziliishiaga wapi maana sizisikii sasa hivi
View attachment 2472112
Maana mzigo ulisifiwa sana inatuambia shell kama 42km hivi, sijui zipo wapi now sizisikii
KWANI zipo bado?Huu ni moja ya mzigo uliowafanya warusi wakimbie Snake island maana walikua wakichezea artillery si mchezo
Majibu wanayo warusiKWANI zipo bado?
Kwa hiyo?!!!?! Ila lipo Jambo moja napenda kukusifu, unatumia muda mwingi Sana kwenye uzi huu na kupost comment ...dah...aise wewe ni pro west kindakindaki....bila Shaka ' taasisi' zao have recognized you.Soledar umeenda kwa mujibu wa Nani?! Jana nilimwambia ndugu yenu Mohamed Idrisa kwamba hapo Bakhmut Ngoma bado mbichi sanaaa watadundana mpk atakaeona anapoteza Sana aamue kusalimu amri la sivyo utashangaa tunafika mpk June lkn Bakhmut bado kupo vile Ile
Journalist Yury Butusov sends a message this morning from the Salt mine in Soledar, where a group of PMC Wagner mercenaries reportedly broke into yesterday. Apparently the AFU counterattacked overnight. He mentioned the newly created 46th brigade now defends the city.
View attachment 2472231
Ingiza hizi coordinates kwa Geo lacator km Una mashaka yoyote
Coordinates:
48°41'39.62"N, 38° 3'29.28"E
YANI ANATOA ANALYSIS ZA KWAKE JAMAA DAAKwa hiyo?!!!?! Ila lipo Jambo moja napenda kukusifu, unatumia muda mwingi Sana kwenye uzi huu na kupost comment ...dah...aise wewe ni pro west kindakindaki....bila Shaka ' taasisi' zao have recognized you.