kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Russia inapigana vita bila manufaa yoyote halafu unacheka una akili ya ajabu kweli.Zile siku 3 za sherehe za orphans chrismas zinaisha leo.kwa iyo kichapo kikali kitaanza soon.hakikisha una bando la kutosha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wamekufa 600. Urusi hawana udaku.Chombo cha SUN cha udaku kinaendelea kueneza umbea na UHONGO.
RUSSIA sio wajingaRussia inapigana vita bila manufaa yoyote halafu unacheka una akili ya ajabu kweli.
Tatizo Russia imekuwa kama mwanamke alietendwa sasa ianatafuta walau faraja maana inaonekana Russia wanaumia Sana.
Kwa lipi mpaka apewe lawamaDuh!..hivi Vita vitafika mwisho kweli kwa hali hii ?...hakuna njia nyingine za suluhu zaidi ya kupigana ?
Ila wakulaumiwa ni Putin.
Kuna manufaa mengine zaidi ya ardhi.Idd Amin alichukua kijiji kimoja tu pale kagera.je kilitokea nini?.sembuse mtu kachukua majimbo.Russia inapigana vita bila manufaa yoyote halafu unacheka una akili ya ajabu kweli.
Gadaff walimuwekea No fly Zone.nashangaa kwa nini awamuwekei Urusi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Axel Lloyd
Nyie wakuu muko na shida sanaa sisemi kama RUSSIA kaua majeshi ya UKRAINE kama anavyodai
Ila nashangaa kusema kua wanajeshi wake 80+ wamekufa acc to MOD wao mnakubali kwamba wamekufa tena zaidi
Ila chakushangaza zaidi mnakataa habari ya huyo huyo MOD wao kuwa kuna wanajeshi 800s kua wameliwa kichwa
Ila sawa [emoji16]
MKUU T14 Armata RUSSIA anapigana vita anavyoona yeye inafaa na anapunguza hasara haimaanishi kwamba hata zipata
Unasema kwamba UKRAINE walipewa mifumo ya ulinzi baada ya muda kadhaa wa SMO kuanza wewe na aliekua kansela wa GERMAN angela markel yupi yupo sahihi kwamba jeshi la UKRAINE lilianza kupewa misaada na kunegotiate ile MINSK agree ili waunde jeshi lakukabiliana na RUSSIA huko mbeleni unajuaje kama hawakupewa AD huko nyuma!!?
RUSSIA anaulazima gani wakupeleka bombers ndani ya UKRAINE akijua kua ni risk pia akijua kua anauwezo wakuhit target bila kuingia ndani ya UKRAINE
Mnasema kwamba RUSSIA hajamiliki anga la UKRAINE ili anga imilikiwe tupeni fact inatakiwa iweje ndio tukubaliane kwamba anga imemilikiwa na RUSSIA kwamba lazima wapeleke bombers ama lazima wafanye nini!!?
Tunasema RUSSIA anamiliki anga ila sio kwa 100% sababu kila leo RUSSIA anapiga kupitia angani huko UKRAINE akiamua licha yakua jamaa wamepewa AD zakutosha ila bado wanataka wapewe patriot ingawaje napenda wapewe THAD tuone ufanisi
Kitendo cha UKRAINE kuomba patriot mnatakiwa mujiulize anaomba kwaajili ya nini kama anga lake halijamilikiwa pakubwa na RUSSIA
Mwisho tunaomba mututajie majiji yapi ya UKRAINE ambayo yamesalimika na mashambulio ya anga ya RUSSIA kwasababu tu RUSSIA haijamiliki anga lake wapi KHARKIV SUMY LIVIV KYIV DON BASS au wapi!!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuivamia nchi huru ya UkraineKwa lipi mpaka apewe lawama
Kwa hiyo kinachofanya hypersonic iwe practically impossible kwa mujibu wako ni cost au laws of physics kbs haziruhusucost of materials to make them move very fast, bila kuungua.
Mkuu mimi nakushangaa zaidi wewe unaeshindwa kuelewa logic ndogo hivo?Axel Lloyd
Nyie wakuu muko na shida sanaa sisemi kama RUSSIA kaua majeshi ya UKRAINE kama anavyodai
Ila nashangaa kusema kua wanajeshi wake 80+ wamekufa acc to MOD wao mnakubali kwamba wamekufa tena zaidi
Ila chakushangaza zaidi mnakataa habari ya huyo huyo MOD wao kuwa kuna wanajeshi 800s kua wameliwa kichwa
Ila sawa [emoji16]
MKUU T14 Armata RUSSIA anapigana vita anavyoona yeye inafaa na anapunguza hasara haimaanishi kwamba hata zipata
Unasema kwamba UKRAINE walipewa mifumo ya ulinzi baada ya muda kadhaa wa SMO kuanza wewe na aliekua kansela wa GERMAN angela markel yupi yupo sahihi kwamba jeshi la UKRAINE lilianza kupewa misaada na kunegotiate ile MINSK agree ili waunde jeshi lakukabiliana na RUSSIA huko mbeleni unajuaje kama hawakupewa AD huko nyuma!!?
RUSSIA anaulazima gani wakupeleka bombers ndani ya UKRAINE akijua kua ni risk pia akijua kua anauwezo wakuhit target bila kuingia ndani ya UKRAINE
Mnasema kwamba RUSSIA hajamiliki anga la UKRAINE ili anga imilikiwe tupeni fact inatakiwa iweje ndio tukubaliane kwamba anga imemilikiwa na RUSSIA kwamba lazima wapeleke bombers ama lazima wafanye nini!!?
Tunasema RUSSIA anamiliki anga ila sio kwa 100% sababu kila leo RUSSIA anapiga kupitia angani huko UKRAINE akiamua licha yakua jamaa wamepewa AD zakutosha ila bado wanataka wapewe patriot ingawaje napenda wapewe THAD tuone ufanisi
Kitendo cha UKRAINE kuomba patriot mnatakiwa mujiulize anaomba kwaajili ya nini kama anga lake halijamilikiwa pakubwa na RUSSIA
Mwisho tunaomba mututajie majiji yapi ya UKRAINE ambayo yamesalimika na mashambulio ya anga ya RUSSIA kwasababu tu RUSSIA haijamiliki anga lake wapi KHARKIV SUMY LIVIV KYIV DON BASS au wapi!!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nashangaa sana wanakwamia wapi sujuiGadaff walimuwekea No fly Zone.nashangaa kwa nini awamuwekei Urusi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwenye jengo unalosema lilioneshwa na MOD wa RUSSIA umepata ushahidi gani kwamba walikufa watu 89 nje yakuona hilo jengoMkuu mimi nakushangaa zaidi wewe unaeshindwa kuelewa logic ndogo hivo?
Habari ya Ukraine kuua wanajeshi wa Russia ilitangazwa na MOD ya urusi wakakiri wazi na ushahidi wa jengo ulikuwepo tena limeisha lote.
Habari hii ya juzi imetolewa na MOD ya Russia kupitia chombo chake RT hakuna upande mwingine ulioripoti hiyo habari tena ukiangalia picha ya damage ya jengo lenyewe haifananii na kuuwa watu 600.
Mkuu samahani hivi ni kweli huoni tofauti ya hizi habari 2 au kuna walakini kwenye reasoning yako?
Wala usisumbuke kuwaelezea mkuu, Russia wenyewe wanaujua huu ukweli kwamba hii ni habari ya kupikwa tu,Mkuu mimi nakushangaa zaidi wewe unaeshindwa kuelewa logic ndogo hivo?
Habari ya Ukraine kuua wanajeshi wa Russia ilitangazwa na MOD ya urusi wakakiri wazi na ushahidi wa jengo ulikuwepo tena limeisha lote.
Habari hii ya juzi imetolewa na MOD ya Russia kupitia chombo chake RT hakuna upande mwingine ulioripoti hiyo habari tena ukiangalia picha ya damage ya jengo lenyewe haifananii na kuuwa watu 600.
Mkuu samahani hivi ni kweli huoni tofauti ya hizi habari 2 au kuna walakini kwenye reasoning yako?
Mtu mnoko adhabu yake iko wazi....Nchi zinazotumika kuhatarisha usalama wa nchi nyingine ni lazima zishughulikiwe pia...Zele na wenzake ni vibaraka wa West kwa hiyo ni haki kwa Russia kuwashughuilikia mapema kabla hawajapata silaha za maangamizi...simple logic....Kuivamia nchi huru ya Ukraine
Uzuri ukrane wakiwadunda wanatuonyesha cheki chini hapo mkuuFront line sasaView attachment 2473635
Cheki wavietnam wa kirusi wanavyo kufa[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Mwanamgambo wa Ukraine akitoroka mapigano na toroli lake huko Bakhnut baada ya Russia kushusha mvua ya motoView attachment 2473816
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app