Omary - Msamalia
JF-Expert Member
- Jan 19, 2020
- 2,077
- 4,525
Context.Kwa hiyo unataka kusema hypersonic missiles ni nadharia tu lkn kwenye uhalisia haiwezekani!?
Hebu funguka kdg mkuu ututoe tongotongo
Hypersonic missiles zimetumika na dunia nzima imeshuhudia leo wewe unasema by laws of physics hazimake sense? Au kwa sababu majaribio ya hypersonic za US zilikua zinafeli hivyo hutaki kukubali kwamba zipo na zinawork?Kuhusu Hypersonic missiles, by laws of Physics silaha za Hypersonic bado hazimake sense, due to current technology in material physics, hata Russia silaha walizotumia Ukraine ni trial.
Hypersonic speed ni mach 5 and above (1 mach ni equal na speed of sound), Kwa hii Kinetic Energy + friction (inayotokana na air resistance) Hypersonic missiles haziwezi kumaintain speed ya mach 5 kuanzia launching stage, mid course na terminal stage otherwise those missiles zita melt, Russia hutawasikia tena wanaleta sound za kutumia High precision weapon
Technically wamechukua ICBM wakaweka kwenye ndege wakaita Hypersonic
Kuhusu Hypersonic missiles, by laws of Physics silaha za Hypersonic bado hazimake sense, due to current technology in material physics, hata Russia silaha walizotumia Ukraine ni trial.
Nikumbushe Jambo. Kizhal ilipata sehemu ya kujaribiwa TU na bila shaka hazipo nyingi hata zikiwepo zinasubiri potential adversary na hata hivyo zitatumika zikiwa na nuclear war heard.Kwanini Russia alitumia bombers ndani ya Syria zikadondosha mabomu, alikuwa na airbase pale Latakia. Si angetumia hizo missiles unazosema za 7000km range. Missiles are expensive ndio maana pro NATO walivyotutisha na Kinzhal hypersonic missile niliwaambia shangwe yao haitadumu Russia haiwezi afford kutumia very expensive missiles kila mission. Tangu wafyatue siku moja hadi leo sijawahi sikia habari za Kinzhal.
Su-25 ni ground attack, inafanya kazi yake vizuri, Ka-52 ni attack helicopter na ina performance ya chini navyoiona. Sababu kubwa ni kutotumia smart munitions wanapenda sana kutegemea unguided rockets na anti tank missiles zao zina range ndogo. Hizi ndege mbili sio air superiority, multirole wala omnirole kama Su-30, Mig-35 na jamii zake. Mi-28 siioni sana sijui kwanini.
Na si kweli kusema Russia inashindwa control ya anga la Ukraine kisa air defence systems za misaada. Hizo systems zimeanza letwa Russia ishachoka ilipoanza kuharibu miundombinu kwa makombora na nyingi zililetwa suicide drones za Iran zilipoanza kuingia. Miezi ilipita kabla Ukraine haijapokea AD system hata moja.
Suppression of Enemy Air Defense (SEAD) mission huanza kabla hata mwanajeshi mmoja hajakanyaga ardhi ya adui. Russia sio wendawazimu kusubiri waanze vita, wapigwe misururu yao kutoka Belarus, wafanye retreat kutoka Kiev na Kherson, wafyatue makombora miezi kadhaa ipite NATO waanze kutoa AD systems kisha ndio Russia waseme hatuwezi fanya SEAD kisa systems za misaada. Huo uwezo haupo, haupo kabisa. Wangekuwa na uwezo huo ndio jambo la kwanza wangefanya. Badala yake siku ya kwanza walifyatua makombora kama 100 hivi ambayo accuracy yake na effectiveness sio sawa na attack ya jets, pale jets zilitakiwa zifuatie kupunguza kabisa enemy air defence
Haya maelezo yanachanganya. Ulikuwa unajaribu kuelezea namna ambavyo Hypersonic missiles hazimake sense according to laws of physics km ulivyosema mwanzo au ulikuwa unaelezea cost efficient ya Hypersonic missiles!?Context.
First thing first ICBM zote zinatembea kwa Speed ya Hypersonic but they can not maneuver kama cruise missiles so it is possible to detect their trajectory.
Kwa sasa kuna aina mbili za hypersonic cruise missile ambazo zinameet criteria ya hapo juu (Hard to intercept) ambazo ni hypersonic boost-glide weapons, and scramjet-powered hypersonic cruise missiles. China na Russia wao wanasema zao zinatumia HBGV
Hypersonic Boost Glide Vehicles hizi hazina kabisa tofauti na Warheads za kawaida zilizoweka kwenye ICBM katika hatua za mwanzo za kuruka kwake, hizi zenyewe inabidi zibebwe na ndege vita into very high atmosphere ili zipate high velocity (inaweza fika hadi mach 20), In theory ukiichukua iskander ukaboost velocity yake inakuwa hypersonic.
1. Maintaining high temperature due to kinetic energy
Hili Cruise Hypersonic Missiles ziwe na maneuverability kama cruise zilizopo zinahitaji extra components ndani yake kuwezesha hili, but due to high Kinetic Energy they move with, inasababisha thermal energy (heat) kwenye kwenye air molecules around the glide vehicle, hii heat inatosha kabisa kuharibu surface ya missile na components za ndani, ili kusolve hili inahitaji very resistant material to heat (hii ni expensive and we don't have cheap technology yet).
2. Hypersonic Missile hazifanyi kitu ambacho missile za kawaida haziwezi.
Hapa ni swala la cost na efficiency.
Hata kama S-300 ikiwa ni good interceptor utahitaji kurusha makombora mengi kuliko inayoweza kuzuia kwa pamoja, mfano 100/10
In this case unaweza kutumia cruise missile 100 badala ya hypersonic ambayo cost yake moja inaweza ikawa ni zaidi ya cruise missile mia, ndio maana Russia alitumia akaacha.
3. Not all hypersonic missile provide advantage they claim to.
Mfano Hypersonic missile inayobeba Nuclear, imagine unazo ICBM ambazo haziwezi kuzuiliwa bado unataka tena uzibebe kwenye Hypersonic missile.
Mkuu ushaangalia?Thanks ngoja niangalie
Wangaingiza kisirisri ila akiziona kwenye picha ya satellite wanazichapa.
Mbona maelezo ya video na video yenyewe haviendani?
Sasa shida ipo wapi hapo.wagner ni kundi la kukodi kwa iyo yoyote yule hana haki ya kujiunga.sasa sijaelewa point yako ni niniWagner Group wanasajili wafungwa waliomaliza vifungo toka Africa kwenda kupigana Ukraine.Hapo ndipo Akili ya Urusi ilipofikia [emoji848]
.......
Wagner Group Turns to Africa for Recruits in War Effort - Africa Defense Forum
ADF STAFF In an effort to bolster its military, which has suffered heavy losses in Ukraine, Russia reportedly is freeing prisoners from jails in Africa and conscripting them to fight in its war. Two senior military sources in the Central African Republic (CAR) recently told independent Nigerian...adf-magazine.com
Duh!..hivi Vita vitafika mwisho kweli kwa hali hii ?...hakuna njia nyingine za suluhu zaidi ya kupigana ?The Pentagon confirms that it will be training 500 Ukrainian soldiers a month on M2A2 Bradleys.
[emoji631][emoji1255] https://t.co/Cd9SjSzg2q
Kwa taarifa yako, just for your information, hii ni kwa Elimu tuHypersonic missiles zimetumika na dunia nzima imeshuhudia leo wewe unasema by laws of physics hazimake sense? Au kwa sababu majaribio ya hypersonic za US zilikua zinafeli hivyo hutaki kukubali kwamba zipo na zinawork?
Kusema kwamba hypersonic missiles ni ICBM iliyowekwa kwenye ndege?? Binafsi sijawahi kuona ICBM inafungwa kwenye ndege hii itakua taarifa mpya kwangu nitaenda kutafuta nione ICBM na ukubwa wake ule ifungwe kwenye ndege ili itumike kama hypersonic.
Zaidi nenda kapitie taarifa za hypersonic What to know about Russia's hypersonic missiles View attachment 2474486View attachment 2474487View attachment 2474488
cost of materials to make them move very fast, bila kuungua.Haya maelezo yanachanganya. Ulikuwa unajaribu kuelezea namna ambavyo Hypersonic missiles hazimake sense according to laws of physics km ulivyosema mwanzo au ulikuwa unaelezea cost efficient ya Hypersonic missiles!?