Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,484
- 40,858
Kwani ww umeuliza niniWalianza kupost nini ebu weka wazi
Alisikika Mwanamgambo wa Ukraine toka Mwananyamala kwa mama ZakariaAljazeela na France international wanajitaid sana kubance lakini hiyo habari siioni uko..,kwa ufupi ni kwamba urusi Bado anatafta kwa nguvu dawa ya kuponya maumivu ya kile kipondo Cha makiivka,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Habari kubwa kama hiyo haiwezi kukosa kutangazwa na chombo chochote kikubwa Cha habari.., ninachokiona hapa ni kwamba Urusi anapiga punyeto ya vitaUnauhakika huwa wanabalance?
Acheni mastarbationMore than 600 Ukrainian troops KILLED!
More than 600 Ukrainian troops killed in ‘retaliation operation’ – Moscow
More than 600 Ukrainian troops were eliminated in a Russian “retaliation operation” in Kramatorsk, the Defense Ministry has saidwww.rt.com
Subiri baada ya masaa 2 BBC. Tuna wazika
Jaribu kutumia Akili. Kusoma ni chanzo cha maarifa. Fungua Link. Ni reliable sourcePro russia kwa kujitekenya na kucheka hawajambo asee.
Tupeni ushahidi hata wa picha tu wakuu achana na video ili tuwaamini.
Nyie mlileta hata picha mlivyosema warusi 400 wameuawa?Pro russia kwa kujitekenya na kucheka hawajambo asee.
Tupeni ushahidi hata wa picha tu wakuu achana na video ili tuwaamini.
Alishashindwa hili toka siku za mwanzo za uvamizi wakati Ukraine ana man pad chache,S-200 na S-300 tu.Russia kushindwa kucontrol anga la Ukraine Ni kwasababu ya activation ya mifumo ya Ulinzi wa anga iliyoongezeka hasa kwa misaada ya west.
Huu ndio udhaifu wa 'Russia airforce' maana walishindwa kuchukua udhibiti wa anga kwa mpinzani dhaifu kwake...Ndege Kama su 35 Ni nadra kutumika huko japo Mara kadhaa zimetumika Happ nyuma kwasababu Ukraine Haina competitive airforce dhidi ya Russia, hivyo basi air to air competition itatokea dhidi ya Nani?
Su 35 dhidi ya block A mig 29?
Dhidi ya su 27 ub?
Why isiwe ndani ya Ukraine ? ...ina maana anga la Ukraine sio salama tena kwa ndege na helicopter zao.Bomber's zikiwa inside Russia
Hii umeamini kwakuwa ilivyoandikwa imeuwaa wanajeshi wa Ukraine lakni kama hiyo ikiandikwa kwamba urusi imepoteza wanajeshi ni uongo (propanda).Front line sasaView attachment 2473635
S 200/300 ni mifumo ya magharibi?nafuu unyamaze tuAlishashindwa hili toka siku za mwanzo za uvamizi wakati Ukraine ana man pad chache,S-200 na S-300 tu, hii mifumo ya kimagharibi ndio imeifanya Russia kutegemea zaidi drone na missiles.
Huu ndio udhaifu wa 'Russia airforce' maana walishindwa kuchukua udhibiti wa anga kwa mpinzani dhaifu kwake...
Why isiwe ndani ya Ukraine ? ...ina maana anga la Ukraine sio salama tena kwa ndege na helicopter zao.
Hivi Vita vimegeuka stalemate kwa Urusi maana hawezi tena kusonga mbele zaidi ya alipofikia sababu hana air superiority, tuongoje counter offensive za Ukraine miezi ijayo tuone kama Urusi ataweza kuzuia kama hana airforce nzuri.
T14 Armata Axel Lloyd
Ukraine haiwezi kukiri hata kama ni kweli, kama inatuambia kuwa imepoteza wanajeshi 10,000 tu tangu vita ianze.Tena Ile walianza kupost warusi wenyeweee kwenye Telegram channels zao.
Mbona inajulikana hata warusi wanapoteza Maisha na namba zikatolewa na jeshi la urusi.Hii umeamini kwakuwa ilivyoandikwa imeuwaa wanajeshi wa Ukraine lakni kama hiyo ikiandikwa kwamba urusi imepoteza wanajeshi ni uongo (propanda).
Inavyoonesha mwaka huu Ukraine atapewa Fighters na USHizo bomber zinashambulia kutokea Urusi ?..ina maana hawana udhibiti tena wa anga la Ukraine, imekuaje nchi yenye ndege Vita zinazofika 1000 kushindwa kudhibiti anga la adui ?..
..kukosa udhibiti wa anga ndio kumeigharimu pakubwa Urusi mpaka sasa hata kushindwa kuzuia ile counter offensive ya Ukraine kule Kherson au kufanya advance nzuri.
Jamaa kaka mkao wa kunyanduliwa.[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Mwanamgambo wa Ukraine akitoroka mapigano na toroli lake huko Bakhnut baada ya Russia kushusha mvua ya motoView attachment 2473816
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Acheni ubabaishajiSubiri baada ya masaa 2 BBC. Tuna wazika
Hata hivyo Pro-Russia wenzangu munajitahidi kutoa elimu stahiki kwa Pro-NATO. Fikiria uwezo wa mtu anae beza fact ya uwezo wa RUSSIA (taifa moja) linalo pigana na mataifa zaidi ya 30 yenye nguvu duniani. Lakini muna ng'ang'ana as if wana hoja!Mmebakiza vita ya kwenye makaratasi ila uwanjani hamna mnachofanya.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635].
Mataifa zaidi ya 60 zidi ya mwanaume mmoja.