Namba gani wanazotoa na kila kitu kama hakijatangazwa ni Ukraine hawatangazi kwasababu wanaona aibu, nyinyi mnakuja mbio nakusema nonsense.Mbona inajulikana hata warusi wanapoteza Maisha na namba zikatolewa na jeshi la urusi.
Kwani Russia si alisema kapoteza wanajeshi 6,000 tu tangu vita ianze mpk mwezi September.Ukraine haiwezi kukiri hata kama ni kweli, kama inatuambia kuwa imepoteza wanajeshi 10,000 tu tangu vita ianze.
Hukuelewa....S 200/300 ni mifumo ya magharibi?nafuu unyamaze tu
Hahahaha nimepata picha ya hilo jengo wanalodai wameua wanajeshi 600 wa Ukraine,Kwanza likombora lao limeenda off target limepiga Nje. Sasa sijui hao wanajeshi 600 waliuliwa na moshi WA kombora [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pro russia kwa kujitekenya na kucheka hawajambo asee.
Tupeni ushahidi hata wa picha tu wakuu achana na video ili tuwaamini.
Si tulikubaliana kwamba atakayeingilia operation maalum ya kijeshi kuwaondoa wanazimamboleo atakiona Cha moto??Hata hivyo Pro-Russia wenzangu munajitahidi kutoa elimu stahiki kwa Pro-NATO. Fikiria uwezo wa mtu anae beza fact ya uwezo wa RUSSIA (taifa moja) linalo pigana na mataifa zaidi ya 30 yenye nguvu duniani. Lakini muna ng'ang'ana as if wana hoja!
Ni zaidi ya 600 MkuuWamefyekwa 600 na idadi inahofiwa kuongezeka na vikosi vya urusi vinasonga mbele kwa kasi
Hakuna silaha yoyote ile itakayoiokoa Ukraine....ukifuatilia comments za NATO utajua kabisa Ukraine iko taabani kijeshi na kiuchumi....hivi.sasa Ukraine imepoteza uwezo wake kijeshi na kiuchumi....it is living on handouts from the West...Inavyoonesha mwaka huu Ukraine atapewa Fighters na US
Hata tukio la juzi la wanajeshi wa Urusi kuuawa lilitangazwa na vyombo vya habari baada ya Urusi kudhibitisha kuwa ni kweli wanajeshi wake wameuawa kitu ambacho Ukraine haiwezi kufanya hata siku moja.Kwani Russia si alisema kapoteza wanajeshi 6,000 tu tangu vita ianze mpk mwezi September.
Kwahiyo huko hamna hata kapicha Ka uongo na kweli tuone hilo jengo lililokua na hao wanajeshi 600 wa Ukraine!!!!
Russia anajaribu kila aina ya propaganda ili kujaribu kutuliza hasira za wananchi wake wanaotaka makamanda )waliohusika kurundika wale wanajeshi 600 tena wakiwa juu ya ammunitions) wachukuliwe hatua,wengine wanataka hao makamanda wanyongwe.
Kwahiyo mpaka sasa tukio kubwa kama hilo limetangazwa na RT Tu,hata media za China na Uturuki hamna hiyo habari!?[emoji16]
Waliyataka wenyewe hao Neo Nazi, sema Bahati mbaya Kuna raia waliolazimishwa kushika bunduki upande wa hawa Nazi.Breaking newzView attachment 2473618
Kwani Urusi 🇷🇺 imesema walikuwa kwenye Jengo?Ni zaidi ya 600 MkuuView attachment 2473896View attachment 2473899
Ni kauli kutoka kwa mtu mhuni na a mentally deranged person..kujitekenya ndiyo Nini?! Watu wanakufa huko halafu wewe unasema eti watu wanajichekesha na kujitekenya?! What is the meaning of that?! Wewe unadhani wote humu wako kama wewe na wenzio wachache mliobobea kuleta habari za uzushi?! Iwe no kwa Askari wa Ukraine au Russia mtu makini hawezi kufurahia vifo vya Askari 600..Naona mnajitekenya na kucheka mwenyewe [emoji28]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Sawa tunasubiri na hili litangazwe na vyombo vya habari,maana local channels pamoja na waandishi wa habari wa kujitegemea wameshatembelea eneo la tukioHata tukio la juzi la wanajeshi wa Urusi kuuawa lilitangazwa na vyombo vya habari baada ya Urusi kudhibitisha kuwa ni kweli wanajeshi wake wameuawa kitu ambacho Ukraine haiwezi kufanya hata siku moja.
Amekuwa akidanganya na kupika data ila wafadhili wake huwa wanamuumbua.
Kumbe walikua Nje ya jengo[emoji23][emoji23][emoji23] bhas sawaKwani Urusi [emoji635] imesema walikuwa kwenye Jengo?
Yote ni mihemko ya kujiona wanajua nakuwa na akili nyingi kama putini.Hukuelewa....
"Niliandika Ukraine ilikuwa na S-200 na S-300 ila mifumo ya kimagharibi imeifanya Russia kutegemea zaidi drone na missiles"...hiyo sentensi imekushinda kuelewa?
Ukraine denies Moscow claim it killed 600 soldiersHata tukio la juzi la wanajeshi wa Urusi kuuawa lilitangazwa na vyombo vya habari baada ya Urusi kudhibitisha kuwa ni kweli wanajeshi wake wameuawa kitu ambacho Ukraine haiwezi kufanya hata siku moja.
Amekuwa akidanganya na kupika data ila wafadhili wake huwa wanamuumbua.
Hawawezi kukubali.Ukraine denies Moscow claim it killed 600 soldiers
Ukraine has labelled a Russian claim that hundreds of Ukrainian soldiers were killed in an attack "propaganda".
Moscow claimed, without providing any evidence, that a "mass missile strike" in the eastern city of Kramatorsk had killed more than 600 Ukrainian forces.
It said it was in retaliation for a Ukrainian attack on a Russian base that killed dozens of Russian soldiers on New Year's Day.
But the Ukrainian military says this is untrue.
"This is another piece of Russian propaganda," Serhiy Cherevaty, a spokesman for the Ukrainian army, told the BBC.
Ukraine denies Moscow claim it killed 600 soldiers