Moronight walker
JF-Expert Member
- Aug 3, 2021
- 3,103
- 4,724
Au sio , basi tuwaachie wenyewe.Majibu wanayo warusi
Kazi yangu kuwaonyesha matomaso ushahidi.Hahaha, we jamaa hii theory yko umetumia nini kufikiria[emoji1787][emoji1787][emoji1787], wabongo[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
WapiNaangalia documentary hio kwa sasa.
Na wewe si unatoa za kwako? Hili ni jukwaa huruYANI ANATOA ANALYSIS ZA KWAKE JAMAA DAA
Hiyo safari ya kufika Kiev bado tu?? Pro Russia mna mihemko sanayule comedian nisuala la muda tu wanaompa kibri waandae utetezi wakuja kumtetea baada ya sisi kufikia KIEV
Huyo siyo mwenzako.. yuko kwenye 'mikono' salama ya 'taasisi' za west...wewe angalia 'anavyojituma' kwa post zake..KHAAA JAMANI KWANI URUSI WALIVYOKUWA ANASAIDIA WAASI WA DONBASS TANGU 2014 MPAKA MWANZONI MWA MWAKA JANA.
KWANI NIKIKWAMBIA USHAHIDI WA VIDEO UNAO AU UPO.
AU TUNAVYOSEMA ISLAMIX STATE WAMEANZISHA USA NA ISRAEL KWANI USHAHIDI WA VIDEO WAKIWA WANAANZISHA UPO.
AU TUNAPOSEMA OSAMA BINLANDEN KAFUNDISHWA NA USA KWANI USHAHIDI WA VIDEO UPO.
AU TUNAPOSEMA USA GVN WALIANGUSHA MGOROFA MAWILI YA WORLD TRADING CENTRE KWANI USHAHIDI WA VIDEO UPO MKUU.
DAAA NASHIDWA KUKUELEWA ,
ILA SHIDA NI UBISHI TUU.
ITS KUMBE WEWE NI PRO NATO.
Mihemko ni kitu kibaya sana, wengine bila aibu bado wanaendeleza hii mihemko,Retreat za Ukraine huzioni? Saizi wote wamesogezwa kwenye kibangara kimoja kama mngejua kamji hako kanapigiwa final decision msingekuwa mnajitutumua hapa. Kyiev is circled by Russia forces while uncertainty of exploitation wandering in Ukrainian's mind. Mashaka yamejaa hadi kwenye chupi,matumbo tanasokota,msongo wa mawazo ya kifo yametawala,watoto wameliaaaaaaa hadi ndefu za mchozi zimejitengeneza. Mmeniamsha sasa yaani ukraine ana banabana mzigo? Subirini sasa this is a revenge on behalf of american people and his dogs who barking days and nights Mhaza faka
[emoji28]wewe ndio unapindua maneno nakama utaona koment yangu nimetaja muda wakuitwaa KIEV unitag usisahau na acc no yako
ila msemo wamgu KIEV nisuala lamuda tuu namaendeleo yaliofikiwa na RUSSIA kwenye hio vita ikiwa hata week bado sio mabaya nisuala la wakati tuuu
Kama wewe ulivyo katika mikono salama ya wavamizi [emoji57]Huyo siyo mwenzako.. yuko kwenye 'mikono' salama ya 'taasisi' za west...wewe angalia 'anavyojituma' kwa post zake..
Experts walikufa mwezi February hadi MarchKama walishindwa kumiliki airspace ya Ukraine Kati ya February -April bhas Kwa sasa ndo haiwezekani tena maana kila siku Mjomba anazidi kuimarika.
Hata zile Shaheed zao kwa sasa hazina ufanisi ule wa mwanzo maana zinashushwa kama kumbikumbi.
Urusi wana ndege nzuri Ila nadhani mafunzo kwa marubani ndio yanawaangusha. Kwa wastani marubani wa NATO wanapata 200 flight hours Kwa mwaka (kwenye training) wakati wale wa Urusi ni 100 flight hours Kwa mwaka.
Wewe nadhani unajitolea tu....ila karibu Vladi..mwisho wa reli na makao makuu ya Pacific fleetππKama wewe ulivyo katika mikono salama ya wavamizi [emoji57]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kwenye PCWapi
Hahahaha mbona Povu sasa Kaka!!!![emoji23][emoji23][emoji23]Kwa hiyo?!!!?! Ila lipo Jambo moja napenda kukusifu, unatumia muda mwingi Sana kwenye uzi huu na kupost comment ...dah...aise wewe ni pro west kindakindaki....bila Shaka ' taasisi' zao have recognized you.
Ok tuone maana kama NATO na USA wamewafundisha Ukraine tangu 2014 mpaka leo afu hakuna kitu wataweza kweli na vifaa hivyo.Na hii vita ya Ukraine zimetekwa electronic warfare systems zimebebwa na NATO watasoma uko. Ile tactical retreat imeacha silaha nyingi wakabeba
Hizo zimetumika Afghanstan kumtimua RussiaIzo kukopi sio leo wala kesho maana tukianza na simiconductor au processor lazima akamwone Taiwain au sumsung ambao na maswahiba wa U.s.
Hahahaha kwahiyo ndege waliichukua wakaisoma baada ya kumaliza wakamrudishia Mrusi na kumtoza ela ya transport juu[emoji23][emoji23][emoji23]Kazi yangu kuwaonyesha matomaso ushahidi.
Hii hapa Mil-24 Hind helicopter Marekani ilichukua Chad baada ya vikosi vya Muamar Ghaddafi kuvamia na kupigwa uko miaka ya 1970s, iliyobeba ni Chinook ya MarekaniView attachment 2472293
Huyu Victor Berenko alipangwa na CIA akatimua mbio hadi Japan kisha Wamarekani wakaenda uko kusoma ile ndege Warusi walikuwa wanatisha nayo kumbe kubwa jinga, after this incident ndio Warusi wakalazimika kuunda interceptor nyingine Mig-31 FoxhoundView attachment 2472294
Huyu alitorokea Uturuki na jetView attachment 2472295
Na hii vita ya Ukraine zimetekwa electronic warfare systems zimebebwa na NATO watasoma uko. Ile tactical retreat imeacha silaha nyingi wakabeba